LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Israel isipo onesha ushahidi wa alicho kuwa anadai kuwa kimo hospitalini hapo sijui hiyo aibu ataificha wapi?
Na walikuwepo madaktari kutoka west pamoja na WHO walithibitisha kuwa hospitali hazitumiwi kijeshi tena wamethibitisha sana tu hata Biden juzi aliwaambia wasiziguse hospitali lakini ndio miyahudi ilivyo mikaidi na kiburi
 
Tunaongelea hospitali au magofu ya Bunge ?
awali mlisema watapukutishwa wote wakiingia pale gaza, sasaivi wameingia hadi bungeni, hospitali wamekanyaga hadi vichanga vyenu, vipi bado msimamo wenu ni uleule au mtabadilisha msimamo.
 
Na walikuwepo madaktari kutoka west pamoja na WHO walithibitisha kuwa hospitali hazitumiwi kijeshi tena wamethibitisha sana tu hata Biden juzi aliwaambia wasiziguse hospitali lakini ndio miyahudi ilivyo mikaidi na kiburi
Israel anayo haki ya msingi kuhakikisha usalama wa nchi yake bila kupokea maagizo kutoka popote. Hiyo ni operation ya Israel na sio nchi nyingi hivyo hajafanya ukaidi wowote
 
Ulimwengu lazima leo umeshangaa kwa kuona mbabe wa kivita na mwenye teknolojia ya hali ya juu kuvamia hospital na kama kwamba imepigana na wagonjwa...
Israel wakishindwa kjonyesha kile walichokuwa wanadai, itakuwa aibu sana kwake na itakuwa ngumj sana kuaminika tena. Waliambiwa wasivamie hospital na UN waunde third part waingie hapo hospital wafanye uchunguzi, Israel ikashupaza shingo
 
Israel anayo haki ya msingi kuhakikisha usalama wa nchi yake bila kupokea maagizo kutoka popote. Hiyo ni operation ya Israel na sio nchi nyingi hivyo hajafanya ukaidi wowote
Kwa hiyo usalama wake unapatikana hospitalini?
 
al jazeera hizo habari wanazipata wapi wakati walishapigwa marufuku kung'aa GAza, na wale waandishi waliopo Gaza wanauawa? hujaona yule wa juzi kapoteza mke na watoto wawili kwa jeuri, waliobaki wamekimbia, ukiangalia al jazeera wanarudia matukio ya juzi, mapya hawana, tofauti na BBC kwasababu wamezuiwa. na al jazeera wamezuiwa kwasababu wapo biased 100% wanapendelea hamas,hivyo ni wajinga tu ndio wanaamni hamari zao.
 
Vipi kuhusu usalama wa palestina na kuundwa taifa la palestina?
waunde taifa kwani wanamiliki ardhi yeyote pale? ile ardhi Mungu mwenyewe aliwapa waisrael, wapalestina ambao ni masalia ya wahamiaji toka misri, jordan na sehemu zingine za waarabu ardhi yao ipo mataifa hayo. hakujawahi kuwepo nchi inaitwa palestina tangu dunia iunder, na kama unakumbuka hata hao wafilisti walishafukuzwa kipindi cha ufalme wa Daudi enzi za Goliath wa Gaza. eneo lote hilo ni mali halali ya wayahudi.
 
Gaza kajieneo kidogo watu milioni mbili nukta 3 kitla utakapojenga utakuwa karibu na shule au hospitali
Ukitafuta sababu wa kuwadhulumu watu hutoikosa.
Hilo handaki alilolionesha huyo mpuuzi kwani kuna ajabu gani kwenye nyumba ya mtu.Mbona Netanyahu kaenda kuhamia kwenye nyumba yenye handaki la nyuklia.
 
al jazeera hizo habari wanazipata wapi wakati walishapigwa marufuku kung'aa GAza, na wale waandishi waliopo Gaza wanauawa? hujaona yule wa juzi kapoteza mke na watoto wawili kwa jeuri, waliobaki wamekimbia, ukiangalia al jazeera wanarudia matukio ya juzi, mapya hawana, tofauti na BBC kwasababu wamezuiwa. na al jazeera wamezuiwa kwasababu wapo biased 100% wanapendelea hamas,hivyo ni wajinga tu ndio wanaamni hamari zao.
Aljazeera kwa Gaza hata ukiwazuia hawazuiliki.Ni kituo cha nchi ya kiarabu na waarabu wengi wana ndugu zao hapo wanaozungumza nao lugha moja.Hivyo habari za uhakika wanazipata kila wakati kutoka mpaka wagonjwa.
 
waunde taifa kwani wanamiliki ardhi yeyote pale? ile ardhi Mungu mwenyewe aliwapa waisrael, wapalestina ambao ni masalia ya wahamiaji toka misri, jordan na sehemu zingine za waarabu ardhi yao ipo mataifa hayo. hakujawahi kuwepo nchi inaitwa palestina tangu dunia iunder, na kama unakumbuka hata hao wafilisti walishafukuzwa kipindi cha ufalme wa Daudi enzi za Goliath wa Gaza. eneo lote hilo ni mali halali ya wayahudi.
Toa ushaidi wa mungu kuwapa waisrael hiyo ardhi na ni mungu gani huyo aliyowapa waisrael ardhi? Onyesh na mipaka amboyo huyo mungu wao aliwawekea
 
al jazeera hizo habari wanazipata wapi wakati walishapigwa marufuku kung'aa GAza, na wale waandishi waliopo Gaza wanauawa? hujaona yule wa juzi kapoteza mke na watoto wawili kwa jeuri, waliobaki wamekimbia, ukiangalia al jazeera wanarudia matukio ya juzi, mapya hawana, tofauti na BBC kwasababu wamezuiwa. na al jazeera wamezuiwa kwasababu wapo biased 100% wanapendelea hamas,hivyo ni wajinga tu ndio wanaamni hamari zao.

Inaonyesha Huangalii live, unatafuta story Za kutungwa na mayahudi ,
Anza kujibu lile swali
Toa ushaidi wa mungu kuwapa waisrael hiyo ardhi na ni mungu gani huyo aliyowapa waisrael ardhi? Onyesh na mipaka amboyo huyo mungu wao aliwawekea
 
Israel wakishindwa kjonyesha kile walichokuwa wanadai, itakuwa aibu sana kwake na itakuwa ngumj sana kuaminika tena. Waliambiwa wasivamie hospital na UN waunde third part waingie hapo hospital wafanye uchunguzi, Israel ikashupaza shingo
Wakuonesha wewe mkazi wa mwakilyambiti? Kichekesho kwelikweli.
 
Haki hiyo uliwapa wewe?
Toa ushaidi wa mungu kuwapa waisrael hiyo haki
Hizi akili zenu ndio zinafanya mbondwe mchakae. Yan uje uanzishe ugomvi nyumbani kwangu nikuache? Lazima nikusake ulipo ili siku nyingine uwe na heshima kabla hujalitibua popote.
 
Back
Top Bottom