Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee wa kuongeza SifuriHizo namba umezipata wapi vyombo vya habari hapa vinasema ni 300
Namba sahihi ni waisraeli 350 na wapalestina 300 na zaidi.Wazee wa kuongeza Sifuri
Unajiandikia tu..Six days war...vita na nchi 6
Iran
Iraq
Egyp
Palestine
Saud Arabia
Na Jordan
Nini kilitokea....
Zama zimebadilika mkuuSix days war...vita na nchi 6
Iran
Iraq
Egyp
Palestine
Saud Arabia
Na Jordan
Nini kilitokea....
si kazi nyepesi, Alfajiri ya leo Jumapili Israel wameshambulia benki moja inayojihusisha na ku finance hivi vikundi. Office na makazi ya viongozi wa vikundi hivi ni vumbi tupu. Mambo ni magumu mno mji wa GAZA.Vikundi vya kigaidi vifutiliwe Mbali!
Hizo namba umezipata wapi vyombo vya habari hapa vinasema ni 300
Israel Ndio Marekani
Sasa hapa jambazi nani Israel au Palestine 🤔Wamepiga hadi misikiti na kuisambaratisha maana magaidi yalikimbilia humo ndani ili yafie karibu na 'miungu'. yao....
![]()
A mosque lies in ruins Sunday following an Israeli airstrike in Khan Younis, in the Gaza Strip.
(Yousef Masoud / Associated Press)
Israel pressed its relentless bombing campaign on Gaza overnight and into early Sunday, firing a continuous barrage on the Hamas-ruled coastal strip as it battled to regain control after the deadliest attack on its own soil in 50 years.
As the fighting around Gaza continued, alarm over a wider regional conflagration grew after Hezbollah, the Lebanese Shiite militant group and political party, said in a statement Sunday that it had launched artillery and guided rockets on three posts on the Israeli-occupied Shebaa Farms in southern Lebanon “in solidarity” with the Palestinian people. The attacks were intended to “liberate what remains of our occupied land,” Hezbollah said, adding that an Israeli drone destroyed a Hezbollah tent in the area.
Israeli forces said in a statement on the messaging app Telegram that their retaliatory bombing campaign had hit 10 Hamas targets in multistory buildings in Gaza, including the group’s intelligence headquarters and a military compound, as well as a weapons production site and an arms storage area belonging to the Islamic Jihad militant group.
Sasa hapa jambazi nani Israel au Palestine 🤔
Hivi mnapataga nini kwenye huo ushabiki? Siyo ya kuchezewa! Jana ilifanyiwa nini? Ilipewa kipaimara?Unakumbuka six days war! Israel sio wakuchezewa huyu ni mtoa roho kwel kwel waache wamisri waingie huku ethiopia akiwalia rada pia
Sina hakika kama kutakuwa na jipya,kama msimamizi wake mkuu ni jambazi Amerika tena chini ya babu beberu. 😂Baraza la Usalama la UN litakutana kwa dharura Leo kujadili mapigano ya Israel and Hamas
Source Al jazeera news
Najua ni mwendelezo wa ushabiki wako kwa mabeberu na washirika wao na chuki zao dhidi ya wafutao usawa na ustawi wa dunia.🤔Na bado mtakoma....mlichekelea jana....ni mwendo wa kupiga piga....