LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Niliona shambulizi walilofanyiwa IDF na Hamas kaskazini mwa Beit Hanoun linatafakarisha na kusikitisha sana.

Jeshi la anga la Israel linaonekana lipo vizuri. Ila wanajeshi wa Israel hususani wa ardhini kama hawana morali na vita.

Mbali na hilo kuna changamoto nyengine ambayo ni nzito sana kwa Israel.

Changamoto hiyo ni upande waliyopakana na Lebanon wanapigana na Hizbullah pasipo kutangaziana vita. Yaani kimya kimya!

Sina lengo baya: Ila wanajeshi wa Israel wanauliwa kizembe sana. Kwa siku ya jana tu Hebrew media imeripoti takribani wanajeshi 21 wa IDF wamejeruhiwa. Jana wameuliwa wanajeshi 8.

Sasa Israel anatumia mbinu ya kulipua maeneo ya raia ili kuwe na tension baina ya raia na serikali. Kapiga maeneo ya raia Lebanon.

Hizbullah naye kajibu mapigo tena! Naye kapiga Dovev kwenye makazi ya raia huko Israe. Hizbullah imwambka ukipiga makazi ya raia na sisi tunapiga makazi ya raia. Matokeo yake Dovev raia 14 wamekufa.
 
Sikuwai kudhani we kibibi ni mpumbavu kiasi hiki.
Kakojoe ulale
 
Sikuwai kudhani we kibibi ni mpumbavu kiasi hiki.
Kakojoe ulale
Unafahamu kuwa idf wameanza kuchukuwa askari wa kukodi?

Kawahi kazi ya dollar 4,000 kwa wiki, hizo ni sawa na million 10 za Tanzania kwa wiki, unangoja nini?
 
View attachment 2813132
Inaonekana hamas wangekuwa na support kidogo tu Israel wangepata tabu sana.
Unataka kusema hawana support? Hiyo ni kawaida ya vikundi vya kigaidi vinavyoshambulia kwa kuvizia haina tofauti na Alshabaab kule Somalia, Boko Haram Nigeria na ISIS kule middle east pamoja na Taliban Afghanistan, huwez kuwakuta Wana ndege za kivita, vifaru nk ila wamejizatiti kwahiyo unapopambana nao usipokuwa makini watasababisha hasara kubwa.,
 
Taliban ndo wnaongoza nchi kule Afganistan. Ndo wenye Serikali. wanamili hadi ndege za kisasa za kivita zilizotelekezwa na Jeshi la US wakati linaondoka Afganistan.
 
Taliban ndo wnaongoza nchi kule Afganistan. Ndo wenye Serikali. wanamili hadi ndege za kisasa za kivita zilizotelekezwa na Jeshi la US wakati linaondoka Afganistan.
Kabla majeshi ya US hayajaondoka Taliban walikuwa wanamiliki nini?
 
Kabla majeshi ya US hayajaondoka Taliban walikuwa wanamiliki nini?
Walikuwa wanamiliki vifaru, ndege vita na silaha zote kali unazosisikiaga. Kumbuka Taliban walikuwa wakiongoza AFGANISTAN KWA MIONGO MINGI KAMA sERIKALI KAMILI. Hivyo katika miaka yote ya uvamizi qwa US walikuwa hawajasarenda solaha zao na kambi zao milimani. Pia kumbuka Taliban walikuwa wakipata silaha kutoka RUSIA, IRAN na kutoka nchi nyingine zenye mrengo tofauti na US. Taliban siyo kama Alshabab na Boko haram. Taliban ni jeshi kamili kama ilivyo kwa Hizbullah. Taliban ni zaidi ya WEGNER maana Wegner haina Serikali lakini Taliban ilikuwa na Serrikali kamili na sasa ina Serikali kamili.
 
Huna unachokielewa.
 
Huna unachokielewa.
Wewe ndo huelewi. Kuwa na free mind ndo unaweza kujua ukweli wa mambo. Jeshi la marekani ahiwezi kuwakimbia wana mgambo wasio na silaha. Kumbuka lengo la marekani kuivamia Afghanistan ni kuitoa Taliban na mwaka juzi wanaondoka wameikabidhi ten nchi kwa Taliban.
 
Aisee kumbe mpo ambao kusoma kuna wapa shida sana eeh?

Wapi nimeandika wanajificha shimoni?
 
Mfalme wa Uingereza Charles III ndio Mkuu wa Kanisa la Anglikana kwa sasa na nchi yake inasadikiwa kuwa na Waislamu Wengi zaidi barani Ulaya

Uingereza imejikuta ikiwa mdau muhimu kwenye Vita ya Israel na Palestine kuliko yenyewe ilivyojikadiria

Tuzidi kuwaombea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…