LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Nani anaye kuambia Yemen masikini, kiongozi wa mwanzo alikuwa mwizi kaiba mabillion kwa tarifa yako Yemen ni matajiri kuliko Saud Arabia.

Wana Oil na Gas, wana Dhahabu wana Uranium na badhi ya madini tofautu tofauti.

Unadhani Yemen ni Tanzania hio
Bado ni maskini tu hata congo wana utajiri wa asili ila inasimama katika nchi maskini
 
Bado ni maskini tu hata congo wana utajiri wa asili ila inasimama katika nchi maskini
Sawa we jidanganye tu hao wanasilaha kuliko ujumlishe hizo nchi zote hiza Africa Congo+Tanzani+Kenya+Uganda+Zambia+Zimbabwe+Angola+Sudan +Mazambiq+Rwanda+Burundi +Ethopia+Eritrea +Somal+Namibia +Botswan+Ganbia+ Congo Brazzaville + Cameroun+ Guinea+Gambon+ Burkino faso+ Mali+ Chad Afu unawaita masikini, labda umasikini we unaukusidia wa majumba marefu tu kwa silaha Saud Arabia walikimbia 😄
 
Kwahiyo Kaskazini wameshinda HAMAS? Acheni porojo wakati watu wanapukutika kama nzige,nenda kwa 'eye on Palestina' kawaangalie ndugu zako wanavyolia na kusaga meno kwa madhira wanayoyapitia.Uzuri ile page inapost uhalisia wa kinachotokea Gaza Kaskazini kupitia watu wa kawaida tu.
🤣🤣 siongelei vifo vya watoto na raia nazungumzia wanamgambo wa hamas wanavyowapasua IDF
 
Bado ni maskini tu hata congo wana utajiri wa asili ila inasimama katika nchi maskini
Angalia raia wake ndiyo wanaongoza kwa majengo Kariakoo wanaisha Tanzania sasa kwa uchumi kila kikicha ndugu zako wanauzia nyumba tu wanajenga maghorofa wanafungua madukani kila kona Tanzania😂
Hao matajiri wakubwa Tanzania ni wayemen wanakula Mandi tu.
 
Si ajabu huyo dogo ni mpishi kwenye restaurant hizo za mandi laham hapo mitaani 😄

Afu dogo mwambie afatile vizuri America wanaomba Nato ndio ipigane vita na Yemen 😄 Hata US kaona wapiga mirungi ni balaa kuliko Afghanistan

Yemen ni moto wa kuotea mbali Waingereza na Waturkey wanawafahamu vizuri na karibuni waulize Saud Arabia na wenzake kina US, Pakistan, Morocco, Egypt, UAE, Israel, Bahrain wana habari zao watakupa jibu

We huoni wote Israel, America na Uingereza wamekacha kiaina, sababu pale Yemen utapiga nini hakuna majumba marefu yote ya zamani wanatafuta wavunjiwe bure ili wajenge mapya 😄 Si unajua hata kuvunja majumba inataka pesa
 
Hivi Hao waHouthi wanajua lolote kuhusiana na insurance ZA meli! Mbona kamaa wanawafaidisha wanaowalenga
Sasa wanalalamika nini kama wanafaidishwa si waache tu zipigwe ili wazidi faidishwa
Ila wasisahau kukatia bima na roho za watu
 
Huyo myemeni asiingilie vitu ambavyo havimuusu kwanza ni nchi masikin sana watu wake wengi wanakufa kwa njaa kila leo yaani ni nchi masikin hata tz inamuacha mbalii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata Vietnam [emoji1264] na Afghanistan [emoji1023] walikua maskini sanaaa
Ila us na nato walikimbia mbio nyingi sanaaa
 
UN wanalia huko ohh Yemen oh Yemen iko wapi UN wakati Israel anavunja sheria zote za UN.

America kapeleka kilio UN 😄
 
Baada ya kupata kipigo kibaya ndani ya siku mbili Israel imeamua kuokoa Wanamgambo wake kwa kuwaondoa Kaskazini mwa gaza hii ni aibu kubwa kuwahi kutokea......

[emoji599][emoji1134][emoji1193] BREAKING: “ ISRAEL has announced the WITHDRAWAL of 70% of their forces from the northern Gaza Strip due to the failure of their operations and because of resistance strikes.

The withdrawal from the northern Gaza Strip began with the truce and accelerated with the resistance strikes in the last two days.”

— Al Jazeera, citing a leading source in Al-Qassam
 
Israeli military expert "Barham Meir" on Channel 12: We have to admit that "Hamas" has won and the continuation of the struggle will lead to the great fall of the Israeli army. He says that within 24 hours, 25 vehicles were destroyed, if we assume that 3 soldiers were killed in each vehicle, the number is 75, a loss that Israel has not suffered in its history
 
Na haiwezekani iwe 3 soldiers kwnye vehicle maana hapo anaendesha mmoja kwahyo amepakiza 2 soldiers haiwezekani hapo wakipungua sana 8 warudi kwao wakajipange upya na maisha yameshakuwa magumu maana hakuna export wala import products bandari zinafungwa houthi wanazichukua tu meli
 
GAdNFhsXAAA5xhM allah.jpg
 
Hakuna jeshi lenye kushinda vita isiyo na military objectives.

Sasa ukimuuliza Netanyahu anapigana ili aachive nini, atasema kuwa ni kuitokomeza HAMAS. Sawa uwezo wa kuitokomeza HAMAS anao lakini kwa kuikalia Gaza Nzima, tena kwa muda mrefu. Je anao uchumi wa kukalia watu milioni 2 in full combat gear?, au anategemea mjomba USA ampe maokoto?
 
Back
Top Bottom