LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Wewe dogo ni mpumbavu bado hujakua. Unawatia aibu wazee huko makaburini kwa upuuzi unao andika hapa.
 
Nilichokiandika ndio ukweli uliopo hakuna siku ambayo Palestine itashinda dhidi ya eneo hilo!
Never say never....

Israel inafanya huo ubabe kwa hisani ya Marekani na baadhi ya nchi za ulaya magharibi.

Hata makaburu wa Africa Kusini walikuwa jeuri mno ila walipowekewa vikwazo vikali na kutengwa na dunia mwishowe walisalimu amri na utawala wa wengi ukawepo.

Bila suala la Palestine kupatiwa ufumbuzi wa kudumu, Vita na migogoro eneo hilo haitomalizika katu.
 
Pamoja na kwamba sikubaliani na wewe, I can say the same thing kuhusu "Waarabu wa Kipalestina".

Wapalestina wanaotajwa hivi sasa ni tofauti na Wapalestina waliokuwa wakiishi katika maeneo ya "Palestine" ya kihistoria. Uthibitisho upo kuhusu hili.
Unataka kuleta ubishi usio na msingi. Israel kama nchi imeanzishwa na Muingereza mwaka 1948.
 
Unataka kuleta ubishi usio na msingi. Israel kama nchi imeanzishwa na Muingereza mwaka 1948.
Kuna kitendo wamekifanya Hamas siku za karibuni ni cha ukatili wa hali ya juu wamewachoma moto wateka wa kivita wa Israel live inatisha sana, nadhani lengo ni kuwaogopesha Israel, kumbe ndio nadhani wamechochea moto!
 

Bado Sielewi kabisa strategists wa Hamas walikuwa wanafikiri nini....Wao wameifanyia Israel kitu ambacho hawatasahau, Sasa Gaza imeishagawanywa vipande viwili, na hiyo ndio itakuwa bargaining chip mojawapo ya Israel kuwapata mateka.
Nadhani mategemeo yao makubwa ilikuwa Iran itaingia direct kwenye hii vita, na Hezbollah itashambulia toka Lebanon, inaonekana kwa sasa hivi haiwezekani.

Maafa ni makubwa mno kwa Wapelestine, kwa mtazamo wangu agenda yao dhidi ya Israel wameirudisha nyuma sana na kwa gharama kubwa mno Sasa hivi wataanza mapambano mengine mapya kabisa kuiondoa Israel North Gaza.
 
Kuna kitendo wamekifanya Hamas siku za karibuni ni cha ukatili wa hali ya juu wamewachoma moto wateka wa kivita wa Israel live inatisha sana, nadhani lengo ni kuwaogopesha Israel, kumbe ndio nadhani wamechochea moto!
Leta huo ushahidi wa video wakiwachoma hao mateka.
 
Philistine.
Hakuna mtu yoyote si muislam wala muarabu anayeweza kuelezea kwa ufasaha Wapalastina wa sasa walitokea wapi, kama hawataki kukubali kuwa ni Watu Wasyria, Trans-Jordan, Egpty walioenda hapo kukaa kutafuta maisha.

Kwenye Abrahimic faiths, Watoto/wajukuu wote wa Ibrahim ukiwatoa watoto wa Yakobo walikuja kuwa asimiliated into Arab culture, including Idomaities, Amorites na pengine Cananinites and other Levinties people

Egpty, Syria, Jordan, Lebanon hawataki kuwapokea Watu wanaojiita Wapalestina kwa sababu, wanahofia watakuwa wameachia utawala wa Waarabu na Waislam kwenye ardhi ya Judea na Samaria
 
Suala siyo walitokea wapi, kila mmoja alitoka kwa mama'ke na baba'ke, hata mimi na wewe.

Suala ni hakukuwa na nchi inayoitwa Israel kabla ya 1948.
 
Unataka kuleta ubishi usio na msingi. Israel kama nchi imeanzishwa na Muingereza mwaka 1948.
Kwa ufahamu wako Jews kwao ni wapi?

🔚
Where did ancient Jews live?


By the beginning of the first century AD, Jews had spread from their homeland in Judaea across the Mediterranean and there were major Jewish communities in Syria, Egypt, and Greece. Practicing a very different religion from that of their neighbors, they were often unpopular.

Maeneo hayo hayo ndiyo maeneo ya nyumbani kwao, [KIASILI] just waelewane wawekeane mipaka maisha yaendelee!
 
Gaza imekuwa ikisumbua muda mrefu toka Enzi za zamani mno limekuwa mwiba kwa Israel karne na karne kabla hata Yesu Kristo hajazaliwa

Dawa yake Kwa ajili ya Usalama na amani ya taifa la Israel,Israel iteke eneo la Gaza na ilikalie moja kwa moja milele

Hii vita ya sasa iwe ya kuchukua hilo eneo moja kwa moja sio kupiga na kuondoka
 
Siyo kwamba Israel haiwezi kuteka maeneo yte ya Wapalestina na kuyakalia kikamilifu. Lakini ikiyateka rasmi itatakiwa iunde serikali ya wote, kwa sheria za wote, kwa wayahudi na wasio wayahudi. Kwa hiyo inaona bora iendelee kuwaminya wapalestina ili waondoke wao wenyewe, Kiufupi Israel inataka ardhi bila watu
 
Naunga hoja mkono na miguu.

Ila kabla hawajafanya hivyo WAWAUE WOTE WALIOPO hapo.
 
Ndo maana nasema ,Kwa kisingizio Cha vita imwage sumu iue wote MAGAIDI hayo.

Mimi hata Mende na sisimizi wa Gaza sitaki hata kuwasikia.

Viumbe vyote vilivyopo hapo ni vya kigaidi.

Dawa ni kumwaga sumu tu iue Kila kitu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…