Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
"Putin can press nuke button over Ukraine"
-Hii huwa ni mikwara ya kivita!
-Hii huwa ni mikwara ya kivita!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
John we team Israel nishakushtukiaWewe hujawahi kushiriki Vita ndio sababu unatafsiri mambo kisiasa
Hiyo ni message na wenye akili wameshaelewa
Jana Waziri wa Israel alisema baada ya Vita Gaza haitatawaliwa na Israel wala Palestine
Ni Maneno ya Vitani hayo bwashee
Sijui kuhusu uelewa wako unaposoma tarifa. Iwe za kisiasa ambazo ni local, au hata international.Wewe hujawahi kushiriki Vita ndio sababu unatafsiri mambo kisiasa
Hiyo ni message na wenye akili wameshaelewa
Jana Waziri wa Israel alisema baada ya Vita Gaza haitatawaliwa na Israel wala Palestine
Ni Maneno ya Vitani hayo bwashee
Nchi inapoingia kwenye migogoro mfano wa Ukraine na miji kupondwapondwa mfano wa mji wa mariopal au bakhmut au tuchukulie kwa nchi km Iraq au Afghanistan ambazo serikal zilianguka kabisa baada ya kushindwa ktk mapambano usalama wa amana zilizohifadhiwa kwenye mabank itifak yake ipoje kwa wale waliozihifadh???Sio benki tu, hadi misikiti, shule na hospitalo zimepigwa mabomu na sasa hospitali kubwa ya Gaza yenye HQ za Hamas underground soon itafuatiliwa kuharibu mtandao wa mahandaki chini yake.
Mambo magumu mpaka wanataka kutumia nuclear!?Sasa uwongo Uko wapi?
Dunia imelipokea hilo tishio kama ni rasmi
Russia inafuatilia kwa karibu
Iran yatoa Neno
Muisrael huwa haropoki!
Benki ya FBME iliyokuwa imesajiliwa Tanzania ila inapitisha transactions za utakatishaji hasa kutoka/kwenda Cyprus, drugs na magaidi ilifungiwa.Nchi inapoingia kwenye migogoro mfano wa Ukraine na miji kupondwapondwa mfano wa mji wa mariopal au bakhmut au tuchukulie kwa nchi km Iraq au Afghanistan ambazo serikal zilianguka kabisa baada ya kushindwa ktk mapambano usalama wa amana zilizohifadhiwa kwenye mabank itifak yake ipoje kwa wale waliozihifadh???
Tumia akili, upige nyuklia na wao wapo hapo jirani? Au unadhani nyuklia ni ushuzi
Pamoja na meli za kivita walizopeleka mashariki ya kati, America itaisaliti Israel.
View: https://youtu.be/X18zmTdLPys?si=pCBej03YxJ1g4Zfx