Iran ni kama Urusi; maneno mingiiii ..mpaka leo hajarusha hiyo nyuklia tuone.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ni kama vile iran ilipokuwa inasema israel akiingia kwa ardhi gaza atakiona cha moto maana yeye iran angeingilia kati
Sawa! Kama yapi? Fafanua usiandike kwa ujumla!Joyful life
Ni baada ya kipigo cha leo.BREAKING Al Jazeera citing the Israeli Broadcasting Authority: “Israel gave the green light for a deal and is awaiting Hamas’ response”
Isreal baada ya kumtegemea marekani na UK kupigana na Hamas. Na baada kila upande inashambuliwa imeomba hamas kusitisha vita
wale waliokufa israel ni mbuzi? hakuna watoto na innocent people? binadamu yoyote akifa ni majonzi kwa tulio hai either ni muslim or christian
Acheni propaganda za kinafiki wafia dini eti yawaomba Hamas kusitisha vita? Hizi habari ni za uwongo na unafiki haina sources umejitungia tu na nimefatilia hakuna taarifa hiyoBREAKING Al Jazeera citing the Israeli Broadcasting Authority: “Israel gave the green light for a deal and is awaiting Hamas’ response”
Isreal baada ya kumtegemea marekani na UK kupigana na Hamas na marekani kuona ngoma nziti. Na baada kila upande inashambuliwa imeomba hamas kusitisha vita
Acha jazba. Kizee baiden taabaniAcheni propaganda za kinafiki wafia dini eti yawaomba Hamas kusitisha vita? Hizi habari ni za uwongo na unafiki haina sources umejitungia tu na nimefatilia hakuna taarifa hiyo
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
kwahiyo wagner wapo upande upiWarabu ni sawa na wavietnum. Wapo radhi wafe milioni nyie mfe mia ila hawasarendi ng'o. Mwarabu hajawahi sarender vita hata kama anapigwa.
Labda waje wapigwe nuclear wafe wote kama Japan, bahati mbaya sana Gaza haitakuja kupigwa nuclear maana na Islael itapata madhara sawa na Gaza.
Vita ya karne ya 21 ni ngumu sana, binadamu amekuwa na maarifa mengi sana.
Hamas wamebuni siraha ndogo ndogo. Kuna RPG moja wamebuni i inauwezo wa kusambaratisha kifalu cha islael.
Islael wanamavifaa mengi sana ila sasa mpaka leo hawajaweza kuwamaliza Hamas.
Bahati mbaya sana kuna fununu kuwa WAGNER washatia miguu islael. Unaambiwa Hakuna askar mbishi kama Wagner.
Kwa nini Wagner wameeenda Gaza?
Ni kwa sababu Islael olipeleka askari na vifaa Ukraine hivyo putin anacheza mchezo waliocheza Jews.
Hii vita ngoma ndo kwanza mbichi.
Sisi waafrika tunajifunza nini kutokana na hii vita ?
Nimejifunza kuwa UBUNIFU ni jambo muhimu sana kwenye kujilinda.
Islael imebuni mifumo mingi ya ulinzi na silaha ili waendelee kuikalia Palestina.
Hamas nao wamebuni silaha ndoho ndogo ili kuonyesha hasira zao. Hamas hawaruhusiwi kuwa na jeshi.
Kwa kutumia akili yao wamebuni rockets na RPG za gharama ndogo na Njia za mahandaki.
Yale mahandaki nadhani hapa Afrika hamna nchi ina mahandaki kama yale. Nadhani Ukrain nao wanaweza Iga mfumo ule wa mahandaki ili kuisumbua Urusi, ni teknolojia nzuri kwa mnyonge.
Ninaendekea kujifunza.
Je wewe umejifunza nini kwe ye hii vita.
Sijali sana dini bali military tactic na ubunifu
Habari hizi mnazileta ili kuwatarukisha wana israel wa Tandale?
Haya nyie endeleeni, lakini wale Wana wa Yakobo wanatandika Gaza utadhani haina mwenyewe!