Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Tazama footage ya hilo tunnel, ukitazama kama walifukia matank vile sehemu za ukuta afu yanakutu, na foundation ni vyuma vipya kabisa haha hi ni film ya kihind kabisa 😄Unaweza kukuta hilo handaki lilikuwepo kitambo sana na inawezekana lilijengwa na hao hao Israel kipindi hicho wanaikalia Gaza. Siku hizi habari za kwenye internet sio za kizikurupukia
vp kuhusu mateka washawapata!!!Ndio naanza kukubaliana na waliosema kwamba Israel ilikua na taarifa zote za kijasusi kuhusu maandalizi ya lile shambulizi la HAMAS, itakua walisubiri na kuruhusu litendeke ili wapate sababu tosha za kufumua Gaza. Maana hainiingii akilini kwamba haya mahandaki yalijengwa bila Israel kujua, yaani kwa kifupi Israel walikua wanatafuta kila sababu ya kusafisha pale mahali.
IDF exposes massive tunnel system in Gaza built by Sinwar's brother
Israel-Hamas War: What happened on day 72?
IDF exposes massive tunnel system in Gaza built by Sinwar's brother • No further hostage talks until Israel ceases aggression, Hamas official sayswww.jpost.com
Wapigwe WayahudiSafari hii Hamasi kagusa pabaya, Muhizraeli kapoteza ufunguo wa msamaha, yani hiyo harithi ya Palestina itafumuliwa kila pahali.
Any way wamechokoza wenyewe .....
Nakumbuka ulisema Israel hawajasonga mbele hata inch mojaNdio naanza kukubaliana na waliosema kwamba Israel ilikua na taarifa zote za kijasusi kuhusu maandalizi ya lile shambulizi la HAMAS, itakua walisubiri na kuruhusu litendeke ili wapate sababu tosha za kufumua Gaza. Maana hainiingii akilini kwamba haya mahandaki yalijengwa bila Israel kujua, yaani kwa kifupi Israel walikua wanatafuta kila sababu ya kusafisha pale mahali.
IDF exposes massive tunnel system in Gaza built by Sinwar's brother
Israel-Hamas War: What happened on day 72?
IDF exposes massive tunnel system in Gaza built by Sinwar's brother • No further hostage talks until Israel ceases aggression, Hamas official sayswww.jpost.com
Mzee wangu dini imekupofusha kabisa mzeeUloifikiri hao ni mapoyohyo kama wewe?
Leo dunia nzima mnaimmba Hamas, Hamas, Hamas, dogo jilo?
Hao wapo trained na watemi wa waliowafanya USA wachumba waliyoikimbia ndoa ya Afghanistan, The Taliban.
Jionee:
Taliban baada ya kuistuwa dunia kwa kumchapa Mmarekani Sasa wameistuwa dunia ya Magari
Supercar Simurgh ya Afghanistan yaishtua sekta ya magari Duniani. Sina haja ya kusema memngi jonee mwenyewe:www.jamiiforums.com
Uloifikiri hao ni mapoyohyo kama wewe?
Leo dunia nzima mnaimmba Hamas, Hamas, Hamas, dogo jilo?
Hao wapo trained na watemi wa waliowafanya USA wachumba waliyoikimbia ndoa ya Afghanistan, The Taliban.
Jionee:
Taliban baada ya kuistuwa dunia kwa kumchapa Mmarekani Sasa wameistuwa dunia ya Magari
Supercar Simurgh ya Afghanistan yaishtua sekta ya magari Duniani. Sina haja ya kusema memngi jonee mwenyewe:www.jamiiforums.com
😄 Sa walikuta nini kama hilo tunnel ni la Hamasi? AFU Israel hilo tunnel unauhakika kaliona jana? Au labda aliliona zamani sababu Hamasi Halitumii inaonyesha ama waliwacha kulitumia zamani au Israel kaleta yeye kalifukia sababu jeshi la Israel lipo hapo toka walipo ingia Gaza hilo tunnel lipo karibu kabisa na border.
Mimi nahisi Israel anaweza kuwa kajenga yeye kutafuta point ya kiaskari sababu hana mpa mda hu?
Swali je walikuta hata kijana wa Hamasi mle? Au silaha? Sa vipi tuamini waongo??Israel ni waongo sa je kama hilo tunnel ni wao Israel ndio walilijenga zamani?
Swali lingine hata kama ni tunnel la Hamasi, ina mana tokea vita vianze wamepata tunnel moja tu 😄 Afu kuna watu wanasema hawa ma super power siku 70 ndio mnapata tunnel afu tunnel lisilo tumiwa hakuna chochote ndani afu mnajisifu 😄
Mimi nadhani hilo tunnel labda walijenga wao au katika matunnel walio gundua wao zamani kabla ya vita, wameamua kwa sasa kulionyesha ili waonekane wamepata angalau kavictor kwenye upande wa kijeshi.
Swali lingine kama ni kweli wamegundua hilo tunnel kawaulizeni ma expert katika JWTZ kuwatangazia watu si unakuwa umempa adui yako point? Anafahamu wazi kumbe tunnel lile hatuwezi litumia tena, badala ya wao kufaida nalo kuwashika Hamasi wakilitumia, haijaingia akilini hata siku moja na hisi ni kama filim ya kihindi tu katengeneza Israel.
Hilo tunnel labda wao wamelijenga sababu linaonyesha ni jipya na hakuna hata askari wa Hamasi au silaha, tazameni vyuma vipya kabisa 😄
vp
vp kuhusu mateka washawapata!!!
au ndo tuje tuzungumze tubadilishane!!!
Wameidukua Iran ila mpaka sasa wameshindwa kudukua mawasiliano ya Hamas kujua mateka walipo?
Hizo propaganda za kuipamba Israel zilizimwa na Hamas October 7.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ingekuwa kwenye nchi za wenzetu ambako kuna tawala na Mamlaka ambazo ziko serious sana na Masuala ya Ulinzi na Usalama wa Wananchi wao, basi watu wanaohusika na masuala ya Counter-intelligence and Counter-terrorism wange-deal na wewe kindakindaki kabisa mpaka kieleweke.Uloifikiri hao ni mapoyohyo kama wewe?
Leo dunia nzima mnaimmba Hamas, Hamas, Hamas, dogo jilo?
Hao wapo trained na watemi wa waliowafanya USA wachumba waliyoikimbia ndoa ya Afghanistan, The Taliban.
Jionee:
Taliban baada ya kuistuwa dunia kwa kumchapa Mmarekani Sasa wameistuwa dunia ya Magari
Supercar Simurgh ya Afghanistan yaishtua sekta ya magari Duniani. Sina haja ya kusema memngi jonee mwenyewe:www.jamiiforums.com
Chuma kinakula chumaHamna namna.
Israel Wana machungu lakini pia palestina wamepoteza ndugu wengi na Dunia haitaki kuingilia kati. So tuache wanaume wachapane kule hakuna ushirikina ni mwendo wa chuma
Ndiyo kinachoendeleaHamna namna.
Israel Wana machungu lakini pia palestina wamepoteza ndugu wengi na Dunia haitaki kuingilia kati. So tuache wanaume wachapane kule hakuna ushirikina ni mwendo wa chuma