LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ni kama vile iran ilipokuwa inasema israel akiingia kwa ardhi gaza atakiona cha moto maana yeye iran angeingilia kati
Iran ni kama Urusi; maneno mingiiii ..mpaka leo hajarusha hiyo nyuklia tuone.
 
Nawakumbusha, ninyi ni ndugu. Hayo ya Hamas hayawahusu, watz tupendane bila kujali dini, ikiwezekana tuwaombee watoto na wajawazito waliyo ktk vita, haijalishi kama hamas yu sahihi au Israel, wote wawili wanaendeleza vita, hivyo hakuna aliye sawa, adui wa mtoto ni vita na si Israel wala hamas wala iran. Tuombee amani
 
BREAKING Al Jazeera citing the Israeli Broadcasting Authority: “Israel gave the green light for a deal and is awaiting Hamas’ response”

Isreal baada ya kumtegemea marekani na UK kupigana na Hamas na marekani kuona ngoma nziti. Na baada kila upande inashambuliwa imeomba hamas kusitisha vita
 
Hezbollah wameanza mashambulizi kidogo ndani ya Israel, wamepiga drone inayoaminika ni dedly ya Israel, jana Houthi wa Yemen wamekamata meli kubwa ya Israel.

Israel iliamua kutuma askari kwenda kupambana Gaza ili kuepuka vifo vya raia wake, Israel kuinngia Gaza imepunguza na kugeuza uwanja wa mapambano kuwa Gaza, hii inaepusha uharibifu na vifo vya wananchi wake ndani ya Israel, wasingekwenda Gaza hadi sasa Hamas wangekuwa wanarusha maroketi kuelekea Israel kwa wingi zaidi tofauti na sasa.

Sasa kibaya Hezbollah nae anataka kuingia mchezoni, na ugomvi wa Hezbollah wanawez rusha makombora kuanzia asubuhi hadi kesho. Israel inabidi ikubali tu, hii vita watashindwa. IDF ikiwa Gaza kupambana na Hamas, huku Hezbollah watakua wanarusha maroketi, vita italeta hasara kubwa kwa Israel, ni bora wamalize tu vita.

Wakienda vita ya askari wa ardhini Israel ndio hamna kitu kabisa.
 
Ikiwa ni mwezi takriban wa pili sasa na baada ya jeshi la Israel kupiga kwa nguvu. leo kwa mara nyengine kikosi cha Alqassam cha Hamas kimeusha maroketii mpaka mji mkuu wa Isrrael na kupelekea hofu kubwa kwa raia.

Hata hivyo kiwango cha madhara kwa raia kutokana na maroketi ya Hamas mara nyingi sio makubwa kwani karibu kila nyumba inayojengwa Israel lazima ijumuishe na shimo la kujihifadhi kutokana na maroketi ya wapalestina.

Sambamba na maroketi hayo kituo cha televisheni cha aljazeera kimepokea video ya wanamgambo hao wakionesha namna walivyokuwa wakiyaharibu kwa makombora magari ya kivita ya Israel.

Kaskazini ya Israel kituo cha jeshi cha Israel cha Biranit nacho kimepigwa na kusambaratishwa kutokana na makombora yaliyorushwa na kundi la Hizbulah la Lebanon.Kwa mujibu w vidio zilizosambazwa za kambi hiyo ikiungua inaaminika maafa makubwa kwa jeshi la IDF yametokea japo jeshi hilo halijaweka wazi kiwango cha madhara.

Mashambulizi hayo ya vikosi vya Hamas yanafanyika huku warushaji wa maroketi hayo wakiwa wameyeyuka machoni mwa watu na hawajulikani walipo.
 
BREAKING Al Jazeera citing the Israeli Broadcasting Authority: “Israel gave the green light for a deal and is awaiting Hamas’ response”

Isreal baada ya kumtegemea marekani na UK kupigana na Hamas na marekani kuona ngoma nziti. Na baada kila upande inashambuliwa imeomba hamas kusitisha vita
Acheni propaganda za kinafiki wafia dini eti yawaomba Hamas kusitisha vita? Hizi habari ni za uwongo na unafiki haina sources umejitungia tu na nimefatilia hakuna taarifa hiyo

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Warabu ni sawa na wavietnum. Wapo radhi wafe milioni nyie mfe mia ila hawasarendi ng'o. Mwarabu hajawahi sarender vita hata kama anapigwa.
Labda waje wapigwe nuclear wafe wote kama Japan, bahati mbaya sana Gaza haitakuja kupigwa nuclear maana na Islael itapata madhara sawa na Gaza.
Vita ya karne ya 21 ni ngumu sana, binadamu amekuwa na maarifa mengi sana.
Hamas wamebuni siraha ndogo ndogo. Kuna RPG moja wamebuni i inauwezo wa kusambaratisha kifalu cha islael.
Islael wanamavifaa mengi sana ila sasa mpaka leo hawajaweza kuwamaliza Hamas.
Bahati mbaya sana kuna fununu kuwa WAGNER washatia miguu islael. Unaambiwa Hakuna askar mbishi kama Wagner.
Kwa nini Wagner wameeenda Gaza?
Ni kwa sababu Islael olipeleka askari na vifaa Ukraine hivyo putin anacheza mchezo waliocheza Jews.
Hii vita ngoma ndo kwanza mbichi.
Sisi waafrika tunajifunza nini kutokana na hii vita ?
Nimejifunza kuwa UBUNIFU ni jambo muhimu sana kwenye kujilinda.
Islael imebuni mifumo mingi ya ulinzi na silaha ili waendelee kuikalia Palestina.
Hamas nao wamebuni silaha ndoho ndogo ili kuonyesha hasira zao. Hamas hawaruhusiwi kuwa na jeshi.
Kwa kutumia akili yao wamebuni rockets na RPG za gharama ndogo na Njia za mahandaki.
Yale mahandaki nadhani hapa Afrika hamna nchi ina mahandaki kama yale. Nadhani Ukrain nao wanaweza Iga mfumo ule wa mahandaki ili kuisumbua Urusi, ni teknolojia nzuri kwa mnyonge.
Ninaendekea kujifunza.
Je wewe umejifunza nini kwe ye hii vita.
Sijali sana dini bali military tactic na ubunifu
 
Habari hizi mnazileta ili kuwatarukisha wana israel wa Tandale?

Haya nyie endeleeni, lakini wale Wana wa Yakobo wanatandika Gaza utadhani haina mwenyewe!
 
kwahiyo wagner wapo upande upi
wa israel au palestina
 
Habari hizi mnazileta ili kuwatarukisha wana israel wa Tandale?

Haya nyie endeleeni, lakini wale Wana wa Yakobo wanatandika Gaza utadhani haina mwenyewe!
1700508045261.png
 
Back
Top Bottom