LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Upo sahihi Mkuu hata ukipita zile bara bara zao kubwa kama Alibetina Sesulu utaona Mabango mengi ya kuipinga Israeli..
 
Inashangaza sana lakini kwa video za Jana Wacha palestina walipe gharama we unaua mtu Hana bunduki yupo kwenye gari, utalii unampigia shaba so ugaidi huo
Zile video zinaumiza sana maana niliona mwanzo wanaouawa ni raia tuu sio Wanajeshi pana dada mmoja walimuweka kwenye boot ya gari harafu baadae wakamuua wazi wazi huku wakijirekodi aisee sasa wanaokufa huko Palestine ni watoto na wanawake sio wale Hamas wauaji wao wanarudi kwenye mahandaki...
 
Vifaru vyakutosha vinasogezwa mpakani na Gaza, kuna uwezekano Gaza yote ikawa RIP.
kama wameshindwa kukaa kwa amani watimuliwe tu, wakaishi ukimbizini magaidi hao wanaotumia raia kama kinga yao, gaza itekwe tu, kama mbwa na iwe mbwa, uchokozi hauvumiliki
 
september 11,2001
 
Hawa hamas wamepiga mshtuko mkubwa sana ni kama Israel hawakujua kinachotokea.
Hapana msituko, kutakuwa na kutokuelewana miongoni viongozi wa serikali ya Israel. Na watu wa intelijensia lazima walikuwa wanajua kila kitu but inawezekana kuna kitu kilitokea labda walinyimwa budget, walikuwa wanadharauliwa etc. Na hivi vitu hutokea kila sehemu kwa sababu watu wa intelijensia siyo watawala
 
september 11,2001
Lile lilikuwa gumu kuzuia lakini marekani bado wapo vizuri maana muingiliano wa jamii tofautitofauti Tena wanapewa uraia hadi kujiunga na jeshi sio kazi nyepesi
 
Aisee hii vita ni ngumu kutokuhusisha hata kama hawana hatia lazima wafe Hamas wanatumia sana makazi ya watu kijifucha na kufanyia mashambulizi Israel inatuma tu kombola litembee na jengo nzima
 
Netanyahu aapa kuigeuza Gaza kifusi..🤔
.....
PICHANI:JENGO LA WATAN TOWER,GAZA CITY,LIKIWA LIMEGEUZWA KIFUSI NA MASHAMBULIZI YA NDEGE ZA ISRAEL
 
Waislamu na wakristo wengine hasa tz ni wehu hao wanavita yao ya ardhi huku nyie mnaanza taifa teule nyie wapumbavu huyo mungu angelibakisha taifa hlo na mengne yote yasiwepo.
Hizi dini zimetufikia wakati elimu bado hata kwa akili ya kawaida MUNGU/ allah atabariki hayo mauaji hiyo ni vita ya ardhi tu
 
Amri ni Moja Israel iwafyeke hao mabedui isibakuze hata panya mmoja.

Ifyeke mpaka migugo na sisimizi
 
Waislamu na wakristo wengine hasa tz ni wehu hao wanavita yao ya ardhi huku nyie mnaanza taifa teule nyie wapumbavu huyo mungu angelibakisha taifa hlo na mengne yote yasiwepo.
Punguani wanasimama na magaidi, wateule tunasimama na TAIFA TEULE. MUNGU WA ISRAELI, YULE YULE ALIYEWAZABA KOFI PALE REDSEA Farasi na mpanda Farasi akawabwaga baharini ndio yupo kazini. Ee Yehova, mbariki Israel na watoto wake. Shalom Israel.
 
Hezhbollah fires rockets against Israel from Lebanon
A full-scale clash with Hezbollah in Lebanon would be 10 times more serious than the coming Israeli ground offensive into Gaza and the battles against Hamas there
 
Kundi la wapiganaji wa HezboLlah wameitikia rasmi wito uliotolewa na viongozi wa kipalestina juu ya kuungana nao kuishambulia Israel.
Mapema leo makombora ya masafa marefu ya Hezbollah kutokea kaskazini yalirushwa kuelekea vituo vya kijeshi vya Israel karibu na mashamba ya Bersheba.
Kwa upande mwengine Israel imekiri kuwa miongoni mwa askari wake waliouliwa ni mwenye cheo cha major na huku meya wa jimbo mmoja akiwa miongoni mwa waisrael hao waliokwishakufa.
Sambamba na hilo mapigano yanaendelea maeneo ya kusini ya Israel yanayopakana na Gaza huku wapalestina zaidi wakimiminika maeneo hayo.
Kwa mara ya mwanzo wapiganaji wa Hamas na wenzo wa Islamic jihad wameonekana wakimiliki na kuendesha magari ya kivita ya Humvee waliyoyateka kutoka jeshi la Israel.
 
Maweeee
Palestina pale Gaza inaenda kufutika.

Wakimbie tu kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…