Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 4,152
- 8,631
Ntakurudia inshaallah.Machapisho ya wasabato na waislam lini lini yakawa machapicho! ? Machapisho yaliyo fungamana na misimamo ya dini ni machapisho hayo?
hata wewe naona umekaririshwa tu na sheikh wako hebu pitia visa hivi hapa ujifunze kidogo
SAHIHI Muslim 3753:'' Sisi tulikuwa pamoja na Mtume wa Allah, na Yeye Mtume wa Allah alikuwa na kiu na mtu mmoja akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, Je, unataka kunywa mvinyo? Mtume Muhammad akasema: Ndio. Basi yule Mtu alikwenda kuleta mvinyo. Mtume wa Allah akamwambia: Lete Mvinyo ulio mkali ili ninywe; Basi Mtume wa Allah alipo kunywa ule Mvinyo Mkali alilewa
QURAN AL- BAQARA (2:173)
173.Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya Nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi kula Mizoga na Damu na nyama ya Nguruwe. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu
KWENYE SURAT AL BAQARA 173
Hadith imesimuliwa na Al Tabar na kupokewa na Ibn Ali Bakouri. Nabii wa Allah na Maswahiba wake walikuwa wamechoka na safari ndefu. Wakafika Nyumbani kwa Fatimah rafiki wa Swahiba wake. Nabii wa Allah akauliza je unachakula chochote? Fatimah akajibu ndio. Nabii wa Allah akauliza tena una mawindo yeyote. Fatimah ajibu nina myama ya Nguruwe pori. Basi Nabii wa Allah na Maswahiba wake walikula Ngama ya Nguruwe pori mpaka wakashiba. Al Kitaab Uk wa 136 Hadith ya 41 Toleo la Tatu.
QURAN SUURAT AN NAH'L (16:116).
Wala msiseme uwongo, kwa kuropokwa na ndimi zenu: Hichi halali, na hichi haramu - mkimzulia uwongo Mwenyezi Mungu. Hakika wanao mzulia uwongo Mwenyezi Mungu hawatafanikiwa
Kabisa mkuu, mimi sasa hivi nataka kujilazimisha kuachana na mambo yanayopoteza muda na umri, unaweza kujikuta umekufa hivihivi hakuna ulichoandaa.Mkuu hali ni mbaya sana na dalili za mwisho wa Dunia tunaziona, tuombe Mungu sana
Hapo kimasihara sijui kama itakosekana tena kwa jinsi walivyovaa kimtego sana ,ngoja nimtag dronedrake mchambuzi mbobezi wa masuala haya.Sijui wanataka kuwafanyaje jamani?
Mungu awatetee🙏Hapo kimasihara sijui kama itakosekana tena kwa jinsi walivyovaa kimtego sana ,ngoja nimtag dronedrake mchambuzi mbobezi wa masuala haya.
Amalek ndo inasimama kama palestina au Israel?
Sauli alikuwa Mfalme wa taifa gani? 😳Amalek ndo inasimama kama palestina au Israel?
Huwa sielewi kabisa hàsa pale ninapokuta jitu jeusiii tii Swahili kutoka moja ya nchini maskini kabisa duniani linaposhabikia ya kuwa eti taifa la Israeli ni taifa teule (taifa la Mungu) mpaka kufikia kuunga mkono hata mauaji ya watu wasio na hatia (waPalestina).
Tena wengine wanaenda mbali zaidi ya kuwa eti oohh! Ukimbariki Israeli nawe umebarikiwa, mara oohh'' sijui ukimlaani nawe umelaaniwa!!
Anyway, basi kama ndivyo hivyo basi mbona hambariki na mambo ya LGBTQ+, mambo ya gay parades, pride match, etc, yaliyohalishwa katik taifa hilo!??
Mimi mkiniambia labda huyo mungu wao ambaye wanamuambu, which obviously ni Baal ni mungu wenu pia mnayemuabudu hapo nitawaelewa lakini sio MUNGU huyu nayemjua mimi ambaye ni Alfa na Omega.
Muwe na jumapili njema enyi wayahudi weusi.
Moderators : Naomba msiuguse huu uzi.View attachment 2775436View attachment 2775437View attachment 2775438View attachment 2775440
🤣🤣 sasa mbona unasema mumelianzisha wenyewe kama kuna wapalestina humu ndani mkuu?Kuna watu nimeona kwenye comment za page Fulani wakiomba kuwa Mungu aliangushe taifa la israeli na kukutetea watu Fulani
Mungu sio mbaguzi.
Lakini kuliacha taifa la israeli na kutetea watu wengine ilo wasau kabisa.
Mumelianzisha wenyewe na mnatakiwa kulimaliza wenyewe
Maana hizo ni lawama tu ambazo unamtafutia Mungu mkishindwa na vita vyenu.
Pamoja na kuwa Israeli ni mtoto mkaidi kwa Mungu lakini kamwe hawezi kuacha taifa ili
Na ndo maana katika vitabu vitakatifu Mungu amehidi kuliteketeza taifa ili mwenyewe
Huu ni msimamo wetu tangu uhuru Naipongeza serikali kwa kutoegemea upande wowote .
Wanasema iliandikwa kwenye bible hapo ni kwao kwahiyo hawatoki kama mbwaimbwai 🤣Dunia imewapa palestina mgongo kuanzia zamani sana...
Inasikitisha sana
Ni kama tulivyo hivi Tanzania aje mtu atufukuze/atuondoshe maana hatutakia na pa kwenda ...kinachofata ni ukatil na mauaji....
Historia ipo wazi Hawa jamaa walivamia Hilo eneo....kwanini Dunia haionei huruma watu WA palestina....
Ili hali historia Iko wazi kabisaaa....
Propaganda zilikuwa nyingi kuliko uhalisia na mengi walikuwa hawayaonyeshi kwa mfano walivyokuwa wanafanyiwa PalestineTuliambiwa Israel ni taifa kubwa kijeshi na intelijensia.
Israel has requested additional military assistance from the United States, the request is being considered,
US Secretary of State Antony Blinken.
Hakuna maamrisho hayo wala huna haja ya kumtia dosari muumba wako kwasababu ya propaganda za watu wajinga.Hakuna sehemu yoyote katika historia inayosema kuwa wapalestina walihamia hapo kuwabugudhi wayahudi Bali ni hao wayahudi....
Alafu pia kweli huyu Mungu wanasema aliamuru kwenye bibilia na vifungu vingi naona watu wameviandija hapo juu.
Kweli Mungu huyu ambae ameumba watu wote na sisi ni swa mbeli zake ndo anaamuru binadamu mmoja auwawe ....
Ili mwingine achukue ardhi yake?
Yaani kumbe katuumba lakini Kuna watu special WA kuishi wengine awapaswi kuishi?
Kwamba Kwa vifungu tu vya bibilia watu waondolewe sehemu waliyoishi vizazi Kwa vizazi....
Huyu Mungu WA Israel ni yupi???
Kuna mambo mengine yanaweza kukufanya ukaqns hadii mbali sana...
Huruma sana Kwa wapelistina...
Wana haki ya kujitetea....
Ndo inaitwa ugaidi....ila ukrain kujitetea inaitwa ushujaa
Yaani kumbe yeye katuumba lakini