Bado ni maskini tu hata congo wana utajiri wa asili ila inasimama katika nchi maskiniNani anaye kuambia Yemen masikini, kiongozi wa mwanzo alikuwa mwizi kaiba mabillion kwa tarifa yako Yemen ni matajiri kuliko Saud Arabia.
Wana Oil na Gas, wana Dhahabu wana Uranium na badhi ya madini tofautu tofauti.
Unadhani Yemen ni Tanzania hio
Sawa we jidanganye tu hao wanasilaha kuliko ujumlishe hizo nchi zote hiza Africa Congo+Tanzani+Kenya+Uganda+Zambia+Zimbabwe+Angola+Sudan +Mazambiq+Rwanda+Burundi +Ethopia+Eritrea +Somal+Namibia +Botswan+Ganbia+ Congo Brazzaville + Cameroun+ Guinea+Gambon+ Burkino faso+ Mali+ Chad Afu unawaita masikini, labda umasikini we unaukusidia wa majumba marefu tu kwa silaha Saud Arabia walikimbia 😄Bado ni maskini tu hata congo wana utajiri wa asili ila inasimama katika nchi maskini
🤣🤣 siongelei vifo vya watoto na raia nazungumzia wanamgambo wa hamas wanavyowapasua IDFKwahiyo Kaskazini wameshinda HAMAS? Acheni porojo wakati watu wanapukutika kama nzige,nenda kwa 'eye on Palestina' kawaangalie ndugu zako wanavyolia na kusaga meno kwa madhira wanayoyapitia.Uzuri ile page inapost uhalisia wa kinachotokea Gaza Kaskazini kupitia watu wa kawaida tu.
Angalia raia wake ndiyo wanaongoza kwa majengo Kariakoo wanaisha Tanzania sasa kwa uchumi kila kikicha ndugu zako wanauzia nyumba tu wanajenga maghorofa wanafungua madukani kila kona Tanzania😂Bado ni maskini tu hata congo wana utajiri wa asili ila inasimama katika nchi maskini
Kumbe wewe una mtindio wa bongo😂😂😂
Si ajabu huyo dogo ni mpishi kwenye restaurant hizo za mandi laham hapo mitaani 😄Angalia raia wake ndiyo wanaongoza kwa majengo Kariakoo wanaisha Tanzania sasa kwa uchumi kila kikicha ndugu zako wanauzia nyumba tu wanajenga maghorofa wanafungua madukani kila kona Tanzania😂
Hao matajiri wakubwa Tanzania ni wayemen wanakula Mandi tu.
Sasa wanalalamika nini kama wanafaidishwa si waache tu zipigwe ili wazidi faidishwaHivi Hao waHouthi wanajua lolote kuhusiana na insurance ZA meli! Mbona kamaa wanawafaidisha wanaowalenga
ThubutuuuuMh wakubwa wasije wakaiunganisha Iran ktk huu mtiti.
Hutauona mwisho wake sababu hautakuja utokeeTunaiweka hii comment. Mpaka mwisho tusibadili huu mtazamo.
Hata Vietnam [emoji1264] na Afghanistan [emoji1023] walikua maskini sanaaaHuyo myemeni asiingilie vitu ambavyo havimuusu kwanza ni nchi masikin sana watu wake wengi wanakufa kwa njaa kila leo yaani ni nchi masikin hata tz inamuacha mbalii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na haiwezekani iwe 3 soldiers kwnye vehicle maana hapo anaendesha mmoja kwahyo amepakiza 2 soldiers haiwezekani hapo wakipungua sana 8 warudi kwao wakajipange upya na maisha yameshakuwa magumu maana hakuna export wala import products bandari zinafungwa houthi wanazichukua tu meliIsraeli military expert "Barham Meir" on Channel 12: We have to admit that "Hamas" has won and the continuation of the struggle will lead to the great fall of the Israeli army. He says that within 24 hours, 25 vehicles were destroyed, if we assume that 3 soldiers were killed in each vehicle, the number is 75, a loss that Israel has not suffered in its history