Na walikuwepo madaktari kutoka west pamoja na WHO walithibitisha kuwa hospitali hazitumiwi kijeshi tena wamethibitisha sana tu hata Biden juzi aliwaambia wasiziguse hospitali lakini ndio miyahudi ilivyo mikaidi na kiburiIsrael isipo onesha ushahidi wa alicho kuwa anadai kuwa kimo hospitalini hapo sijui hiyo aibu ataificha wapi?
Tunaongelea hospitali au magofu ya Bunge ?na ile picha wamepiga jana wananajisi ukumbi wa bunge wa hamas waliichora tu? au
awali mlisema watapukutishwa wote wakiingia pale gaza, sasaivi wameingia hadi bungeni, hospitali wamekanyaga hadi vichanga vyenu, vipi bado msimamo wenu ni uleule au mtabadilisha msimamo.Tunaongelea hospitali au magofu ya Bunge ?
Israel anayo haki ya msingi kuhakikisha usalama wa nchi yake bila kupokea maagizo kutoka popote. Hiyo ni operation ya Israel na sio nchi nyingi hivyo hajafanya ukaidi wowoteNa walikuwepo madaktari kutoka west pamoja na WHO walithibitisha kuwa hospitali hazitumiwi kijeshi tena wamethibitisha sana tu hata Biden juzi aliwaambia wasiziguse hospitali lakini ndio miyahudi ilivyo mikaidi na kiburi
Israel wakishindwa kjonyesha kile walichokuwa wanadai, itakuwa aibu sana kwake na itakuwa ngumj sana kuaminika tena. Waliambiwa wasivamie hospital na UN waunde third part waingie hapo hospital wafanye uchunguzi, Israel ikashupaza shingoUlimwengu lazima leo umeshangaa kwa kuona mbabe wa kivita na mwenye teknolojia ya hali ya juu kuvamia hospital na kama kwamba imepigana na wagonjwa...
Kwa hiyo usalama wake unapatikana hospitalini?Israel anayo haki ya msingi kuhakikisha usalama wa nchi yake bila kupokea maagizo kutoka popote. Hiyo ni operation ya Israel na sio nchi nyingi hivyo hajafanya ukaidi wowote
Sahihi kila upande unasema ni vitaEti hii ni special military operation??! Nani kasema tena hayo? Wahusika wenyewe wanasema " Hii ni Vita.........."
Vipi kuhusu usalama wa palestina na kuundwa taifa la palestina?Israel anayo haki ya msingi kuhakikisha usalama wa nchi yake bila kupokea maagizo kutoka popote. Hiyo ni operation ya Israel na sio nchi nyingi hivyo hajafanya ukaidi wowote
al jazeera hizo habari wanazipata wapi wakati walishapigwa marufuku kung'aa GAza, na wale waandishi waliopo Gaza wanauawa? hujaona yule wa juzi kapoteza mke na watoto wawili kwa jeuri, waliobaki wamekimbia, ukiangalia al jazeera wanarudia matukio ya juzi, mapya hawana, tofauti na BBC kwasababu wamezuiwa. na al jazeera wamezuiwa kwasababu wapo biased 100% wanapendelea hamas,hivyo ni wajinga tu ndio wanaamni hamari zao.
waunde taifa kwani wanamiliki ardhi yeyote pale? ile ardhi Mungu mwenyewe aliwapa waisrael, wapalestina ambao ni masalia ya wahamiaji toka misri, jordan na sehemu zingine za waarabu ardhi yao ipo mataifa hayo. hakujawahi kuwepo nchi inaitwa palestina tangu dunia iunder, na kama unakumbuka hata hao wafilisti walishafukuzwa kipindi cha ufalme wa Daudi enzi za Goliath wa Gaza. eneo lote hilo ni mali halali ya wayahudi.Vipi kuhusu usalama wa palestina na kuundwa taifa la palestina?
Gaza kajieneo kidogo watu milioni mbili nukta 3 kitla utakapojenga utakuwa karibu na shule au hospitali
Aljazeera kwa Gaza hata ukiwazuia hawazuiliki.Ni kituo cha nchi ya kiarabu na waarabu wengi wana ndugu zao hapo wanaozungumza nao lugha moja.Hivyo habari za uhakika wanazipata kila wakati kutoka mpaka wagonjwa.al jazeera hizo habari wanazipata wapi wakati walishapigwa marufuku kung'aa GAza, na wale waandishi waliopo Gaza wanauawa? hujaona yule wa juzi kapoteza mke na watoto wawili kwa jeuri, waliobaki wamekimbia, ukiangalia al jazeera wanarudia matukio ya juzi, mapya hawana, tofauti na BBC kwasababu wamezuiwa. na al jazeera wamezuiwa kwasababu wapo biased 100% wanapendelea hamas,hivyo ni wajinga tu ndio wanaamni hamari zao.
Toa ushaidi wa mungu kuwapa waisrael hiyo ardhi na ni mungu gani huyo aliyowapa waisrael ardhi? Onyesh na mipaka amboyo huyo mungu wao aliwawekeawaunde taifa kwani wanamiliki ardhi yeyote pale? ile ardhi Mungu mwenyewe aliwapa waisrael, wapalestina ambao ni masalia ya wahamiaji toka misri, jordan na sehemu zingine za waarabu ardhi yao ipo mataifa hayo. hakujawahi kuwepo nchi inaitwa palestina tangu dunia iunder, na kama unakumbuka hata hao wafilisti walishafukuzwa kipindi cha ufalme wa Daudi enzi za Goliath wa Gaza. eneo lote hilo ni mali halali ya wayahudi.
al jazeera hizo habari wanazipata wapi wakati walishapigwa marufuku kung'aa GAza, na wale waandishi waliopo Gaza wanauawa? hujaona yule wa juzi kapoteza mke na watoto wawili kwa jeuri, waliobaki wamekimbia, ukiangalia al jazeera wanarudia matukio ya juzi, mapya hawana, tofauti na BBC kwasababu wamezuiwa. na al jazeera wamezuiwa kwasababu wapo biased 100% wanapendelea hamas,hivyo ni wajinga tu ndio wanaamni hamari zao.
Haki hiyo uliwapa wewe?Israel anayo haki ya msingi kuhakikisha usalama wa nchi yake bila kupokea maagizo kutoka popote. Hiyo ni operation ya Israel na sio nchi nyingi hivyo hajafanya ukaidi wowote
Wakuonesha wewe mkazi wa mwakilyambiti? Kichekesho kwelikweli.Israel wakishindwa kjonyesha kile walichokuwa wanadai, itakuwa aibu sana kwake na itakuwa ngumj sana kuaminika tena. Waliambiwa wasivamie hospital na UN waunde third part waingie hapo hospital wafanye uchunguzi, Israel ikashupaza shingo
Endelea kujitoa ufahamuKwa hiyo usalama wake unapatikana hospitalini?
Hizi akili zenu ndio zinafanya mbondwe mchakae. Yan uje uanzishe ugomvi nyumbani kwangu nikuache? Lazima nikusake ulipo ili siku nyingine uwe na heshima kabla hujalitibua popote.Haki hiyo uliwapa wewe?
Toa ushaidi wa mungu kuwapa waisrael hiyo haki