LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Gazeti la Sunday News la tarehe 07 October mwaka 1973
 
Ndugu yangu Manjidanganya tuu.

Yale mahekalu waliyokuwa wanajenga King Solomon pale Yerusalem(950 B.C) na masinagogi yaliyojaa pale Israeli, yalijengwa na wapelistina sio??

Palestina ni waislamu, kwann wajenge hekalu yerusalem kama wao ni wenyeji?
Wanajitoa ufahamu
We waache ni suala la muda
 
Saaaaaana sana sana Leo wanangu wameniomba wakale kitimoto ya kuchoma Kwa asali pale Riverside
Waislam wengi na waumini wa sheria za lawi hawajui ukweli wa kwanini nguruwe alikatazwa kuliwa na je kuna madhara gani kula mnyama aisiye cheua au ambaye kwato zake hazija gawika hawana majibu ,

Nanhawatuambii ni nani aliye hakiki wanyama wanao cheua na wasio cheua kwa sababu samaki wanaliwa kwa makundi yao na hawa cheui

ila wanatakiwa kujua kwamba moja ya sababu ya kitimoto kuzuiwa katika uislam ni baada ya ma sheikh kuificha ili wale pekeyao kwa hiyo hawakuipanga mezani baada ya kuona ni nyama iliyo nona sana hivyo wakaingiwa na choyo wakaificha wakiwa kwenye sherehe zao huko.
 
Ss yeye ndo hatakaa Kwa raha,suala la. muda tu
Mungu sio mzungu, wanatamani iwe hivyo ila hawana uwezo huo na wataishi kwa wasi wasi maisha yao yote, palestine wamedhulumiwa na wamezoea kunyanyaswa ila israel anategemea utalii na kutaka kuifanya iwe kama europe kitu ambacho kimefail kutokana na kutokuwa salama so kwa kiendeleacho israel ndio anaepoteza wakati palestine hana cha kupoteza
 
Kuna andiko la kusapoti ulichoandika au Mahaba binafsi.
 
Mtoto analilia Nini?
Mtoto analilia jeshi
Muache ataona mwenyewe ×2

Akitembelea shoto, kulia mliama atakaoupanda ×2 🎶🎻

Magaidi watajutia ugaidi wao
 
Netanyahu Warns: "I say to the residents of Gaza: Leave there immediately, because we will operate everywhere, and with full force.”
 
wanaopigana ni kundi la Hamas na jeshi la israel. na waka sio raia wa israel na palestina.
 
Komredi tofautisha msimamo wa kiongozi ambao mara nyingi unakuwa msimamo wa nchi na ule msimamo wa mtu mmoja mmoja, kikundi au jamii ambayo haina nguvu sana.
Sasa msimamo wa Mwalimu Nyerere sio Nchi Today's vip ndugu yangu kama sio wa Nchi mbona hatukuweza kuwa na balozi kwa kipindi chake na Ubalozi wa Israel umekuja juzi tu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…