LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Haya mnayaona ni sw tu kisa Israel hakutakiwa kujibu baada ya kushambuliwa hapo 7 oct , israel ikianza kujibu msije kulaumu watu
 
Na mabadiliko ya hii dunia yafanyike kipindi hiki Marekani Rais wao ni babu akija mwengine mambo yanaweza badilika.
Mkuu marekani hata aje nani tena shughuli yao imekwisha
Kwasasa inayotikisika pale us sio rais bali ni mfumo mzima unaotawala pale unatikisika maana dunia imebadilishwa sana hasa tokea ukraine apigwe na Russia mambo mengi yamebadilika
Kinachotakiwa nikuomba Russia azidi kupeleka moto wakwenda pale Kiev maana anapiga kiev ila kunatikisika mpaka Washington Brussels London Berlin Paris mpaka kule Ottawa bila kusahau Rome pamoja na Tokyo na Seoul
 
Ulivyovitaja hivo vyoote, imeshindikana vipi kuwepo GAZA huku ikiwa na nchi marafiki kibao?

Yaani unataka rafiki yako wewe tumwekee mipaka ya nini anapashwa kufanya kwako?

Ostazi vipi mkuu
 
Nlitegemea useme ubora wa yemen badala yake unazungumzia advantage za yemen kutoguswa , kwamb USA aliwezaj ipiga Iraq licha ilikuwa mbali na yeye ? Muda ukifika msilete post za kutia huruma humu
 
Zichapwe tu dunia iamze upya,,,tumechoka hizi nyimbo za israel kufanya ukuda afu kutetewa et ni taifa teule.......
Kumbe siku hz ukipigwa , ukijibu huo ni ukuda ? Hv unashabikiaj taifa ambalo lilipewa eneo kubwa kuliko mwenzie ila hiyo jamii ikaona wasiunde taifa bali wapigane na Israel kwanza , hii ni jamii ya wapumbav inashabikiwa na wapumbav
 
nani walipewa taifa na wapi
 
Israeli hawezi kupigana nje ya hapo anachoweza ni kutuma ka drone tu ndege f16 anakimbia

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Ulivyovitaja hivo vyoote, imeshindikana vipi kuwepo GAZA huku ikiwa na nchi marafiki kibao?

Yaani unataka rafiki yako wewe tumwekee mipaka ya nini anapashwa kufanya kwako?

Ostazi vipi mkuu
Hamna aloekewa mipaka kijana tuelewane kidogo
Nimekuonesha uhalisia wamambo ulivyo tu
Hamas hana marafiki kibao na hao wachache alio nao hawana nguvu kama marafiki wa taifa teule!!!
 
Israeli hawezi kupigana nje ya hapo anachoweza ni kutuma ka drone tu ndege f16 anakimbia

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Eiwaa ndio anachokiweza
Ila akiamua kupigana nje ya hapo imekula kwake
Halaf kuna watu wanataka israhell hii ikaishambulie Iran
Hili lakuishambulia Iran huyu mpuuzi wa israhell akilifanya basi atasomwa tu kwenye vitabu kama kuliwahi kua na taifa lilipora ardhi za watu ila kuna siku likajichanganya ndio likapoteea
 
Netanyahu kila akimuaza irani pamoja na vikwazo vyote hivyo. Lakin amefanikowa kuwa na nguvu za kijeshi kwa kujitegemea bila shida yoyete anaishiwa na nguvu

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Unajua lengo kuu la watu kupigana vita siku zote ni kulinda uhuru wao, ardhi yao,watu wao,n.k

Mfano tunaona wanavyofanya Russia na Ukraine wanapambana katika namna ambayo inaepusha madhara Kwa raia wa kawaida.

Sasa unazungumziaje hii mitindo ambayo haya makundi kama houthi,hamas, Hezbollah,n.k ambayo hupambana Katika namna inayoleta madhara makubwa sana kwa raia wasio na hatia ambao hupaswa kuwalinda???

Mf Leo hamas wapalestina 19k wameuwawa, does it worth to call victory???

Tumeona Yemen humanitarian crisis, mfano Saudi Arabia akafanya real war bila kujali madhara ya kibinadamu ,unadhani hao houthi watashinda???
 
Meli nyengine..... Kumbe tunasimbuliwa na mwarabu wa pemba!!! Jinga kubwa
 
Yemen Alishasema Saud wakijiingiza kwenye vita na wao watalipua miundo mbinu ya mafuta ya Aramco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…