jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Acha wakafe Mazayuni hayawezi guerilla war
[emoji28][emoji28][emoji28],mimi nasubiri mje na zile hastag zenu za pray fo palestine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha wakafe Mazayuni hayawezi guerilla war
Sasa kama ipo chini ya umiliki wao mbona wanashindwa kukamata Hamas pamoja na mateka maana juzi tumeona Hamas wanakuja na Mateka huku wamevaa mavazi yao ya kijeshi wanakabidhi nateka kisha wanarudi Gaza, na mateka wanasema walikuwa wanakaa kwenye nyumba siyo mahandaki kama tunavyoamishwa😂Mkuu upo wapi?
Gaza kaskazini ipo chini ya umiliki kamili wa Israel kwa zaidi ya wiki mbili sasa, no entry or exit without permission of IDF.
Kituo kinachofuata kwenda kudhibitiwa na Israel ni Gaza Kusini.
Kwa hiyo hiyo vita haitaisha ili asipelekwe jela! Hizi imani jamani! Huwezi hata kufikiri,japo kidogo tuIsrael hawezi vita hio ni jeuri tu ya Natanyahu anaogopa kupelekwa jela 😄
Vita vinamuhusu ndiyo maana kaingilia ufahamu jografia ya Yemen wewe unadhani hao mabwana zenu hawafahamu mziki wa Yemen siyo Gaza kule unarusha ndege anga nzima kule ndege zikienda ndiyo basi wanaziangusha wana silaha kali.Huyo myemeni asiingilie vitu ambavyo havimuusu kwanza ni nchi masikin sana watu wake wengi wanakufa kwa njaa kila leo yaani ni nchi masikin hata tz inamuacha mbalii🤣🤣🤣
Ngoja kwanza wayahudi wamakizane na Hamas ,kisha huko Yemen nako mtasema wanawake na watoto.twitter.com/atras10/status…
Apparently Yemen bombs the Israeli cargo ship "Unity Explorer"
Zionist slaves American military ships and others came from Western bases in Djibouti Trying to rescue the Israeli cargo ship Unity Explorer which has now sunk in the Red Sea after being bombed from Yemen. By by. No where safe for zionist scumsView attachment 2832613View attachment 2832614
Nimegundua kumbe najibizana na mke wa muarabu wa kiyemeni ??!! Chunguza kabla hujaongea kiazi wewe yemen na umasikini ule ataenda wapi zaidi ya kujaza wakimbizi nchi za watu ok aendelee kurusha tuone mwisho wake ila wasianze kuonesha watoto na wanawake na vilio juu?!!!Vita vinamuhusu ndiyo maana kaingilia ufahamu jografia ya Yemen wewe unadhani hao mabwana zenu hawafahamu mziki wa Yemen siyo Gaza kule unarusha ndege anga nzima kule ndege zikienda ndiyo basi wanaziangusha wana silaha kali.
Israel leo unaenda mwezi wa 3 kawashindwa Hamas anaishia kupiga mabomu watoto. Yemen nuksi kule waambie warushe ndege zao kama zotarudi au waingie baharini waone mziki wake. Huenda ulikuwa mtoto Marekani alishawahi kutoa jeshi lake Somalia😂Nasema ukweli kutoka kumoyo,sipendi mayahudi labda mpaka wabadilishe mienendo yao ila hawa wayemeni watafanyiwa mbaya hawataamini tuanze tena kulia lia wanaonewa kwa vyovyote hawawezi mayahudi hao hata kidogo alafu mbaya zaidi ni wapurukaji balaa.
hawnaa cha kupoteza na kufa ni sadaka kwa munguHao akili zao zilishaharibika kwa mapigano ya wao kwa wao.Niliwaona wale Faiza alidai wanaenda Gaza kwa miguu kupigana nikaishia kuwahurumia.Watu wenyewe miili dhaifu hawana hata lishe nzuri wanaweza fia njiani hata huko Gaza penyewe zaidi ya 2000Kms wasifike.
[emoji23][emoji23]akaangalie tu ata movie ya black hawk down aone vile wasomali wana peleka motooIsrael leo unaenda mwezi wa 3 kawashindwa Hamas anaishia kupiga mabomu watoto. Yemen nuksi kule waambie warushe ndege zao kama zotarudi au waingie baharini waone mziki wake. Huenda ulikuwa mtoto Marekani alishawahi kutoa jeshi lake Somalia[emoji23]
HahahahahahGoogle inashirikiana na Israel kuficha habari ya wafu wa jeshi la IDF...
Na wala stori yeyote kuhusu maafa yao....
Media sensorship
Kama vile Ukrain sasa anachezea kichapo cha kufa mtu, lakini wamezima data....
Ni Ada UDOM🤣🤣Hii nayo ni Thread😂
Vita na ugaidi hua zinakua excluded/sababu hizo hazimwajibishi insurer au insurance kulipa kwenye policy za marine insurance. Hakuna kinacholipwa hapo Wala hakuna faida wanapataHivi Hao waHouthi wanajua lolote kuhusiana na insurance ZA meli! Mbona kamaa wanawafaidisha wanaowalenga
Wewe punguani kweli umasikini hauna uhusiano na vita Marekani alishwahi kukimbia Somalia aliondoa majeshi yake yote maiti zao zillikuwa zinaburuzwa barabarani. Halafu wewe lazima utakuwa shoga mtoto wa kiume unaitwa Chakondari😂 kuna nini hapo lini unaenda kubatizwa Kanisani?Nimegundua kumbe najibizana na mke wa muarabu wa kiyemeni ??!! Chunguza kabla hujaongea kiazi wewe yemen na umasikini ule ataenda wapi zaidi ya kujaza wakimbizi nchi za watu ok aendelee kurusha tuone mwisho wake ila wasianze kuonesha watoto na wanawake na vilio juu?!!!
Hao ni mambumbumbu na hawawezi kupata akili Tena!Unaweka comment ya nini waulizeni mabwana zenu vipi mateka waliobakia wataenda lini kuwakomboa Gaza yote si wameikamata.
Nani anaye kuambia Yemen masikini, kiongozi wa mwanzo alikuwa mwizi kaiba mabillion kwa tarifa yako Yemen ni matajiri kuliko Saud Arabia.Huyo myemeni asiingilie vitu ambavyo havimuusu kwanza ni nchi masikin sana watu wake wengi wanakufa kwa njaa kila leo yaani ni nchi masikin hata tz inamuacha mbalii🤣🤣🤣
Israel ilibidi wa acting ile Hollywood film ya mwanajeshi wa IDF anamuambia kijana wa Hamasi ainue mikono juu huku ana silaha katoka kwenye shimo 😄 Walipo wacheka watu kuwa Hamasi huwa hawa surrend vile nadhani wakaifuta nadhani 😄 🤣40,650 wounded
7,500 under rubble
15,207 murdered
- 6,387 children
- 75 journalists
- 280 medical staff
- 0 Hamas