FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Mazayuni walifikiri ile operation ya 7/10 ilifanywa kibahati bahati tu. Haikuwaingia akilini kuwa ule ni mpango uliosukwa kwa muda mrefu sana na ukasukika na watu wenye akili kubwa.
Wapalestina walishajuwa wanachokifanya kitalea matokeo yepi na ndiyo maana hawakufanya mpaka walipohakikisha wana "Ghaza Metro". Walijuwa hii ni vita ya muda mrefu na waliji[ppanga wakapangika.
Leo ni siku zaidi ya 67, mapambano yanaendelea na mazayuni wanaendelea kuchezea kichapo ndani ya Ghaza na ndani ya Tel Aviv.
Wakati huohuo Wapalestina wameingia sasa kwenye kwenye phase ya kuwachia vikosi vyake vingine. Ikumbukwe kuwa kwa zaidi ya miezi miwili mazayuni wamepambana na kikosi kimoja tu. Kikosi hiki kingine cha Hamas kilianza kujitokea na kujitambulisha wakati wa kubadilishana wafungwa lakini kilikuwa hakijaingia kazini, kilikuwa bado kinasuk na kusubiri wakati wake utapofika. Sasa inaonesha wakati wake umefika na kimeingia kazinai, Hawa hapa wakijitambulusha rasmi kuwa wapo kazini na kikosi hiki msemaji wake ni Abu Hamza:
Hao kwa jina lingine wanaitwa "the ghosts".
Moja ya sifa yao kubwa ni kuwa wanaposhika silaha na kuingia vitani huwa ni vita mpaka ushindi au afe. Hawajulikani walipo na hawajulikani ni kina nani. Habari zao hao ni mpaka uzipate kutoka kwao wenyewe. Hata vikosi vingone vya Wapalestina hawafahamu hao ni kina nani.
Hao watu hakuna mchezo kabisa. Leo upande mmoja wameuwa askari kumi wa Kiyahudi na kamanda mmoja mkubwa, upande mwengine wamesambaratisha vifaru zaoidi ya 100 na kikubwa zaidi leo wameanza kuihamishia vita kwa kasi kubwa ndani ya Israel, wameshambulia mpaka kati kati ya jiji la Tel Aviv.