LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Nyie mafarisayo mliyataka wenyewe, ngoja mpelekewe moto

Kila nikikumbuka kifo cha Joshua napandwa na hasira sana hivi hawa wafilisti hawana huruma???
 
Mbona hapa Tanzania polisi wanawanyanyasa sana wananchi wakiwemo mabibi zetu ila hampazi sauti?
 
Inasikitisha.. kilichofanyika sio sahihi
 
Hujajibu swali kwanini upeleki watoto wako gaza wakawe mashaheed?
mnashabikia vifo vya watu wengine wanakufa bila hatia mnasema mashaheed tf? Peleka wanao wakae mashaheed Hayo ya Yesu kuwa mpalestina mnayaleta ninyi
Kwanza elewa kuwa, Waislam hatuwamulii watoto wetu wakisha balehe. Unajuwa maana ya balehe wewe?

Pili, elewa kuwa Muislam ni ndugu ya Muislam mwenziwe.

Tatu, elewa kuwa vita ya Palestina siyo ya kidini.

Umeshabarikiwa?


Unafahamu kuwa Yesu alikuwa Mpalestina?
 

Cheka tu vizuri, ila usisahau kufa kupo, baada ya hapo kuna maisha mengine
 
Kupigana na vijana wa Hamas ni kujitia maudhi tu, maana sasa vijana wa Hamas wanachowafanyia mazayuni ni utani tu, wanawaudhi sana.

Kama mtakumbuka siku ya mwaka mpya kufika saa sita kamili ya usiku wakaagiza missiles kutokea hapo hapo Ghaza ambapo mazayuni wanadanganya wamedhibit. Wayahudi wakaanza kusherehekea mwaka mpya wakifikiri kuwa ni fataki za sherehe, kumbe inawanyeeshea.

Leo tena wamesema wanamkaribisha waziri wa mambo ya nje wa Marekani, wameanza kuanzia sasa hivi kuishambulia TelAviv kwa missile kutokea Ghaza, wanasema hayo maribisho yataendelea usiku kucha mpaka asubuhi.

Hawa vijana wanaionesha dunia kuwa mazayuni ni waongo, wanachoweza wao ni kupiga wagonjwa mahospitalini na watioto wadogo majumbani. Kwenye medani, bado Hamas wanatawala mchezo:


View: https://youtu.be/NLZj4Wf74WM?si=MK67mwEp87n3Nlej
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…