LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mkuu upo wapi?
Gaza kaskazini ipo chini ya umiliki kamili wa Israel kwa zaidi ya wiki mbili sasa, no entry or exit without permission of IDF.
Kituo kinachofuata kwenda kudhibitiwa na Israel ni Gaza Kusini.
Sasa kama ipo chini ya umiliki wao mbona wanashindwa kukamata Hamas pamoja na mateka maana juzi tumeona Hamas wanakuja na Mateka huku wamevaa mavazi yao ya kijeshi wanakabidhi nateka kisha wanarudi Gaza, na mateka wanasema walikuwa wanakaa kwenye nyumba siyo mahandaki kama tunavyoamishwa😂
 
Huyo myemeni asiingilie vitu ambavyo havimuusu kwanza ni nchi masikin sana watu wake wengi wanakufa kwa njaa kila leo yaani ni nchi masikin hata tz inamuacha mbalii🤣🤣🤣
Vita vinamuhusu ndiyo maana kaingilia ufahamu jografia ya Yemen wewe unadhani hao mabwana zenu hawafahamu mziki wa Yemen siyo Gaza kule unarusha ndege anga nzima kule ndege zikienda ndiyo basi wanaziangusha wana silaha kali.
 
Ngoja kwanza wayahudi wamakizane na Hamas ,kisha huko Yemen nako mtasema wanawake na watoto.
 
Vita vinamuhusu ndiyo maana kaingilia ufahamu jografia ya Yemen wewe unadhani hao mabwana zenu hawafahamu mziki wa Yemen siyo Gaza kule unarusha ndege anga nzima kule ndege zikienda ndiyo basi wanaziangusha wana silaha kali.
Nimegundua kumbe najibizana na mke wa muarabu wa kiyemeni ??!! Chunguza kabla hujaongea kiazi wewe yemen na umasikini ule ataenda wapi zaidi ya kujaza wakimbizi nchi za watu ok aendelee kurusha tuone mwisho wake ila wasianze kuonesha watoto na wanawake na vilio juu?!!!
 
Nasema ukweli kutoka kumoyo,sipendi mayahudi labda mpaka wabadilishe mienendo yao ila hawa wayemeni watafanyiwa mbaya hawataamini tuanze tena kulia lia wanaonewa kwa vyovyote hawawezi mayahudi hao hata kidogo alafu mbaya zaidi ni wapurukaji balaa.
Israel leo unaenda mwezi wa 3 kawashindwa Hamas anaishia kupiga mabomu watoto. Yemen nuksi kule waambie warushe ndege zao kama zotarudi au waingie baharini waone mziki wake. Huenda ulikuwa mtoto Marekani alishawahi kutoa jeshi lake Somalia😂
 
hawnaa cha kupoteza na kufa ni sadaka kwa mungu

kupambana nao ni ujizile
 
Israel leo unaenda mwezi wa 3 kawashindwa Hamas anaishia kupiga mabomu watoto. Yemen nuksi kule waambie warushe ndege zao kama zotarudi au waingie baharini waone mziki wake. Huenda ulikuwa mtoto Marekani alishawahi kutoa jeshi lake Somalia[emoji23]
[emoji23][emoji23]akaangalie tu ata movie ya black hawk down aone vile wasomali wana peleka motoo
 
Google inashirikiana na Israel kuficha habari ya wafu wa jeshi la IDF...
Na wala stori yeyote kuhusu maafa yao....
Media sensorship
Kama vile Ukrain sasa anachezea kichapo cha kufa mtu, lakini wamezima data....
Hahahahahah
 
Ngoja sub marinw zifike tuone, najua hamas wanazisubir au pengine wanaweza wasizione wenye rada
 
Hivi Hao waHouthi wanajua lolote kuhusiana na insurance ZA meli! Mbona kamaa wanawafaidisha wanaowalenga
Vita na ugaidi hua zinakua excluded/sababu hizo hazimwajibishi insurer au insurance kulipa kwenye policy za marine insurance. Hakuna kinacholipwa hapo Wala hakuna faida wanapata
 
Wewe punguani kweli umasikini hauna uhusiano na vita Marekani alishwahi kukimbia Somalia aliondoa majeshi yake yote maiti zao zillikuwa zinaburuzwa barabarani. Halafu wewe lazima utakuwa shoga mtoto wa kiume unaitwa Chakondari😂 kuna nini hapo lini unaenda kubatizwa Kanisani?
 
🚨 BREAKING: IRAN WILL RESPOND TO DEATHS OF GUARDS IN SYRIA

This could open up the war to another front if executed.

Nasser Kanaani - Syria's Foreign Ministry Spokesperson: "No action against Iran's interests and our advisory forces in Syria will go unanswered," Kanaani said.

This is in response to the two Iranian Revolutionary Guards members who served as military advisers in Syria who were killed in an Israeli attack.

Source: The Jerusalem Post
 
Hii chuki inakuwa kwa kasi hasa poland uingereza na india
 
Huyo myemeni asiingilie vitu ambavyo havimuusu kwanza ni nchi masikin sana watu wake wengi wanakufa kwa njaa kila leo yaani ni nchi masikin hata tz inamuacha mbalii🤣🤣🤣
Nani anaye kuambia Yemen masikini, kiongozi wa mwanzo alikuwa mwizi kaiba mabillion kwa tarifa yako Yemen ni matajiri kuliko Saud Arabia.

Wana Oil na Gas, wana Dhahabu wana Uranium na badhi ya madini tofautu tofauti.

Unadhani Yemen ni Tanzania hio
 
40,650 wounded
7,500 under rubble
15,207 murdered
  • 6,387 children
  • 75 journalists
  • 280 medical staff
  • 0 Hamas
Israel ilibidi wa acting ile Hollywood film ya mwanajeshi wa IDF anamuambia kijana wa Hamasi ainue mikono juu huku ana silaha katoka kwenye shimo 😄 Walipo wacheka watu kuwa Hamasi huwa hawa surrend vile nadhani wakaifuta nadhani 😄 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…