LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Aiseeh Hawa jamaa sio watoto wa mungu na Wala mungu wao sio mungu wa kumwa budu

Tuli danganywa
 
Wale waisrael pia waliokufa nao sio watu?
 
Watoto wawili wa Gaza wamewakilisha wenzao kuomba chakula kwa mtindo wa kupanda juu ya nguzo za umeme ili wasikiwe na askari wa Israel upande wa pili wa ukuta unaotenganisha Gaza na nchi hiyo.

Tunakaribia kufa, tunaomba chakula walisikika wakisema huku wakibembelezwa na wakubwa wao washuke hizo ni nguzo zina umeme.

Baada ya hapo watoto hao waliendelea kupaza sauti na kuzitaja nchi kadhaa za kiarabu moja baada ya nyengine wakizitaka ziwaokoe na vifo kwa kuwaletea chakula.

Enyi watu wa Saudia na Oman tuleteeni chakulaa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…