LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Aache uoga, hii vita itafika hadi kwake safari hii.
 
Upande wa Israel vifo vimesha fika 1000
 
Israel wawalaumu Roman Empire ,ni sawa sisi leo tuwaambie Wangoni warudi SA.
 
🤣🤣🤣Marekani kwa mikwara tu hawajambo, kwanini hiyo aircraft carrier wasiipeleke black sea kwanda kuongeza nguvu kwa Ukraine
 
Mara nyengine katika vita kuna vichekesho sana.Nimewahi kuona bondia kapigwa kaanguka chini kizunguzungu tele halafu anafanya kama anainuka akapigane tena.Muamuzi wa pambano ndiye anayejua huyu mteja wangu akubali tu.
Wanasiasa nao wa mataifa makubwa na madogo wanapopata upinzani au kushambuliwa hujaribu kuwapaka matope wapinzani wao mbele ya macho ya wananchi.
Katika mashambuzi ya juzi Jumamosi yaliyofanywa na Hamas na wenzao wa Palestina kuna watu wanasema mashambulio yale ni ya woga. Eti wanasema mashambulio hayo yamefanyika rena bila wapalestina kuchokozwa.
Sijui woga huo uko wapi kwa kikundi kidogo cha wapiganaji kwanza kubomoa kituo kizima cha mpaka wa Erez halafu kusonga mbele kwa piki piki tu ndani ya nchi inayosifika kwa walinzi wakali.
Woga huo sijui ukoje kwa kikundi kidogo kuteka kambi nzima ya jeshi la Israel na kuua askari halafu kuteka vifaru na magari ya deraya
Woga huo umekaaje kwa wapiganaji wachache kubeba askari na raia kama mateka kurudi nao Gaza
Kama ni shambulia na mtu muoga mbona America anapeleka meli za kivita kadhaa mpakani na Israel ili kuilinda nchi hiyo kutokana na hofu ya wapiganaji hao wachache
 
Gaza si itakuwa kifusi Sasa naona majengo yanashushwa sekunde
 
Hatujaambiwa kuwa wapalestina pale sio kwao na hatujaambiwa wapalestina walitokea wapi? Lakini tunaambiwa wa Israel wamerudi ktk ardhi yao ya ahadi. Nani aliwapa iyo ahadi na kwa ushaidi gani kama sio ni siasa tu?
 
Usichekelee vita wewe!
 
Upande wa Israel vifo vimesha fika 1000
Lazima vitazidi. Hao wanaongezeka ni wale majeruhi zaidi ya 2,000, maana kuna wale waliokutwa kwenye tamasha la muziki kule vilimani mpakani, on the spot walidondoshwa watu zaidi ya 200, majeruhi wakawa wengi zaidi.
Ilikua ni siku ya mapumziko, watu walikua wamepumzika majumbani na familia zao, wengine wakiwa wametembeleana, mitaa ikiwa kimya, wakajikuta wanapigwa ambushi na kuuawa na wengine kujeruhiwa vibaya. So death toll lazima iongezeke.
 
Israel wawalaumu Roman Empire ,ni sawa sisi leo tuwaambie Wangoni warudi SA.
Sawa

Tukizama kiimani sana suala la Waisrael kuondolewa hapo na Roman Empire lilikuwa limeshapangwa na Mungu kwamba eneo hilo libaki ukiwa kama adhabu kwa Waisraeli

Ilikuwa iwe hivyo kwa hiyo Roman Empire alikuwa kama facilitator tu wa kile Mungu alishapanga kimbele

Sasa sijui wamlaumu facilitator (Roman Empire) au aliyepanga (Sir God)? 🤔
 
Aisee! Kama Hamas waliua raia, ina maana wametoa tiketi ya Israel kuua raia pia?
 
🤣🤣🤣Marekani kwa mikwara tu hawajambo, kwanini hiyo aircraft carrier wasiipeleke black sea kwanda kuongeza nguvu kwa Ukraine
Kule drone moja tu, inazamisha mzigo wote wamatrillioni.

Nimeona vifaru vya israel vimejipanga wazi kama wanafunzi wa shule ya msingi parade. Warusi wanavipiga majungu wanasema ingekuwa ni Ukraine hapo sekunde tu, vyote vingekuwa scrapper, vita vya drone inabisi uwe mtaalam wa kuficha silaha zako. Ukiziweka hadharanzi zinageuzwa scraper
 
Gaza War, Day 3:
Fighting continues in southern Israel, tunnel suspected as IDF battles dozens of terrorists; 73 soldiers killed. 800-1,000 terrorists raided 20 communities, 11 army bases in total; IDF bombed over 800 Gaza targets.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…