LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Kuna watu nimeona kwenye comment za page Fulani wakiomba kuwa Mungu aliangushe taifa la israeli na kukutetea watu Fulani
Mungu sio mbaguzi
Lakini kuliacha taifa la israeli na kutetea watu wengine ilo wasau kabisa
Mumelianzisha wenyewe na mnatakiwa kulimaliza wenyewe
Maana hizo ni lawama tu ambazo unamtafutia Mungu mkishindwa na vita vyenu
Pamoja na kuwa Israeli ni mtoto mkaidi kwa Mungu lakini kamwe hawezi kuacha taifa ili
Na ndo maana katika vitabu vitakatifu Mungu amehidi kuliteketeza taifa ili mwenyewe

Yaani hujui kwamba mbele ya Mungu wa mbinguni mwisraeli hatofautiani na mmanyema wa kigoma au hata mtatoga wa Loliondo?
Waisraeli ni watu wa kawaida tu. Msipende kuwapa upekee ambao hawana.
 
Askari kutoka Israel amewamwagia njugu (Risasi) watalii wawili wa kiisrael akiwemo muongoza watalii wa misri na kufa hapo hapo huko mjini Alexandria, Misri walipokuwa wameenda kutalii. Kitendo hicho cha Askari wa misri kuwamwagia risasi watalii wa Israel kinaenda sambamba na chuki ya Wamisri dhidi ya Israel kutokana na vita ya Israel na Palestina. Ikumbukwe Misri na Israel ziliwahi kufuana na kupigana baada ya Misri kutoa sapoti kwa Palestina na kutaka kuingia kinguvu nchi Israel, ambapo misri ilipigwa kipigo cha mbwa koko na kupoteza wanajeshi wengi. Soma huu uzi hapo chini kuelewa zaidi kwa nini misri anamchukia Israel.



Bado kauli rasmi haijatolewa kuhusu tukio hilo.


View: https://www.instagram.com/reel/CyI5BwqtG6B/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==

Mkuu mbona mwanzo unadai askari kutoka Israel
Sawa ila Moravian wanaiweza Wanyakyusa tu
Ndo waanzilishi wa Moravian?!!
 
Mkuu mbona mwanzo unadai askari kutoka Israel
Hilo tukio limetokea leo Misri na Aljazeera ndio wamepost kuwa Askari wa Misri kawamiminia risasi Watalii kutoka Israel waliokuwa wameenda kutalii kwenye mji wa Alexandria, Misri

Nimeweka link kwenye hiyo Reply tazama muda na video... Utaona maandisho ya kiarabu kwenye ambulensi, ingekuwa ISRAEL ungeona maandishi ya kiebrania
 
Mkuu ni ukweli tunajua kuwa palestina anaonewa lakin hii haifanyi sote tuunge mkono upumbavu wa Hamas unaoenda kusababisha vifo vya watu wengi wa palestina wasio na hatia.
Kwahyo ulitaka hamas wakae tu waangalie ndugu zao wanauwaw kila siku wanafuatwa mpk msikitini wanapgwa risasi
 
Ngoja kwanza wamalizane na magaidi ya Palestine, utaelimishwa taratibu.
 
Msimamo wa serikali ya Tanzania kwenye mgogoro wa Israel na Palestina

20231008_175244.jpg
 
Wale tuliosomea Cuba. Tunaelewa kitakachotokea apo anakamatwa mtu na family yake anaanza kuuliwa mtoto anafata mume alafu was mwisho Mama, ili machungu wayasikie vizuri. Mpaka dunia itawaita watu was haki za binadamu wawaombeee msamaha. Anakamatwa mtu anaingizwa kwy tanuuu la Moto ndugu zake wakishuhudia na dunia ikishuhudia alafu watu was haki za binadamu wataombaa wawasamehe
Ndio kazi ya taifa teule la mungu lusifa
 
Wapalestina wote wameandalwa toka tumboni. Nchi yao ipo chini ya wayahudi miaka zaidi ya 75 sasa.

Ukiwa mpaestina upo vitani toka unazaliwa, iwe ndani au nje ya palestina.
Uongo mkuu wanazaliwa nao
 
Short range rockets continue to be launched from Gaza into Israel. The IDF continue to target houses belonging to senior members of Hamas.
 
Ila ni kwanini Israel ilivamia na kupora nchi ya Palestina mwaka 1967 na UN haikuwachukulia hatua?

Hitler aliwahi kusema, nitauwa wayahidi wengi niwezavyo, ila nitaacha wachache wabaki, ili kwa kila watakachowafanyia, mjue kwanini niliwaua.
Dah jana nikisema Hitler ipo siku atawaelewa....
Yaani kwanini walichukua ardhi ya wenzao to begin with??
Haya mambo sikuwah yafatikia nimeanza jana...
Case study ya hivi karibuni ni hivyo vilima vya golani.....eti wakapiga na fensi kabisa....this guy's are monsters.....wanataka hao palestina wakaishi wapi???
 
Back
Top Bottom