Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,971
- 13,608
Ukiachana na nabii Tito wavaa misalaba wanakuwa na akili.Rejea matamko ya baraza la maskofu,wakitoa matamko yanakuwa na mashiko.Hawakurupuki.Pia shule, hospitali na vyuo,ambapo wamesoma na kutibiwa mpaka hao wavaa vipedo na makobazi,zimejengwa na wavaa misalaba!