LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
"Putin can press nuke button over Ukraine"
-Hii huwa ni mikwara ya kivita!
 
Tumia akili, upige nyuklia na wao wapo hapo jirani? Au unadhani nyuklia ni ushuzi
 
Wewe hujawahi kushiriki Vita ndio sababu unatafsiri mambo kisiasa

Hiyo ni message na wenye akili wameshaelewa

Jana Waziri wa Israel alisema baada ya Vita Gaza haitatawaliwa na Israel wala Palestine

Ni Maneno ya Vitani hayo bwashee
John we team Israel nishakushtukia
[emoji1]

Ova
 
Wewe hujawahi kushiriki Vita ndio sababu unatafsiri mambo kisiasa

Hiyo ni message na wenye akili wameshaelewa

Jana Waziri wa Israel alisema baada ya Vita Gaza haitatawaliwa na Israel wala Palestine

Ni Maneno ya Vitani hayo bwashee
Sijui kuhusu uelewa wako unaposoma tarifa. Iwe za kisiasa ambazo ni local, au hata international.

Unaposema “waziri alisema Gaza haitatawaliwa na Israel wala Palestine” nayo ni kauli potofu. Au kwa kifupi ni uongo.

Ukweli ni kwamba waziri mkuu wa Israel alisema watasimamia usalama wa Gaza kwa muda usiojulikana”

They will assume Gaza security indefinitely. Ambapo wengi wanalaumu kwamba itakuwa ni kama tu occupying Gaza.

Halafu wewe huwa hauna utaratibu wa kuweka source. Umezoea taarifa zako za chadema vs ccm na uongo uongo tu.

 
warushe Nuclear ndogo kama kidonge cha Panadol.

special For Friends of Hamas
 
Sio benki tu, hadi misikiti, shule na hospitalo zimepigwa mabomu na sasa hospitali kubwa ya Gaza yenye HQ za Hamas underground soon itafuatiliwa kuharibu mtandao wa mahandaki chini yake.
Nchi inapoingia kwenye migogoro mfano wa Ukraine na miji kupondwapondwa mfano wa mji wa mariopal au bakhmut au tuchukulie kwa nchi km Iraq au Afghanistan ambazo serikal zilianguka kabisa baada ya kushindwa ktk mapambano usalama wa amana zilizohifadhiwa kwenye mabank itifak yake ipoje kwa wale waliozihifadh???
 
Benki ya FBME iliyokuwa imesajiliwa Tanzania ila inapitisha transactions za utakatishaji hasa kutoka/kwenda Cyprus, drugs na magaidi ilifungiwa.
 
Eti kuna jamaa kaanguka... Dah .. wakristo bana
 
Wanaukumbi.

Leaked Footage from Israeli Airforce Shows IDF Apache Helicopter Firing on its OWN Citizens at Supernova Music Festival on October 7.

“The pilots realised that there was tremendous difficulty in distinguishing within the occupied outposts and settlements who was a terrorist and who was a soldier or civilian.”

[…] “The rate of fire against the thousands of terrorists was tremendous at first, and only at a certain point did the pilots begin to slow down the attacks and carefully select the targets.” Middle East Eye.
 

Attachments

  • twidown.mp4
    1.5 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…