LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
muajemi ni takataka tu kwa israel
Huyu ambaye yupo ana enyeshwa na wahuni wa hama wasio na chochote zadi ya bunduki na viroketi ndo aje amusumbue Iran?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Huwa tunaikuza sn israel hila bila misaada na mikopo hata mishahara ya wafanyakazi itawashinda sasa km battle na hamas wameomba msaada halafu ndio huwa wanataka kushambulia iran
Unafikiria kwa kutumia ubongo ama unatumia Lokasa ya mbongo, hao matajiri wanaoshikiria uchumi wa USA ni Jews. Hii mijamaa inamiliki technology ni mitajiri haswaaa, ipo katika jangwa ila ni hodari kwenye kilimo.
 
Tujifunze kama yepi mkuu,vita havifai!Tulipigana na uganda,mpaka sasa tunalalamikia uchumi!
Tujifunze mtu anapopigwa kwa ghafla kizunguzungu kinchompata mpaka anaropokwa.
Kusema kuwa Hamas wamefanya shambulia bila kuchokozwa. Uchokozi wa miaka 75 hawaoni kuwa ulikuwa ni zaidi ya uchokozi.Kuwafungia wasitoke wala wasitembelewe na ndugu zao bila ruhusa ya Israel nao si uchokozi.
 
Acha kujifariji trip hii Israel kaya kanyaga kasha anza kuomba msaada wa silaha kutoka kwa shoga mkuu wa dunia wakati vita ndo ina siku mbili tu.
Zile meli za USA zilizosogezwa Sio kwa ajili ya magaidi ni kwa ajili ya taadhari mfano ikitokea nchi za kiarabu zikiinuka zote kuingia vitani.
Naiona Bei ya mafuta ikipaa lita itafika elf 10
 
Acha kujifariji trip hii Israel kaya kanyaga kasha anza kuomba msaada wa silaha kutoka kwa shoga mkuu wa dunia wakati vita ndo ina siku mbili tu.
Kwani Hamas hajaomba? Hujaona barua yao kwenda UN?

Hujaona video wakiomba nchi za Kiarabu ziunganike? Hujaona kiherehere cha Hezbollah zikianza mchakato wa kuwasaidia?

Vita ndiyo ilivyo, lazima uje pa kuegamia unapopigana.

Urusi pamoja na kuwa na idadi kubwa ya silaha, ilianza kuililia China na North Korea wapate kupewa silaha.

Tumia akili.
 
Aisee! Kama Hamas waliua raia, ina maana wametoa tiketi ya Israel kuua raia pia?
Vifo vinavyo ripotiwa kutokea gaza ni maiti zikizopatikana, kumbuka kuna nyumba, mahorofa na misikiti vimeshushwa vizima kama vilivyo na vimebaki vifusi na hakuna uokozi unaoendelea. Siku ya kuja kuvufukia ndiyo namba ya waliofarika itapatikana.

Hali ni tete na mbaya sana, huko Israel nao jeshi limetanda mtaani likiendelea kufagia, raia wa Israel nao wameungana na jeshi kutafuta hamasi na sasa raia hata wakiona Mpalestina hawamuachi.
Your browser is not able to display this video.


Hapa Hamas wamewekwa guard
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Israel & US coordinate military moves: IDF chief & CENTCOM chief in constant contact; IDF spokesman: American presence focused on Iran threat, US strikes possible; estimate: dozens of Americans killed or abducted in Hamas assault.
 
Gaza inaungua.. siku ya pili ya mashambulizi ya Israel - hapakaliki.


More than 500 Gaza targets hit overnight: Israeli army​

The Israeli army says it has attacked β€œmore than 500 strategic targets” in the Gaza Strip overnight.
It said on social media platform X that fighter jets, helicopters and artillery forces took part in the strikes on the Islamic Jihad and Hamas targets.
 
🀣🀣🀣Marekani kwa mikwara tu hawajambo, kwanini hiyo aircraft carrier wasiipeleke black sea kwanda kuongeza nguvu kwa Ukraine
πŸ˜‚ afu siku zote huwa inaingia kumsaidia Israel nasikia ndege zake zinashambulia gaza
 
Naunga mkono hoja Israel anepelekewa moto
Usishangilie mkuu.Kikubwa ni kuombea amani irejee.

Nikukumbushe tu kwamba ninavyoandika meseji hii Kuna mamia ya wanafunzi kutoka Tanzania na wengine wanaofanya kazi kule.

Ko kama huwapendi Wa Israel ,fikiria kuhusu watanzania wenzako.
 
Dah, jamen hadi watoto wasiokua na hatia wananyaswa hivi,hapa ndio nimelewa mtu akiishi maisha ya mateso yenye dhulma na kuonewa huwa inafikia mda ambapo huchoshwa na hali hiyo, MUNGU awasaidie sana maana kupatikana kwa amani ni jambo gumu.
 
Wlitaka wagawe ziwe nchi mbili kutoja nchi ipi?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…