Ukiachana na nabii Tito wavaa misalaba wanakuwa na akili.Rejea matamko ya baraza la maskofu,wakitoa matamko yanakuwa na mashiko.Hawakurupuki.Pia shule, hospitali na vyuo,ambapo wamesoma na kutibiwa mpaka hao wavaa vipedo na makobazi,zimejengwa na wavaa misalaba!
Yeah tukana unavyoweza ila ni upumbavu kushabikia vifo vya watoto na wanawake ambao ni 70% ya waliokufa. Nlidhani mnapambana na Hamas kumbe wamama na watoto? Mbaya zaidi jana wameua wakristo wenzetu kanisani hadi Papa Kalaani!
Anyway kwa akili hizi ndio maana nchi yenu imekua failed state kiuchumi na kiusalamq
Ukiendekeza sana chuki za kidini, watu waliostaarabika wanakuona wewe ni fala tu
Nani aliyesema Israel wafutwe duniani? Ili iweje? Tunachosema ni Palestina wapewe haki yao.Haitokuja siku mfute Wayahudi kwenye ramani ya dunia, kila mkijaribu mnakumbana na haya matokeo
Nani aliyesema Israel wafutwe duniani? Ili iweje? Tunachosema ni Palestina wapewe haki yao.
Mimi sio muislam sasa, ni mlokole kabisa tena theologian. So naongelea uhalisia sio udiniKitabu chenu kinasema Wayahudi wawindwe hadi aliyejificha nyuma ya jiwe, wafutwe wote, ila Mungu wa Wayahudi ana nguvu kuliko wenu maana kila mkijaribu, mnafutika nyie...
sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
Mimi sio muislam sasa, ni mlokole kabisa tena theologian. So naongelea uhalisia sio udini
Hujitambui kasome thread zangu zote, I'm not a Muslim, nani kakuambia wakristo lazima tupende wayahudi? Mbona Martin Luther aliwachukia wayahudi hadi akaagiza wachinjwe kama panya? Kwani alikua muislam?Aha wapi wewe nilishakuumbua kitambo, nachokuambia haya maandiko yanwachonganisha mnakufa wenyewe badala ya kufuta Wayahudi kama mlivyoelekezwa na 'mungu' wenu huyo
sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
Kivipi kwamba wanapigana na duni
View: https://twitter.com/manniefabian/status/1736733003668173039
Israel inapigana kwa ajili ya Dunia, Sisi huku Tanzania tupo nyuma yao
Na wewe uchoki huo ujinga wako nani kakwambia kuna kitabu au muongozo kwa waislamu zaidi ya quran???Kitabu chenu kinasema Wayahudi wawindwe hadi aliyejificha nyuma ya jiwe, wafutwe wote, ila Mungu wa Wayahudi ana nguvu kuliko wenu maana kila mkijaribu, mnafutika nyie...
sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
Hujitambui kasome thread zangu zote, I'm not a Muslim, nani kakuambia wakristo lazima tupende wayahudi? Mbona Martin Luther aliwachukia wayahudi hadi akaagiza wachinjwe kama panya? Kwani alikua muislam?
Je, Martin Luther alimshawishi Adolf Hitler kuteketeza wayahudi?
Habari za kazi wana jf intelligence. Kama kawaida katika pita pita zangu kutaka kufahamu mambo mbalimbali leo nilikutana na kitabu/Andiko la Martin Luther kuhusu wayahudi likaniacha na maswali mengi nikaona nije kwa Wana JF tupeane mbili tatu kuhusu hili andiko na nimeambatanisha nakala...www.jamiiforums.com
Na wewe uchoki huo ujinga wako nani kakwambia kuna kitabu au muongozo kwa waislamu zaidi ya quran???
Haki ipi wapewe wapalestina?Nani aliyesema Israel wafutwe duniani? Ili iweje? Tunachosema ni Palestina wapewe haki yao.
Sure wapalestina hawatakiwi kuwepo hapo
View: https://twitter.com/manniefabian/status/1736805403743465787
Fact is Palestina na Hamas watapoteza maeneo
Sure kamwe wayemen hawawezi mtisha US au EU
View: https://twitter.com/Osint613/status/1737132008692682815
Kuna mtu anakaa Humu anaamini Waasi wa Houthi wanaweza kumpiga Marekani, Yemen is too poor na ni failed state ndio maana watu hawaangaiki nayo