LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Silvia romano
 
Wanaukimbi

BREAKING: BARUA KUTOKA KWA MATEKA WA ISRAELI AMBAO MKE WAKE NA WATOTO 2 WALIUAWA KWA KUPIGWA BOMU NA ISRAELI

Mateka:

"Netanyahu alilipua na kumuua mke wangu na watoto wangu wawili, ambao walikuwa kitu muhimu zaidi maishani mwangu ... Tafadhali irudishe miili yao kwa maziko huko "Israeli."

Hamas;

"Upinzani ulijitolea kukabidhi miili hiyo mitatu, lakini serikali ya uvamizi ilikataa kuwapokea na bado inaendesha na kujadiliana."

Hamas ilichapisha ujumbe unaoonekana wa mfungwa wa Kizayuni Yarden Bibas, ambaye mke wake, Sherry, na watoto wake wawili, Kfir na Ariel, waliuawa na mashambulizi ya mabomu.

Yarden analalamika kwa Netanyahu. Upinzani ulijitolea kukabidhi miili hiyo mitatu, lakini israeli ilikataa kuipokea.
===============
BREAKING: LETTER FROM ISRAELI HOSTAGE WHOSE WIFE AND 2 CHILDREN WERE KILLED BY ISRAELI BOMBING

Hostage:

“Netanyahu bombed and killed my wife and my two children, who were the most important thing in my life... Please return their bodies for burial in “Israel.”

Hamas;

“The resistance offered to hand over the three bodies, but the occupation government refused to receive them and is still maneuvering and bargaining.”

View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1730302179955585382?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 

Attachments

  • twidown.mp4
    1.4 MB
The IDF made the decision to carpet bomb they have precision weapons and they know where the people live they didn’t care about the hostages or they would have used ground troops not bombs
 
Kwa siku unashushia nyuzi zaidi ya 5 kuhusu migogoro ya mashariki ya Kati. Unafanya kazi saa ngapi?
 
BREAKING: HAMAS LEADER OFFICIAL STATEMENT

Izzat Al-Rishq;

- “With the steadfastness of our people and the heroism of our resistance, we confront the enemy’s crimes, the resumption of its Nazi aggression, and its targeting of civilians.

- What Israel did not achieve during the fifty days before the truce, it will not achieve by continuing its aggression after the truce.”
 
Na wewe unayefuatilia nyuzi zangu zote unazisoma zote nakujua idadi unafanya kazi saa ngapi?
Utajuaje Kama anasoma heading tu? Wewe Ni mpumbavu mmoja unayehangaishwa na migogoro ya mashariki ya Kati
 
Utajuaje Kama anasoma heading tu? Wewe Ni mpumbavu mmoja unayehangaishwa na migogoro ya mashariki ya Kati
Weww punguani kweli naona umehamua kuja kumtetea basha wako, na wewe unaumia mimi kopostt JF nyie mashoga mna tabu sana sasa mimi tawasaidieje? Kama mnachukizwa na posts zangu msisome kama mtaendelea kusoma mtazidi kuumia.
 
Idadi ya vifo yaanza kuongezeka


Israeli airstrikes have hit southern Gaza, including the community of Abassan east of the town of Khan Younis, Hamas officials say. Another strike hit a home northwest of Gaza City.

Loud, continuous explosions are heard coming from the Gaza Strip, and black smoke billows from the territory.

The Hamas-run health ministry says three people have been killed in Israeli air raids in Rafah, in the Strip’s south.


View: https://twitter.com/i/status/1730462392738361775
 
Mods wa JF nao wamekuwa na uchangu na Israel uzi zangu wameunganisha huku lakini kuna nyuzi kobisa za kuponda Palestina zimaachwa daaah😂
 
Muda wa Israel kulaumiwa umefika. UN, Human Rights Watch, Save The Children na mashirika kibao ya haki za binadamu muda wao huu wa kuandika nyaraka nyingi.

Collateral damage itakuwa kubwa soon kuna watu watalalamika Israel ikijibu mashambulizi.
Wanaenda kupiga makombora hospital na shule na kuuwa watoto kwa hilo kafamikiwa lakini hawana huwezo wa kukamata hata mgambo mmoja wa Hamas.

Vipi ile story yako kuwa Gaza imeishachukuliwa yote wameigawa mara mbili wanakamilisha tu na Hamas hawana pakutokea lakini juzi tumewaona na sale zao za jeshi wakiwaleta mateka kisha wakaondoka na kurudi gaza.

😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…