Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Adui wa kwanza wa Palestina ni Hamas. IDF anamsaidia Palestina kuitafuta amaniVipi kuhusu usalama wa palestina na kuundwa taifa la palestina?
Ungeangalia post namba 6867 kabla hujapost hii. Hao Aje wanapost mahojiano ya face to face while The Sun wanakuonesha nini kinaendelea on the field. Kila kitu kwenye hiyo video kimeoneshwa kama evidence huyo jamaa yako anapinga badala aje na facts zake. Yes tunajua Aje msimamo wao uko upande gani ila wawe na weledi kiasi kwenye kazi zao
Wewe jamaa kumbe punguani kiasi hiki umekuwa msemaji wa Mungu sana hawa Waisrael weusi wa Makete na Kibosho wanashangaza sana.waunde taifa kwani wanamiliki ardhi yeyote pale? ile ardhi Mungu mwenyewe aliwapa waisrael, wapalestina ambao ni masalia ya wahamiaji toka misri, jordan na sehemu zingine za waarabu ardhi yao ipo mataifa hayo. hakujawahi kuwepo nchi inaitwa palestina tangu dunia iunder, na kama unakumbuka hata hao wafilisti walishafukuzwa kipindi cha ufalme wa Daudi enzi za Goliath wa Gaza. eneo lote hilo ni mali halali ya wayahudi.
Ndivyo ulivyokaririshwa? Nionyeshe mpalestina hata mmona anyeilaumu HamasAdui wa kwanza wa Palestina ni Hamas. IDF anamsaidia Palestina kuitafuta am
Hivi hizo pazia kwenye ukuta usiokua na mlango Wala drisha zilimaanisha Nini? Wajuvi nisaidieni,
Mmeumbuka vibaya sana mpaka aibu naiyona mimi🤣🤣. Nataka waionyeshe dunia walichokuwa wakitumainishaWakuonesha wewe mkazi wa mwakilyambiti? Kichekesho kwelikweli.
Sasa kwa kinachoendelea Hamas si ndio kayataka. Otherwise unabaki kuwa ubishi wa kijinga kama ilivyo hulka ya baadhi yenu utakao zidi kuleta maafa zaidi.Ndivyo ulivyokaririshwa? Nionyeshe mpalestina hata mmona anyeilaumu Hamas
Hiyo nyumba alikupa Nani ? Myahudi wa Manzese?Hizi akili zenu ndio zinafanya mbondwe mchakae. Yan uje uanzishe ugomvi nyumbani kwangu nikuache? Lazima nikusake ulipo ili siku nyingine uwe na heshima kabla hujalitibua popote.
Kayataka kwani Mandela kuwekwa jela alyataka ?Sasa kwa kinachoendelea Hamas si ndio kayataka. Otherwise unabaki kuwa ubishi wa kijinga kama ilivyo hulka ya baadhi yenu utakao zidi kuleta maafa zaidi.
We ungekuwepo wakati wa Uhuru sasa hivi ungekua unamponda kinjikitile ngwale kayataka, anapigana na Ujerumani Taifa kubwa? Yani Tunaishi Dunia mtu kutetea Ardhi yake na haki zake za Msingi ni kosa.Sasa kwa kinachoendelea Hamas si ndio kayataka. Otherwise unabaki kuwa ubishi wa kijinga kama ilivyo hulka ya baadhi yenu utakao zidi kuleta maafa zaidi.
Tatizo lako ni ujinga. Hivi unafahamu palestina na Israel wamepigani vita vingapi? Na nini hasa wachopigania?Sasa kwa kinachoendelea Hamas si ndio kayataka. Otherwise unabaki kuwa ubishi wa kijinga kama ilivyo hulka ya baadhi yenu utakao zidi kuleta maafa zaidi.
Hatujaiona hiyo command centre ya Hamas iliyosemwa wala Hao mateka waliofichwa hiyo ndiyo post yako inavyoonyesha zaidi ya mwanajeshi wa kiyahudi akiwakaanga kwa nyuma ya chupa Kama kawaida yaoUngeangalia post namba 6867 kabla hujapost hii. Hao Aje wanapost mahojiano ya face to face while The Sun wanakuonesha nini kinaendelea on the field. Kila kitu kwenye hiyo video kimeoneshwa kama evidence huyo jamaa yako anapinga badala aje na facts zake. Yes tunajua Aje msimamo wao uko upande gani ila wawe na weledi kiasi kwenye kazi zao
1. Hapo Sio Alshifaa wala Hospitali yoyote
Umekosea ni mifirw....iMjirifaji tu. kipigo bado kinaendelea
Atoe pua lake kutetea hiyo ardhi. Mbona anajificha sasaWe ungekuwepo wakati wa Uhuru sasa hivi ungekua unamponda kinjikitile ngwale kayataka, anapigana na Ujerumani Taifa kubwa? Yani Tunaishi Dunia mtu kutetea Ardhi yake na haki zake za Msingi ni kosa.
Ndo wanachofanya miaka takriban 70 sasaAtoe pua lake kutetea hiyo ardhi. Mbona anajificha sasa
Naona wewe unabisha kutimiza wajibu. Yan ili mradi tuHatujaiona hiyo command centre ya Hamas iliyosemwa wala Hao mateka waliofichwa hiyo ndiyo post yako inavyoonyesha zaidi ya mwanajeshi wa kiyahudi akiwakaanga kwa nyuma ya chupa Kama kawaida yao
Yan anaanzisha ugomvi halafu anaenda nyuma ya watoto kujificha🤣Ndo wanachofanya miaka takriban 70 sasa