green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Israeli huyu anaesumbuliwa na Wanamgambo miezi mitatu sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao wamewekwa kiporo,Sasa hivi Israel kafocus kutilia mbali Hamas, hao nyau wengine waendelee kujitekenya tu wacheke wanaweza kufumuliwa usiku mmoja na wote wakaomba ukimbizi.
Anasumbuliwa?Israeli huyu anaesumbuliwa na Wanamgambo miezi mitatu sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Gaza kuna Wapalestina zaidi ya milioni tatu hao 17000 waliouwawa ni % ndogo sana Israel hawezi kuepuka kipigo atapigwa tu take asitake...Anasumbuliwa?
Hivi ulielewa maana ya kufuta kizazi chote cha hao mgambo?
Ni mass killing, Ofcourse na wao wanajitetea.
Tena huwa operation mara nyingi inaanza ijumaa.
Uliza j3 idadi iliyoongezeka.
We kaa hapo unakenua kenua tu.
Andazi kweli kweli
Hebu lete hicho kiswahili chako cha Kagera tuone unaiitaje hiyo meliMeli nyengine..... Kumbe tunasimbuliwa na mwarabu wa pemba!!! Jinga kubwa
Urusi anaweza kupigana na Ukraine na kuepusha madhara kwa sababu ana nguvu a teknolojia ya kutosha kuepusha hayo. Wewe unadhani hivyo vikundi na israeli nani mwenye nguvu na teknolojia ya kutosha kuepusha madhara ya raia wasiyo na hatia?Unajua lengo kuu la watu kupigana vita siku zote ni kulinda uhuru wao, ardhi yao,watu wao,n.k
Mfano tunaona wanavyofanya Russia na Ukraine wanapambana katika namna ambayo inaepusha madhara Kwa raia wa kawaida.
Sasa unazungumziaje hii mitindo ambayo haya makundi kama houthi,hamas, Hezbollah,n.k ambayo hupambana Katika namna inayoleta madhara makubwa sana kwa raia wasio na hatia ambao hupaswa kuwalinda???
Mf Leo hamas wapalestina 19k wameuwawa, does it worth to call victory???
Tumeona Yemen humanitarian crisis, mfano Saudi Arabia akafanya real war bila kujali madhara ya kibinadamu ,unadhani hao houthi watashinda???
Kashapoteza dira na malengo hajui lifuata loKatikati ya vita Israel ilikuwa inapiga kwa nguvu mahospitali na wagonjwa,baadae wakahamia kwenye mashule na wanafunzi.
Israel sasa inaonekana wazi imechanganyikiwa baada ya kuuliwa maafisa wakubwa wa jeshi lake akiwemo mtoto wa ndugu wa mke wa waziri mkuu,mtoto wa waziri katika baraza la vita na generali katika kikosi cha Golani.
Kuchanganyikiwa huko sasa ikiona inalipiza kisasi inaua mateka iliyodai itawarudisha kwao wakiwa salama.Mateka watatu imewaua wakisema ilikuwa ni bahati mbaya.
Mashirika kadhaa ya habari yamelalamika waandishi wake kupigwa kwa makusudi ili kuzuia kurusha habari za unyama wao.Mwandishi wa Aljazeera Sameer Abudaqqa ni miongoni mwa wahanga wa karibuni ambaye ameuliwa jana na kombora la droni alipokuwa akiripoti na wenzake kwenye shule jya umoja wa mataifa iliyopigwa na kusababisha vifo kadhaa kabla yake.
Waziri mkuu wa Palestina ameuambia umoja wa mataifa kuwa Israel inawaua waandishi wa habari kwa makusudi ili kuzui kuuonesha ulimwengu unyama wake inaowafanyia wapalestina.
Hali ya kuchanganyikiwa kwa Israel kunatoa dalili kuwa imehusika moja kwa moja na vifo vya mateka wa kitanzania halafu ikaidanganya serikali ya Tanzania kuwa mateka hao waliuliwa na Hamas.
Wanapodhani wao wamebomowa na kumaliza ndipo hapo hapo wanaibuka mashaheed na kuwaliza:
View attachment 2843719
Waulize wayahudi ile mwaka 1947,1948,1967,1973,2005,2014,2021,2022 n.k walidhani watu watasahau.Yaani hapo baaado hamjasemaπππππππππππππππ
Kwani ile october 7 mlifanyeje!!?
Acheni wadudu wakuliwe tuu.