LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums

Ungeangalia post namba 6867 kabla hujapost hii. Hao Aje wanapost mahojiano ya face to face while The Sun wanakuonesha nini kinaendelea on the field. Kila kitu kwenye hiyo video kimeoneshwa kama evidence huyo jamaa yako anapinga badala aje na facts zake. Yes tunajua Aje msimamo wao uko upande gani ila wawe na weledi kiasi kwenye kazi zao
 
waunde taifa kwani wanamiliki ardhi yeyote pale? ile ardhi Mungu mwenyewe aliwapa waisrael, wapalestina ambao ni masalia ya wahamiaji toka misri, jordan na sehemu zingine za waarabu ardhi yao ipo mataifa hayo. hakujawahi kuwepo nchi inaitwa palestina tangu dunia iunder, na kama unakumbuka hata hao wafilisti walishafukuzwa kipindi cha ufalme wa Daudi enzi za Goliath wa Gaza. eneo lote hilo ni mali halali ya wayahudi.
Wewe jamaa kumbe punguani kiasi hiki umekuwa msemaji wa Mungu sana hawa Waisrael weusi wa Makete na Kibosho wanashangaza sana.
 
Sasa kwa kinachoendelea Hamas si ndio kayataka. Otherwise unabaki kuwa ubishi wa kijinga kama ilivyo hulka ya baadhi yenu utakao zidi kuleta maafa zaidi.
We ungekuwepo wakati wa Uhuru sasa hivi ungekua unamponda kinjikitile ngwale kayataka, anapigana na Ujerumani Taifa kubwa? Yani Tunaishi Dunia mtu kutetea Ardhi yake na haki zake za Msingi ni kosa.
 
Ungeangalia post namba 6867 kabla hujapost hii. Hao Aje wanapost mahojiano ya face to face while The Sun wanakuonesha nini kinaendelea on the field. Kila kitu kwenye hiyo video kimeoneshwa kama evidence huyo jamaa yako anapinga badala aje na facts zake. Yes tunajua Aje msimamo wao uko upande gani ila wawe na weledi kiasi kwenye kazi zao
Hatujaiona hiyo command centre ya Hamas iliyosemwa wala Hao mateka waliofichwa hiyo ndiyo post yako inavyoonyesha zaidi ya mwanajeshi wa kiyahudi akiwakaanga kwa nyuma ya chupa Kama kawaida yao
 
1. Hapo Sio Alshifaa wala Hospitali yoyote

2. Hamas wametaka independent source zikakague wao wapo Tayari ambaye anakataa Ukaguzi wa UN ni Israel Na sio Hamas sababu anajua Fika anachofanya ni Makosa ya kivita.

3. Kuna Video Kibao za Propaganda toka Israel zinarekodiwa huko huko Israel Na kurushwa. Israel hana haki ya kuwa mhukumu wa Chochote kuna vyombo vya kimataifa vinavyohusika na hayp mambo vije,
 
Wanabembeleza Qatar iwasemeshe Hamasi wasimamishe vita masaa 72, mambo yamewazidia, walishangaa kufika Gaza kiulaini kumbe ulikuwa mtego 😄
 
We ungekuwepo wakati wa Uhuru sasa hivi ungekua unamponda kinjikitile ngwale kayataka, anapigana na Ujerumani Taifa kubwa? Yani Tunaishi Dunia mtu kutetea Ardhi yake na haki zake za Msingi ni kosa.
Atoe pua lake kutetea hiyo ardhi. Mbona anajificha sasa
 
Hatujaiona hiyo command centre ya Hamas iliyosemwa wala Hao mateka waliofichwa hiyo ndiyo post yako inavyoonyesha zaidi ya mwanajeshi wa kiyahudi akiwakaanga kwa nyuma ya chupa Kama kawaida yao
Naona wewe unabisha kutimiza wajibu. Yan ili mradi tu
 
Back
Top Bottom