LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Sasa mbona na wewe unashabikia [emoji1787]?
 
Wakuu tuendelee na vita yetu,
Jana wazayuni wamebondabonda kobaz 200 baada tu ya kurudisha mateka.
Tunaendelea tulipoishia.
Hakuna muafaka
Update kesho.
Huko wanaponda ponda usiku tu kuanzia ijumaa, j3 kuna kazi zingine wamepangiwa kule wanaweka kiporo
 
Ww ndo mjinga hivi kwenye mada hiyo kuna sehemu imeandikwa kuwa ana shabikia au anafirahia kinacho endelea?

Hivi hizi tabia zenu za kuwapangia wenzenu kipi cha kuandika zitaisha lini?

Yeye karipoti kinacho endelea vitani na wala hakuna sehemu aliye sema anaunga mkono vita.
Suala la kushabikia au kutoshabikia haliwezi kubalisha chochote maana haliwezi kufanya vita hiishe.

Wenye wajibu wa kuhakikisha mauaji hayo yana koma ni washiriki wa hiyo vita hasa hasa Israel na wanao mpa silaha wakiongozwa na Marekani ambaye ameshindwa kupigana vita badala yake anauwa watu kiholela.
 
Walebanon wapo kimya
Makombora ya walebanon yanapenya kwenye kambi za IDF kila siku bila kizuizi chochote kile.
Watu waliohamishwa miji ya kaskazini ya Israel ni maelfu kwa maelfu na wamekasirika sana kwani wanaishi kwa tabu maeneo waliyopelekwa ilipodhaniwa vita vingekuwa vya muda mfupi na wao kurudi majumbani mwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…