Mazayuni walifikiri ile operation ya 7/10 ilifanywa kibahati bahati tu. Haikuwaingia akilini kuwa ule ni mpango uliosukwa kwa muda mrefu sana na ukasukika na watu wenye akili kubwa.
Wapalestina walishajuwa wanachokifanya kitalea matokeo yepi na ndiyo maana hawakufanya mpaka walipohakikisha wana "Ghaza Metro". Walijuwa hii ni vita ya muda mrefu na waliji[ppanga wakapangika.
Leo ni siku zaidi ya 67, mapambano yanaendelea na mazayuni wanaendelea kuchezea kichapo ndani ya Ghaza na ndani ya Tel Aviv.
Wakati huohuo Wapalestina wameingia sasa kwenye kwenye phase ya kuwachia vikosi vyake vingine. Ikumbukwe kuwa kwa zaidi ya miezi miwili mazayuni wamepambana na kikosi kimoja tu. Kikosi hiki kingine cha Hamas kilianza kujitokea na kujitambulisha wakati wa kubadilishana wafungwa lakini kilikuwa hakijaingia kazini, kilikuwa bado kinasuk na kusubiri wakati wake utapofika. Sasa inaonesha wakati wake umefika na kimeingia kazinai, Hawa hapa wakijitambulusha rasmi kuwa wapo kazini na kikosi hiki msemaji wake ni Abu Hamza:
Your browser is not able to display this video.
Hao kwa jina lingine wanaitwa "the ghosts".
Moja ya sifa yao kubwa ni kuwa wanaposhika silaha na kuingia vitani huwa ni vita mpaka ushindi au afe. Hawajulikani walipo na hawajulikani ni kina nani. Habari zao hao ni mpaka uzipate kutoka kwao wenyewe. Hata vikosi vingone vya Wapalestina hawafahamu hao ni kina nani.
Hao watu hakuna mchezo kabisa. Leo upande mmoja wameuwa askari kumi wa Kiyahudi na kamanda mmoja mkubwa, upande mwengine wamesambaratisha vifaru zaoidi ya 100 na kikubwa zaidi leo wameanza kuihamishia vita kwa kasi kubwa ndani ya Israel, wameshambulia mpaka kati kati ya jiji la Tel Aviv.

Urgent βοΈ
According to the leaks we received* Intense and urgent contacts are being made by the US State Department with some Arab countries *especially Egypt and Qatar to pressure the Palestinian resistance to accept a quick truce under the pretext of bringing aid into Gaza!!* The truth is that this truce was requested by Israel from the United States as a matter of urgency so that it could From withdrawing its soldiers and vehicles from the quagmire they fell into today in the streets of Gaza, where they suffered heavy losses in vehicles and lives... Dozens of vehicles and hundreds of Zionist soldiers have been besieged inside the streets of Gaza and they are unable to retreat in the face of resistance ambushes!!The Hebrew channels have begun broadcasting news. About the fall of a large number of Israeli officers and soldiers in several precise ambushes set up for them by the resistance today!!And it is a jihad of victory or martyrdom!!"Israel breathes its last breath"*
Mnachanganya watu, Ritz kasema israel iko icu inapumulia mashine kwahiyo inalazimisha maongezi halafu Aljazeera hapa Netanyahu anasema hataki kabisa ceasefire kwani itakuwa ni kosa kubwa sana.
Mnachanganya watu, Ritz kasema israel iko icu inapumulia mashine kwahiyo inalazimisha maongezi halafu Aljazeera hapa Netanyahu anasema hataki kabisa ceasefire kwani itakuwa ni kosa kubwa sana.
Hahahaha unalishwa uharo na wewe una meza.
Hamas imeonya kuwa hakuna mateka atakayeondoka Gaza akiwa hai hadi pale matakwa yake yatakapotimizwa.
"Hakuna adui wa kiyahudi na uongozi wake wa kiburi... wala wafuasi walio nyuma yao ... wanaweza kuwachukua wafungwa wao wakiwa hai bila kubadilishana, kujadiliana na kukubaliana na masharti ya upinzani," msemaji wa Hamas Abu Obeida alisema katika kipande cha sauti kilichowekwa Jumapili kwenye kituo cha Telegram cha mrengo wa kijeshi wa kundi hilo.
Katika murndelezo wa vita vya Gaza ni dhahiri vimeingia katika hatua mpya ambapo hata Marekani wanahofia zaidi na hawajaficha kutofautiana kwao na Israel.
Wiki hii tumesikia hadharani kutofautiana kwa Rais wa Marekani Joe Biden na Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu. Biden alisema Israel imeanza kupoteza uungwaji mkono kimataifa na kwamba Waziri mkuu wa Isarel na serikali yake walipaswa kubadilila. Katika majibu yake Netanyahu alisema Israel itaendelea na vita Gaza hadi mwisho hadi Hamas iangamizwe hata kama itapoteza uungwaji mkono kimataifa.
Ukweli ni kwamba Israel na Netanyahu hasa hawezi tangaza ushindi vita dhidi ya Hamas kama viongozi na waongoza mashambulizi ya Oktoba 7 bado wanaishi. Ameagiza kukatwa vichwa kwa watu hao ili kuishinda Hamas. Kwa hio bila wao kufa vita huko Gaza havitaku na ukomo.
1. Kwenye list alifungwa 1988 na kuachiwa 2011
2. Paka mwenye roho 9 kapona zaidi ya visa 7 vya Israel kutaka kumuua
3. Huyu ni kivuli (shadow) hua haonekanihadharani
4 & 5 IDF na Mossad wanasema hawa wanaishi katika muda kwa "kuazimwa"
FaizaFoxy nataka niwape somo na wenzako, Waislam na Waarabu wa Middle East wanawachukia Wayahudi sababu ndio jamii pekee hapo Mashariki ya Kati ilikataa kusalim amri ya wavamizi wa Kiislam kutoka Arabia. Huyu Binti ni Mwarabu wa Kipalestina lakini amuonekano kama Wazungu wa Mediterania, na hivi ndio Wayahudi wengi pia huonekana.