LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Wale wafuasi wa Hamas niliwauliza siku moja pale walipolalamika kwanini Israel huwa inajiongezea mipaka. Jibu ndio hili sasa, Israel kila ikimaliza vita huwa inatafuta sababu za kuwa na mamlaka na eneo fulani.

Na wale waliolalamika kwanini majirani wasishirikiane na Hamas kuipiga Israel. Wakatafute chanzo cha Golan heights za Syria kuwa mikononi mwa Israel, au kwanini Jordan iliipoteza West Bank ya sasa, au kwanini Sinai ya Misri ilikuwa chini ya Israeli occupation kwa zaidi ya miaka 10 mpaka mkataba wa Misri kuitambua Israel.
 
Sometimes hii ni mipango ya MUNGU mwenyewe Kwa Israel kujibebea ardhi la bure maana Kwa Akili za kawaida haiwezekani HAMAS wachokoze vita alafu baadae wanaenda kupoteza eneo lote la Gaza kiulaini hivi..

Kwanini HAMAS hawasomi alama za nyakati? Kwasababu kwenye mapambano Yao kilasiku wanapoteza na ardhi yao inamegwa Tu,
 
Waziri mkuu wa Israel mh Netanyahu amesema baada ya Vita kwisha Israel ndio itasimamia Ulinzi Eneo lote la Gaza

Source BBC news
Mwana kuli find mwana kuli get
Hatimae hamas wanaenda kukosa vyote.
 
Hii ni kawaida
Unaposhindwa vita inamaanisha umepoteza na uhuru.
 
Vyema Ukiweka Dna uweke na Percentage zake, 4-15% ya Sub Sahara Dna prove nothing mkuu, mtu mwenye 60% ya Canaanite na 10% ya Sub Sahara utasema huyo mtu katoka Africa?...
Nafikiri tunakubaliana sasa kuwa Wapalestina wa sasa wametokana na Wapalestina waliokuwa arabized. Maana yake ni kwamba tunakubaliana kisayansi kuhusiana na uwepo wa gene flow ya Mwarabu iliyopelekea kuwa na Wapalestina waliopo sasa.

Maana yake ni kuwa, ile hoja yako kwamba "Mpalestina wa leo na yule aliekuwepo miaka 3000 iliyopita ni yuleyule", haiko sahihi kisayansi. Simply, haina mashiko!

Context ya PLO charter ni tofauti. Nimeleta ushahidi wa PLO kwa sababu umeleta conspiracy theory (bila ushahidi) kwamba Zionists/British wanalazimisha kila mtu awe Mwarabu. Je, PLO na Wapalestina wa sasa walilazimishwa na Zionist yupi na Muingereza gani kuwa Waarabu? Uthibitisho uko wapi?

Percentages za DNA haplogroups zipo documented humo kwenye link niliyoleta. Ingia usome kilichomo!

Kwa kukurahisishia tu, nanukuu baadhi ya taarifa;

Haplogroups L1-L3A in the Near East reach their highest frequency in the Yemen Hadramawt (∼35%). Other Arab populations-Palestinians, Jordanians, Syrians, Iraqis, and Bedouin-have ∼10%-15% of lineages of sub-Saharan African origin. These types are rarely shared between different Arab populations. By contrast, non-Arab Near Eastern populations-Turks, Kurds, Armenians, Azeris, and Georgians-have few or no such lineages, suggesting that gene flow from Africa has been specifically into Arab populations.

Hiyo taarifa (link) uliyoleta wewe haina uthibitisho kuwa Wapalestina wa sasa ndio wale wa kabla ya Uarabu. Hapa sizungumzii "Palestine" kama utaifa, kitu ambacho nilishazungumzia post zilizopita.
 
Waziri mkuu wa Israel mh Netanyahu amesema baada ya Vita kwisha Israel ndio itasimamia Ulinzi Eneo lote la Gaza

Source BBC news
Maana yake ni kwamba, Gaza inarejea pre-2005. Maybe kwa namna nyingine kidogo this time.

Hamas wanaifanya Israel iamini kuwa it was a very big mistake kuondoa majeshi na makazi yake Gaza 2005.
 
Niseme ukweli kwanini wapalestina hawajifunzi?. Uchokozi wao mwaka 1947 na 1967 kwa Israel ndio umeleta shida hii. Maana baada ya Israel kuwatwanga akachukua maeneo hayo na kuyakalia.

Mwaka 2005, Israel alijiondoa Gaza na Raia wake wote wa Israel kwa makubaliano kwamba Wapalestina wasiivamie Israel. Cha kishangaza majizi Hamas wakavamia Israel na kupeleka Israel kuingia na Sasa kuikalia Gaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…