LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Aljazeera imekuwa kama nayo ipo vitani news zao zinatisha mno sijaelewa why Netanyahu anaiacha iharibu image ya Israel au anaacha uongo ili watu wote duniani wajue nini ni aljazeera.. ... jana wamekuja na news kwa Gaza wanapewa Misaada ya vyakura vya wanyama.. inamaa Donners ni wajinga au kuna wali majizi kwenye Insta,Tweeter,Facbook,Telegram na social zingine wakijifanya kupokea misaada for Gazan kisha wananunua vyakura vya mbwa and change wanabaki nayo.. wajinga ndio waliwao...
 

Kwamba kwa vile kasema Israel?

Kumbe Israel akisema wewe ni kereng'ende, kuku, kima au ngedere, bila shaka utakubali.
 

Uongo wa aljazeera au ukweli wa Israel unaupima Je ndugu Goba pale?
 

1. Umeandika takataka zaidi kuliko hata mwanzo.

2. Hivi unaelewa hata unajibu kuhusu nini?
 
Hujaona kama kuna miundombinu imeharibiwa??
Pia yapo mashambulizi yaliyoleta mdhara labda kama hujafuatilia kulipuliwa kwa airbase ya IDF Kaskazini mwa Israel,kulipuliwa kwa kambi nzima ya Galilee na Kulipuliwa kwa satellite za kijeshi za IDF kaskazini mwa IDF.
Haya yote uliyafuatilia??
Pia huko kaskazini raia wamehamishwa kitahadhari hakuna wayahudi huko.
 
1. Umeandika takataka zaidi kuliko hata mwanzo.

2. Hivi unaelewa hata unajibu kuhusu nini?

Nikishakuweka kwenye jalala la taka taka inabidi niandike taka taka kuendana na ulivyo...
Ha ha ha!! mara nyingi nyie wavaa makobaz huwa sijui najibu nini, nikiona umenitag au umeni-quote ninajibu chochote maana mnanitag watu kama hamsini kwa mpigo.....
 
Kwa nini waarabu wenzao wasiwasaidie vyakula vizuri maana wakiwasaidia wapalestina hawatakuwa na haja ya misaada ya US au nchi za ulaya.
 
Aljazeera toka vita ianze hiyo ndo habari kubwa kwao iwe mchana usiku yaan kila wakati ni breaking news kuhusu hii vita na wako bega kwa bega na ndugu zao wapalestina
 

Palikuwa na uzi humu mkiitishana kwenda kunyanduliwa .. kila la kheri ndugu.
 

Haya ni kwa mujibu wa vyanzo vya habari vya Israel.

Na yaliyofichika ni makubwa zaidi!
 
View attachment 2921788
Haya ni kwa mujibu wa vyanzo vya habari vya Israel.

Na yaliyofichika ni makubwa zaidi!
Mkuu naona mnajifariji katika mihadhara 🤣🤣🤣🤣🤣.
Baada ya kichapo cha gaza kukolea.
Si mlikua mnashangilia October 7
Hii tunaita MUSLIM AND ARABS CHEAP PROPAGANDA,S AGAINST JEW'S......uzuri ni kwamba WE DONT BUY CHEAP PROPAGANDA.......historia ya wayahudi tunaijua na husda na fitina na chuki za waarabu na waislamu tunazijua.
 
Tangu lini MAARABU wakazungumzia historia ya waebrania kwa wema???
ARABS AND MUSLIM STATE OF MIND.
October 7 si mlitembeza maiti za wanawake wa kiyahudi uchi hadharani.......????
Kuleni kichapo......si mlimuua dogo Mollel
 

Mataifa mangapi yanauwa raia wakisaidiana na Israel? Jana mmeuwa raia 100, ndio kujisifu kwenyewe!
 
Mataifa mangapi yanauwa raia wakisaidiana na Israel? Jana mmeuwa raia 100, ndio kujisifu kwenyewe!
Mkuu hao waarabu raia ndio hamas wenyewe wacha wale kichapo.....na waarabu wenzao wamegoma kuwasaidia...!!!
Mbona oct 07 MAARABU walikua wanajisifu na kutembeza maiti za wanawake wa kiyahudi uchi hadharani
 
Ushaanza ligi.........kama unataka ushahidi katazame Al arabiya au al Jazeera mkuu.
Nyie si mlikua mnashangilia October 7.....kuleni kichapo

Umeshindwa kuja na ushahidi, basi sawa.
👇
وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.

وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ
Al-Baqarah 170
Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?
 
Jana jumapili ilikuwa ni siku ya maombezi duniani kwa makanisa ya Moravian na hapa Tanzania kwa makanisa yaliyo chini ya CCT na TEC na maeneo na maombezi maalumu yalikuwa kuiombea Palestine,

Maoni yangu:
Palestina waache uchokozi wao na kuanza kulia lia,ardhi ni mali ya wana wa yakobo toka miaka zaidi ya 3000 nyuma,halafu waarabu wamevamia hapo na kusema ni ardhi yao.

Kama wataendelea kuishi kwa kuwavizia wenzao ili wawaue majanga kwao itakuwa ni milele.
 
Another depraved Israeli terrorist posing with lingerie he has stolen from Palestinian women, he has killed/displaced.







⭐ Dr. Anastasia Maria Loupis
 
Baada ya vita vya Palestina Keisha na Palestina kuibuka na ushindi Israel itapata hasara kubwa. Tathimini itatolewa na picha na video mbali mbali zitatolwa. Wenye chuki na Palestina wakipunguza chuki zao na akili zikiwaeudi wataungana kidunia.
1. Isreal imewaua watoto wa Palestina bila kujali Hamas au sio Hamas
2. Imebomoa nyumba zao pamoja na nyumba za ibada
3. Wamebaka watoto wa changa
Nk.

Shukran

Hii itaathiri sana nchi hio. Marekani inaelekea kuanguka kiuchumi na kupoteza sifa kama nchi yenye nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…