Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 2,512
- 5,848
maana yake Gaza ni mkoa rasmi wa Israel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisamaana yake Gaza ni mkoa rasmi wa Israel
Mwana kuli find mwana kuli getWaziri mkuu wa Israel mh Netanyahu amesema baada ya Vita kwisha Israel ndio itasimamia Ulinzi Eneo lote la Gaza
Source BBC news
Tena waongeze zaidi huo moto mara dufunaunga hojaa...nyambizii aina ya ohio class zimetinga maeneoo mazee dah...gaza itabaki historiaa...mwarab anazidi kupelekewa motoo
View attachment 2806429
Hii ni kawaidaWale wafuasi wa Hamas niliwauliza siku moja pale walipolalamika kwanini Israel huwa inajiongezea mipaka. Jibu ndio hili sasa, Israel kila ikimaliza vita huwa inatafuta sababu za kuwa na mamlaka na eneo fulani.
Na wale waliolalamika kwanini majirani wasishirikiane na Hamas kuipiga Israel. Wakatafute chanzo cha Golan heights za Syria kuwa mikononi mwa Israel, au kwanini Jordan iliipoteza West Bank ya sasa, au kwanini Sinai ya Misri ilikuwa chini ya Israeli occupation kwa zaidi ya miaka 10 mpaka mkataba wa Misri kuitambua Israel.
Allah yukobarMabomu yote ya Israel ni Bure!!
Nafikiri tunakubaliana sasa kuwa Wapalestina wa sasa wametokana na Wapalestina waliokuwa arabized. Maana yake ni kwamba tunakubaliana kisayansi kuhusiana na uwepo wa gene flow ya Mwarabu iliyopelekea kuwa na Wapalestina waliopo sasa.Vyema Ukiweka Dna uweke na Percentage zake, 4-15% ya Sub Sahara Dna prove nothing mkuu, mtu mwenye 60% ya Canaanite na 10% ya Sub Sahara utasema huyo mtu katoka Africa?...
hayo hayo mayahudi ndiyo yalimpiga yesu mikuki ya makalio.Allah yukobar
Allah yukobar, takbia!! takbia!!hayo hayo mayahudi ndiyo yalimpiga yesu mikuki ya makalio.
Maana yake ni kwamba, Gaza inarejea pre-2005. Maybe kwa namna nyingine kidogo this time.Waziri mkuu wa Israel mh Netanyahu amesema baada ya Vita kwisha Israel ndio itasimamia Ulinzi Eneo lote la Gaza
Source BBC news