LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Kwanza, Russia haikuwepo wakati wa WW2, So usipotoshe.
Pili, kama ulitaka umaanishe USSR, basi elewa USSR haikuingia kwenye ile vita kusaidia Wayahudi, bali ilishambuliwa na Ujerumani ambapo miezi 7 baadaye ikaingia vitani na this time waliamua kuitumia vita ile kurejesha maeneo yake kama Finland, Baltic States (Lithuania, Latvia, and Estonia), na Moldova ambayo ilikua annexed na Romania, pia sehemu kubwa ya maeneo ya Poland. Maeneo hayo yalijitenga wakati wa Civil war ya mwaka 1917 hadi 1922.
Unachokileta hapa ndugu yangu ni kipya kabisa.
US na UK ndiyo walijishughulisha zaidi na swala la Wayahudi wakati wa vita kuu ya pili ya dunia.
 
Muwe mnatunza akiba ya maneno. Unahisi wapalestina na Hao Hizbolah wao hawakuwi eeenh, unahisi wapalestina wa 1970 ndio Hawa wa leo?

Hawa watapigwa life time, hakuna siku wataamka, hawa watakucha chini ya Israel life time, ngoja uone.
 
Israel alichofanywa jana sijapenda.

Ila Waarabu watalipwa kwa vifo, ni swala la muda kabla vilio havijatawala
Mkuu wamesha anza kulipwa maana mpaka sasa majibizano ya silaha yanaendelea ila pande zote zinaumia sana kwenye mgogoro huu maana mpaka sasa Israel imesha poteza zaidi ya watu 400 na upande wa palestina umesha poteza zaidi ya watu 300 .

Na bado mapigano makali sana yanaedelea kusini mwa Israel kati ya hamas na jeshi la Israel na mashuhuda wana sema maafa ni makubwa sana kwenye makabiliano hayo.
 
Hizo namba umezipata wapi vyombo vya habari hapa vinasema ni 300
 
kama wameshindwa kukaa kwa amani watimuliwe tu, wakaishi ukimbizini magaidi hao wanaotumia raia kama kinga yao, gaza itekwe tu, kama mbwa na iwe mbwa, uchokozi hauvumiliki

Unaongea ukiwa wapi?

Kitakachowakuta hao mayahudi hamtaamini, tena natamani sana nikaunganenao kuwasaidia, sasa wewe nenda kajichanganye ukawasaidie hao mayahudi kama nitawaacha
 
[emoji1093][emoji1134][emoji3517] In Alexandria, a policeman shot dead two Israeli tourists

An Egyptian policeman shot dead two Israeli tourists in the city of Alexandria in northern Egypt, the Sada el-Balad TV channel reports, citing a security source.

According to the TV channel, one of the policemen opened fire indiscriminately at an Israeli tourist group, killing two Israelis and one Egyptian citizen. It is reported that another Egyptian was injured.

A security source said the policeman had been detained and his motives are being investigated.

[emoji837]@DDgeopolitics
 
Yaaah ni kweli mkuu....hata waislam wanamtambua king David Kama nabii daudi ..na sabab ya baadhi Yao kutosherehekea maulid ni sabab ya daudi kushangilia ushindi Hadi akavua nguo, wanashea ancestors... Ila Sisi mashabiki wa Vita tuliopo bongo tukiskia yakub, Suleiman ,daud na wengineo tunahis Kama Palestinian hawahusiki nao...hao ndugu wanagombea ardhi....put Bible evidence behind they are just tales to narrate,
 
WANA

Wanajiona wanadamu first class halafu hao palestinians ni daraja la pili.
Tena bado hawa Hamas hawatatulia na Palestine wanaungwa mkono na wengi kwa udhalimu wa wayahudi
Nguvu zao zimepungua siku hadi siku kwa sababu wameyataka wenyewe kwa kuhamasisha ushoga

Alexandria Egypt wameuwawa jews wawili na watawindwa sana safari hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…