LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums

Yaani hujui kwamba mbele ya Mungu wa mbinguni mwisraeli hatofautiani na mmanyema wa kigoma au hata mtatoga wa Loliondo?
Waisraeli ni watu wa kawaida tu. Msipende kuwapa upekee ambao hawana.
 
Mkuu mbona mwanzo unadai askari kutoka Israel
Sawa ila Moravian wanaiweza Wanyakyusa tu
Ndo waanzilishi wa Moravian?!!
 
Mkuu mbona mwanzo unadai askari kutoka Israel
Hilo tukio limetokea leo Misri na Aljazeera ndio wamepost kuwa Askari wa Misri kawamiminia risasi Watalii kutoka Israel waliokuwa wameenda kutalii kwenye mji wa Alexandria, Misri

Nimeweka link kwenye hiyo Reply tazama muda na video... Utaona maandisho ya kiarabu kwenye ambulensi, ingekuwa ISRAEL ungeona maandishi ya kiebrania
 
Mkuu ni ukweli tunajua kuwa palestina anaonewa lakin hii haifanyi sote tuunge mkono upumbavu wa Hamas unaoenda kusababisha vifo vya watu wengi wa palestina wasio na hatia.
Kwahyo ulitaka hamas wakae tu waangalie ndugu zao wanauwaw kila siku wanafuatwa mpk msikitini wanapgwa risasi
 
Tuliambiwa Israel ni taifa kubwa kijeshi na intelijensia.

Israel has requested additional military assistance from the United States, the request is being considered,
US Secretary of State Antony Blinken.
 
Ngoja kwanza wamalizane na magaidi ya Palestine, utaelimishwa taratibu.
 
Ndio kazi ya taifa teule la mungu lusifa
 
Wapalestina wote wameandalwa toka tumboni. Nchi yao ipo chini ya wayahudi miaka zaidi ya 75 sasa.

Ukiwa mpaestina upo vitani toka unazaliwa, iwe ndani au nje ya palestina.
Uongo mkuu wanazaliwa nao
 
Short range rockets continue to be launched from Gaza into Israel. The IDF continue to target houses belonging to senior members of Hamas.
 
Ila ni kwanini Israel ilivamia na kupora nchi ya Palestina mwaka 1967 na UN haikuwachukulia hatua?

Hitler aliwahi kusema, nitauwa wayahidi wengi niwezavyo, ila nitaacha wachache wabaki, ili kwa kila watakachowafanyia, mjue kwanini niliwaua.
Dah jana nikisema Hitler ipo siku atawaelewa....
Yaani kwanini walichukua ardhi ya wenzao to begin with??
Haya mambo sikuwah yafatikia nimeanza jana...
Case study ya hivi karibuni ni hivyo vilima vya golani.....eti wakapiga na fensi kabisa....this guy's are monsters.....wanataka hao palestina wakaishi wapi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…