LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
BREAKING:

Terror attack against Israel tourists in Alexandria, Egypt

An Egyptian police officer used his gun to start firing on a bus of Israeli tourists.

At least two Israeli were killed, many more are wounded
 
Remains of a car targeted by an IDF airstrike.
 

Attachments

  • 20231008_130710.jpg
    205.9 KB · Views: 2
IDF continue to strike multiple houses across Gaza, media outlets talk of Hamas affiliation in these locations.
 
Vikundi vya kigaidi vifutiliwe Mbali!
si kazi nyepesi, Alfajiri ya leo Jumapili Israel wameshambulia benki moja inayojihusisha na ku finance hivi vikundi. Office na makazi ya viongozi wa vikundi hivi ni vumbi tupu. Mambo ni magumu mno mji wa GAZA.

Ndege za Israel zinawashukia kama mwewe na mbaya zaidi hawana mifumo ya kujilinda.
 
End the occupation. End the violence. Free Palestine.
 
Sasa hapa jambazi nani Israel au Palestine 🤔
 
Hehehe wavaa makobazi nendeni na nyie mjihusishe humo mkiimba takbir akbar akbar....
Huwa mnalianzisha kisha mnaanza kulia lia mkigeuziwa, mnapaswa mfahamu siku dunia ikiwachoka mtakoma...
 
Unakumbuka six days war! Israel sio wakuchezewa huyu ni mtoa roho kwel kwel waache wamisri waingie huku ethiopia akiwalia rada pia
Hivi mnapataga nini kwenye huo ushabiki? Siyo ya kuchezewa! Jana ilifanyiwa nini? Ilipewa kipaimara?
 
Baraza la Usalama la UN litakutana kwa dharura Leo kujadili mapigano ya Israel and Hamas

Source Al jazeera news
Sina hakika kama kutakuwa na jipya,kama msimamizi wake mkuu ni jambazi Amerika tena chini ya babu beberu. 😂
 
Na bado mtakoma....mlichekelea jana....ni mwendo wa kupiga piga....
Najua ni mwendelezo wa ushabiki wako kwa mabeberu na washirika wao na chuki zao dhidi ya wafutao usawa na ustawi wa dunia.🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…