Kumbe naye yuko gaza kumsaidia shoga yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe naye yuko gaza kumsaidia shoga yake?
Hakika.
Wewe dogo ni mpumbavu bado hujakua. Unawatia aibu wazee huko makaburini kwa upuuzi unao andika hapa.IDiot
Kila kitu kitapimwa kwa stages iliyofikia, kwa wenye akili kubwa hata kama waliporwa ardhi it s too late, akili ni kukubaliana hapa petu, hapo kaa wewe, unless wanalofanya watanyanganywa kila kitu, Amini, watapigana wee lakini katu hawatashinda, na akili za mazayuni ni kuchukuwa eneo lote hapo Gaza. Restriction should be done now! Kuhusiana na ardhi.
Nilichokiandika ndio ukweli uliopo hakuna siku ambayo Palestine itashinda dhidi ya eneo hilo!Wewe dogo ni mpumbavu bado hujakua. Unawatia aibu wazee huko makaburini kwa upuuzi unao andika hapa.
Eneo gani ?Nilichokiandika ndio ukweli uliopo hakuna siku ambayo Palestine itashinda dhidi ya eneo hilo!
Bibi kizee anatufafanulia maana ya Israel Kwa mujibu wa kitabu Cha tapeli muddy 😂😂😂Watu mnachanganya sana Israel nchi na Israel ambae ni Jacob (Yakoub) baba wa Yusuf.
Wana wa Israel (Yakoub) ni tofauti na nchi inayoitwa "Israel" iliyoanzishwa na Muingereza.
Never say never....Nilichokiandika ndio ukweli uliopo hakuna siku ambayo Palestine itashinda dhidi ya eneo hilo!
Unataka kuleta ubishi usio na msingi. Israel kama nchi imeanzishwa na Muingereza mwaka 1948.Pamoja na kwamba sikubaliani na wewe, I can say the same thing kuhusu "Waarabu wa Kipalestina".
Wapalestina wanaotajwa hivi sasa ni tofauti na Wapalestina waliokuwa wakiishi katika maeneo ya "Palestine" ya kihistoria. Uthibitisho upo kuhusu hili.
Kuna kitendo wamekifanya Hamas siku za karibuni ni cha ukatili wa hali ya juu wamewachoma moto wateka wa kivita wa Israel live inatisha sana, nadhani lengo ni kuwaogopesha Israel, kumbe ndio nadhani wamechochea moto!Unataka kuleta ubishi usio na msingi. Israel kama nchi imeanzishwa na Muingereza mwaka 1948.
Hali ngumu kwa hamasView attachment 2800570
Huyo tapeli mudi ni hawala wa mama yako.Bibi kizee anatufafanulia maana ya Israel Kwa mujibu wa kitabu Cha tapeli muddy [emoji23][emoji23][emoji23]
Leta huo ushahidi wa video wakiwachoma hao mateka.Kuna kitendo wamekifanya Hamas siku za karibuni ni cha ukatili wa hali ya juu wamewachoma moto wateka wa kivita wa Israel live inatisha sana, nadhani lengo ni kuwaogopesha Israel, kumbe ndio nadhani wamechochea moto!
Hakuna mtu yoyote si muislam wala muarabu anayeweza kuelezea kwa ufasaha Wapalastina wa sasa walitokea wapi, kama hawataki kukubali kuwa ni Watu Wasyria, Trans-Jordan, Egpty walioenda hapo kukaa kutafuta maisha.Philistine.
Suala siyo walitokea wapi, kila mmoja alitoka kwa mama'ke na baba'ke, hata mimi na wewe.Hakuna mtu yoyote si muislam wala muarabu anayeweza kuelezea kwa ufasaha Wapalastina wa sasa walitokea wapi, kama hawataki kukubali kuwa ni Watu Wasyria, Trans-Jordan, Egpty walioenda hapo kukaa kutafuta maisha.
Kwenye Abrahimic faiths, Watoto/wajukuu wote wa Ibrahim ukiwatoa watoto wa Yakobo walikuja kuwa asimiliated into Arab culture, including Idomaities, Amorites na pengine Cananinites and other Levinties people
Egpty, Syria, Jordan, Lebanon hawataki kuwapokea Watu wanaojiita Wapalestina kwa sababu, wanahofia watakuwa wameachia utawala wa Waarabu na Waislam kwenye ardhi ya Judea na Samaria
Kwa ufahamu wako Jews kwao ni wapi?Unataka kuleta ubishi usio na msingi. Israel kama nchi imeanzishwa na Muingereza mwaka 1948.
Maeneo hayo hayo ndiyo maeneo ya nyumbani kwao, [KIASILI] just waelewane wawekeane mipaka maisha yaendelee!
Naunga hoja mkono na miguu.Gaza imekuwa ikisumbua muda mrefu toka Enzi za zamani mno limekuwa mwiba kwa Israel karne na karne kabla hata Yesu Kristo hajazaliwa
Dawa yake Kwa ajili ya Usalama na amani ya taifa la Israel,Israel iteke eneo la Gaza na ilikalie moja kwa moja milele
Hii vita ya sasa iwe ya kuchukua hilo eneo moja kwa moja sio kupiga na kuondoka
Ndo maana nasema ,Kwa kisingizio Cha vita imwage sumu iue wote MAGAIDI hayo.Siyo kwamba Israel haiwezi kuteka maeneo yte ya Wapalestina na kuyakalia kikamilifu. Lakini ikiyateka rasmi itatakiwa iunde serikali ya wote, kwa sheria za wote, kwa wayahudi na wasio wayahudi. Kwa hiyo inaona bora iendelee kuwaminya wapalestina ili waondoke wao wenyewe, Kiufupi Israel inataka ardhi bila watu