Amri kubwa ya Mungu ni upendo, kama humpendi mwanadamu unayemuona unawezaje mpenda Mungu ambaye haonekani?Hujitambui kasome thread zangu zote, I'm not a Muslim, nani kakuambia wakristo lazima tupende wayahudi? Mbona Martin Luther aliwachukia wayahudi hadi akaagiza wachinjwe kama panya? Kwani alikua muislam?
Je, Martin Luther alimshawishi Adolf Hitler kuteketeza wayahudi?
Habari za kazi wana jf intelligence. Kama kawaida katika pita pita zangu kutaka kufahamu mambo mbalimbali leo nilikutana na kitabu/Andiko la Martin Luther kuhusu wayahudi likaniacha na maswali mengi nikaona nije kwa Wana JF tupeane mbili tatu kuhusu hili andiko na nimeambatanisha nakala...www.jamiiforums.com
Kama Martin Luther aliwachukia wayahudi hapo alipotoka tena sana. Hili haliwezi kuwa ni jambo zuri kwa mtu wa Mungu tena mlokole kulisema kana kwamba ni jambo jema.