LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hao magaidi wa Hamas hawawezi tena kuitawala Gaza hata kama watapona kwenda ahera kupewa mabikra 72 na pombe inayotiririka kwenye mito ya huko, hilo wasahau.
 
Na magaidi wa Hamas wenyewe wangapi wameshapelekwa kwenda ahera kupewa mabikra 72 na pombe inayotiririka kwenye mito ya huko.
 
Watu waliohamishwa miji ya kaskazini ya Israel ni maelfu kwa maelfu na wamekasirika sana kwani wanaishi kwa tabu maeneo waliyopelekwa ilipodhaniwa vita vingekuwa vya muda mfupi na wao kurudi majumbani mwao.
Hilo ndilo lengo kuubwa la waarabu, Waisrael hawatovumilia Hilo.
 
Na magaidi wa Hamas wenyewe wangapi wameshapelekwa kwenda ahera kupewa mabikra 72 na pombe inayotiririka kwenye mito ya huko.
Hao mabikira labda mmoja wapo ni dada yako, sababu kwenye uislam hakuna kitu kama hicho hizo ni hadithi za kikristo tu tunazisikia kwenu tu.
 
Wewe unaogopa nini, Mimi nafulahia vita viendelee ili ubabe wa Israel ukome kama ulivyo koma Lebanon,sasa hivi Israel inaogopa Lebanon kwa ligi walio Kutana nayo 2016, Israel hata akiua watu laki 5 lkn na yeye apate machungu ya vita
 
Walebanon wapo kimya
Mimi na wewe tunategemea kupata taarifa kutoka vyanzo vya mataifa ya magharibi..kwahiyo usitegemee kusikia taarifa mbaya kuhusu Israel,mashambulizi yanayofanywa dhidi ya Israel mengi wanajitahidi kuuficha ulimwengu.
 
News from muhamadan ni za kijifariji tu hazina ukweli wowote.. Uongo ni sehemu ya Ibada...
 
twitter.com/atras10/status…

Apparently Yemen bombs the Israeli cargo ship "Unity Explorer"

Zionist slaves American military ships and others came from Western bases in Djibouti Trying to rescue the Israeli cargo ship Unity Explorer which has now sunk in the Red Sea after being bombed from Yemen. By by. No where safe for zionist scums.

 
Spokesman for the #Yemen’s Armed Forces said that Yemeni naval forces targeted two #Israeli ships - ‘Unity Explorer’ and ‘Number Nine’ - this morning in Bab Al-Mandab with missile and drone after they ignored warnings.
 
Mashallah Allah is great!
 
BREAKING:

[emoji298]Yemen Houthis attacked a US warship and a UK ship in the Red Sea.

The Houthis are on fire.

Confirmation by Pentagon:

The USS Carney, a US Arleigh Burke-class guided-missile destroyer, along with other commercial ships are under attack in the Red Sea.

This attack follows an earlier hit on a UK-owned ship by a rocket fired from Yemen.
 
Hamas hawauwi watoto na wanawake,taifa takatifu linaua watoto,wanawake na vikongwe shame on you.
Kitendo cha kuua watoto huenda lengo ni kupunguza vijana wa baadae. Kimsingi Israel na Palestine kila mmoja anatamani kufuta kizazi cha mwenzako completely
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…