LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
View attachment 2865406
Source: TRTWORLD

Kama muonavyo clip ya mama mtu mzima, akisukumwa na kuanguka hadi chini, huu sio ubinadamu haswaa, huu ushenzi wanaoufanya mazayuni dhidi ya wapalestina kamwe huwezi kukuta Hamas’s wakifanya.

Aliemsukuma mama huyo ni mwanajeshi wa kizayuni mwenye asili ya uafrika, kama mnavyoona akifanyiwa ukatili huo.

N:b Unawezaje kuwasapoti na kuwaunga mkono watu hawa wasio na utu, wala huruma kwa binadamu wenzao, hawaheshimu imani za wengine n.k! Kuna unyama mwingi sana wakiwafanyiaa watoto, wamama, wazee na vijana.

Imefikia hadi wanalipua makaburi ya waislamu na kuyafukua, na kuwachukua na kwenda kuwatolea viungo, huu ni ukatili uliopitiliza.
Nyie mafarisayo mliyataka wenyewe, ngoja mpelekewe moto

Kila nikikumbuka kifo cha Joshua napandwa na hasira sana hivi hawa wafilisti hawana huruma???
 
Mbona hapa Tanzania polisi wanawanyanyasa sana wananchi wakiwemo mabibi zetu ila hampazi sauti?
View attachment 2865406
Source: TRTWORLD

Kama muonavyo clip ya mama mtu mzima, akisukumwa na kuanguka hadi chini, huu sio ubinadamu haswaa, huu ushenzi wanaoufanya mazayuni dhidi ya wapalestina kamwe huwezi kukuta Hamas’s wakifanya.

Aliemsukuma mama huyo ni mwanajeshi wa kizayuni mwenye asili ya uafrika, kama mnavyoona akifanyiwa ukatili huo.

N:b Unawezaje kuwasapoti na kuwaunga mkono watu hawa wasio na utu, wala huruma kwa binadamu wenzao, hawaheshimu imani za wengine n.k! Kuna unyama mwingi sana wakiwafanyiaa watoto, wamama, wazee na vijana.

Imefikia hadi wanalipua makaburi ya waislamu na kuyafukua, na kuwachukua na kwenda kuwatolea viungo, huu ni ukatili uliopitiliza.
 
View attachment 2865406
Source: TRTWORLD

Kama muonavyo clip ya mama mtu mzima, akisukumwa na kuanguka hadi chini, huu sio ubinadamu haswaa, huu ushenzi wanaoufanya mazayuni dhidi ya wapalestina kamwe huwezi kukuta Hamas’s wakifanya.

Aliemsukuma mama huyo ni mwanajeshi wa kizayuni mwenye asili ya uafrika, kama mnavyoona akifanyiwa ukatili huo.

N:b Unawezaje kuwasapoti na kuwaunga mkono watu hawa wasio na utu, wala huruma kwa binadamu wenzao, hawaheshimu imani za wengine n.k! Kuna unyama mwingi sana wakiwafanyiaa watoto, wamama, wazee na vijana.

Imefikia hadi wanalipua makaburi ya waislamu na kuyafukua, na kuwachukua na kwenda kuwatolea viungo, huu ni ukatili uliopitiliza.
Inasikitisha.. kilichofanyika sio sahihi
 
Hujajibu swali kwanini upeleki watoto wako gaza wakawe mashaheed?
mnashabikia vifo vya watu wengine wanakufa bila hatia mnasema mashaheed tf? Peleka wanao wakae mashaheed Hayo ya Yesu kuwa mpalestina mnayaleta ninyi
Kwanza elewa kuwa, Waislam hatuwamulii watoto wetu wakisha balehe. Unajuwa maana ya balehe wewe?

Pili, elewa kuwa Muislam ni ndugu ya Muislam mwenziwe.

Tatu, elewa kuwa vita ya Palestina siyo ya kidini.

Umeshabarikiwa?

Unafahamu kuwa Yesu alikuwa Mpalestina?
 
Hamas ujinga gani wewe ustaadh????? Hamas hawakuua wanawake? hawakuua watoto??? hawakubaka wanawake???? hawakuteka watoto na wanawake????

Tumia akili ustaadh la sivyo tuliza matako yako sindano ikuiingie ok, yaani ukiua kwa upanga nawe pia utauawa kwa upanga, na ndio kinachoendelea kutokea Gaza up to now so mwenye uwezo na ubeba plus ujasiri ndie atakaye walinda watu wake.

Alafu ustaadh kwani wewe umemuona huyo tu???? kwa taarifa yako Hassan Nassrallah, Sinwar, na wale waliokimbilia Qatar, ushawaona wakitembea live kweupe hivi???? watu wa allah wako mashimoni mda wote, wewe endelea kukenua bongo hapa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Cheka tu vizuri, ila usisahau kufa kupo, baada ya hapo kuna maisha mengine
 
Kupigana na vijana wa Hamas ni kujitia maudhi tu, maana sasa vijana wa Hamas wanachowafanyia mazayuni ni utani tu, wanawaudhi sana.

Kama mtakumbuka siku ya mwaka mpya kufika saa sita kamili ya usiku wakaagiza missiles kutokea hapo hapo Ghaza ambapo mazayuni wanadanganya wamedhibit. Wayahudi wakaanza kusherehekea mwaka mpya wakifikiri kuwa ni fataki za sherehe, kumbe inawanyeeshea.

Leo tena wamesema wanamkaribisha waziri wa mambo ya nje wa Marekani, wameanza kuanzia sasa hivi kuishambulia TelAviv kwa missile kutokea Ghaza, wanasema hayo maribisho yataendelea usiku kucha mpaka asubuhi.

Hawa vijana wanaionesha dunia kuwa mazayuni ni waongo, wanachoweza wao ni kupiga wagonjwa mahospitalini na watioto wadogo majumbani. Kwenye medani, bado Hamas wanatawala mchezo:

View: https://youtu.be/NLZj4Wf74WM?si=MK67mwEp87n3Nlej
 
Back
Top Bottom