LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Magaidi na wafadhili wao wafyekwe popote walipo ili amani irejee Mashariki ya Kati
 
Huyu sio mungu ni miungu
 
Hata ukisoma huuzi uzj utaona kama tunatia kinya watanzania wakisikia myahudi yupo tiari hata kugawa tigo bure ..sijui nani aliyepandikiza huu uji wa wakristu wezangu kuwa wayahudi ni binadam first class
 
Hawa ndo wanajeshi 8 wa Israel waliochomwa na Hamas jana Gaza

Miili yao iliungua vibaya kiasi cha kutofaa hata kutambulika kwa macho kutokana na mlipuko mkubwa

Majivu na mabaki yao yatarudishwa na kwenda kuzikwa

Walienda Gaza kuua wanawake na watoto cha kusikitisha wameishia kuchomwa kama mishikaki ya Broiler baada ya ATGM kufanya yake!!

[emoji298]️Eight zionist terrorists liquidated in Rafah, they found out
 
UTAKIENI AMANI YERUSALEM WAFANIKIWE WAKUPENDAO YERUSALEMU.

BWANA ALIPO WAREJEZA MATEKA YERUSALEM TULIKUWA KAMA TUOTAO NDOTO NDIPO ROHO ZETU ZILIFURAHI.

AMANI IKAE NAWE JERUSAREMA WAFANIKIWE WAKUPENDAO

JINA LA MUNGU WA YAKOBO LIKUINUE WAKATI WA DHIKI.
 
Dunia ina wanafiki sana, anyway let's them kill each other, ila Palestine wade zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…