LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
🛑 Hamas completely destroyed a Zionist Merkava tank with a “Showaz” explosive, causing it to be destroyed completely.

• Hamas also targeted the turret of another tank with an “Al-Yassin 105” tandem rocket.

• Hamas also targeted a building housing IOF soldiers with a “TBG” rocket, in the Sheikh Radwan area.
 
Hawa waliokosa Mateka hata mmoja wa dawa Kwa siku 45,pole sana.
J3 we njoo hapa uangalie idadi walioongezwa.
Kitu usichojua jamaa wanapiga kila wanachokiona mbele yao,
Iwe paka,simu,mbwa,kiumbe
Wao ni kutandika tuna wanaendelea.
Hapo njia tu wanasafisha.
Iran na Lebanon wajiandae.
 
Wangekuwa wanaingizia chupa tu na kuwakojolea nyuma
 
Kimeiva huko,200 tayari jioni hii,mpk kufika j3 sijui itakua ngapi.
Raia wote wamambiwa waelekee kusini ramala mbele huko ukibaki shauri yako.
Endeleeni kusema mazayuni wamewezwa.
 
Dec 03, 2023 10:43 UTC

1701614427072.png

Makumi ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wameangamizwa katika operesheni ya Brigedi za Izzuddin al Qassam, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu HAMAS.
Izzuddin al Qassam imesema katika taarifa leo Jumapili kuwa, wanamapambano wake wameshambulia kambi ya wanajeshi wa Israel katika kijiji cha Juhor ad-Dik, kusini mwa jiji la Gaza, ambapo askari wasiopungua 60 wa Kizayuni wameangamizwa.
Taarifa hiyo imeeleza kuwa, wanajihadi wa Brigedi za Izzuddin al Qassam, Tawi la Kijeshi la Harakati ya HAMAS wamefanikiwa kutega mabomu na mada za miripuko pambizoni mwa kambi hiyo, na kisha kuziripua zote kwa wakati mmoja.
Qassam imeongeza kuwa, baada ya kufanya operesheni hiyo iliyowasababishia Wazayuni hasara kubwa za roho na mali, wapiganaji hao wa HAMAS wamefanikiwa kuondoka salama bila kujeruhiwa.
Jeshi la utawala haramu wa Israel limethibitisha habari ya kujiri operesheni hiyo kusini mwa Gaza, ingawaje linadai kuwa askari wake waliouawa katika operesheni hiyo ni wawili tu.
1701614505040.png

Mwanajihadi wa Izzuddin al Qassam
Jana jioni, Brigedi za Izzuddin al Qassam zilitangaza kwamba zimeendelea kuipiga kwa makombora miji ya utawala wa Kizayuni ukiwemo mji mkuu Tel Aviv ili kujibu jinai za Israel dhidi ya Wapalestina wa Gaza.
HAMAS imesema wazi kwamba hakuna mabadilishano yoyote ya mateka yatakayofanyika ila baada ya utawala wa Kizayuni kukomesha kikamilifu jinai zake dhidi ya wananchi wa Gaza.
Utawala dhalimu wa Israel ambao umeshindwa kwenye medani za mapambano, umeamua kumalizia hamaki zake kwa kuua watoto wadogo, wanawake, vizee na raia wa kawaida huko Gaza.
Kwa mujibu Wizara ya Afya ya Palestina katika Ukanda wa Gaza, tangu kuanza kwa mashambulizi ya Wazayuni dhidi ya Gaza mnamo Oktoba 7, Wapalestina zaidi ya 15,207 wameuawa shahidi, na kwamba idadi ya waliojeruhiwa imepindukia watu 40,652
 
[emoji599]Update: Pro-Iranian Yemeni Houthis launched and hit an Israeli owned cargo ship 35 nautical miles from Yemen’s west coast today!! It’s believed it was hit with a suicide drone!! More info pending…

The vessel was sailing under the Bahamas flag!!
 
Vijana bado mna UJINGA kichwani hii sio vita ya kushabikia Kwa MTU mwenye Akili timamu.
Ndani ya masaa 24 yaliyopita wamekufa wapalestina zaidi ya 700 wakiwemo watoto zaidi ya 200. Watoto wasio na hatia wanakufa Kwa mkupuo mmoja alafu bado mnashabikia? Toka vita imeanza haijawahi kutokea mauaji makubwa kama ya Leo, ukiangalia Al Jazeera utatokwa na machozi jinsi watoto wanavyopoteza familia nzima
 
[emoji298]️At dawn today, the resistance was able to monitor the concentration of dozens of occupation soldiers (60 soldiers) inside tents at their positioning point east of Juhr al-Dik, so the Mujahideen planted 3 anti-personnel devices in a circular pattern around the position, and at exactly 4:30 the devices were detonated against the occupation soldiers.

Then one of the Mujahideen advanced to finish off the remaining members of the force, and the Mujahideen withdrew to their positions safely after killing a large number of occupation soldiers!!

Watch the last photo in Juhr al-Deek, from group photography to mass death.
IMG_20231203_180705.jpg
 
Vijana bado mna UJINGA kichwani hii sio vita ya kushabikia Kwa MTU mwenye Akili timamu.
Ndani ya masaa 24 yaliyopita wamekufa wapalestina zaidi ya 700 wakiwemo watoto zaidi ya 200. Watoto wasio na hatia wanakufa Kwa mkupuo mmoja alafu bado mnashabikia? Toka vita imeanza haijawahi kutokea mauaji makubwa kama ya Leo, ukiangalia Al Jazeera utatokwa na machozi jinsi watoto wanavyopoteza familia nzima
Hamas hawauwi watoto na wanawake,taifa takatifu linaua watoto,wanawake na vikongwe shame on you.
 
Back
Top Bottom