LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Nguvu uliokwisha tumia hapa bibie, ungeielekeza kwenye kutatua changamoto za nchi yako nafikiri saiz tungeshapata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
 
IDF Paratroopers Brigade troops, including senior officers, are working to clear Sderot from any suspected Palestinian terrorists who infiltrated into Israel over the past two days, the military says.
 
Hatujaambiwa kuwa wapalestina pale sio kwao na hatujaambiwa wapalestina walitokea wapi?
Roman Empire walichukua eneo la Wayahudi wakawatawala likawa ni jimbo la Roman Empire

Wayahudi walijaribu kuanzisha vita kutaka kuwaondoa Waroma walishindwa.

Kwenye vita hivyo Wayahudi waliuawa kikatili wengine waliuzwa kama watumwa na wengi walikimbia eneo hilo

Kwa hasira Waroma walichotaka ni kuondoa kabisa isiwepo historia ya watu wanaoitwa Wayahudi katika eneo hilo.

●Kwanza wakaanzisha jiji jipya lilioitwa Aelia Capitolina, jiji ambao kwa karne 2 hakuna Myahudi aliruhusiwa kuishi au hata kuthubutu kuingia

●Pili walichofanya Roman Empire wakaliita lile eneo la Wayahudi Syria Palaestina au Roman Palaestina.

Jina hilo likaendelea kwa miaka mingi mpaka sasa likafahamika kama Palestina

Miaka mingi baadaye Waislamu waliliteka eneo hilo. Wakaaji wa hapo wakaadopt dini ya Kiislamu mpaka leo tunaona kizazi cha Wapalestina wengi ni Waislamu

NB: Mateso ya Waroma yaliwafanya Wayahudi wasalimu amri na wengi waliondoka eneo lao kwenda Diaspora. Ni wachache sana waliobaki nao wakawa ni jamii ambayo ni minority

Kwa historia hiyo fupi ni nani mmiliki halali wa eneo hilo?
 
Wewe ndie mjinga wa mwisho, walio uawa wengi walikuwa kwenye tamasha la muziki watu zaidi 300 walikufa pale on spot, watu wamevamiwa kwao watoto, wazee, wanawake unashangilia si ndio?

Wamerudi nao Gaza, kwani Gaza ni mbali na Israel? kwamba waisrael hawatafika Gaza? sasa Israel inaenda kuchukua Gaza shida kwa nani Iran au wewe?

Shida ni raia wa palestina hasiye kuwa na hatia, kila kitu kwao hadi sasa ishaharibika hawana cha kushika tena, magaidi wanaotumika kwa maslahi ya Iran mnacheka et
 
Hamas publishes footage showing barrages of rockets launched from the Gaza Strip toward the Israeli cities of Tel Aviv and Ashkelon last night.
 
Ila huenda ilikuwa ngumu sana kwao kukubali hilo
Imagine na Msikiti mkubwa wa Al Agsa ambao waislam wanasali na upande mwingine wayahudi hapo ndio kuna tatizo kila leo
Ugomvi huu hautakwisha na kosa lao Palestine pia kuuza ardhi zao kwa wayahidi na sasa wanachukua kwa nguvu kabisa na kuwauwa pia

Mkuu mimi nimepita sana Middle Eastern karibu nchi zote na zingine nimeishi na kufanya kazi miaka ya 80
Nilienda siku moja Amman, Jordan na kukaa mda huko ni mji msafi katika miji zaidi ya 30 niliyoiona duniani
Nilichoshangaa ni kukuta kuna maduka chini na juu gorofani, mpaka migahawa ipo juu

Nilimuuliza mzee mmoja local vipi mbona mpaka hotels za chakula zipo juu?

Akasema mwanangu umeona Palestine walivyouza ardhi yao? Nikasema ndio, akasema hatutaki yatokee na kwetu

Kwa hiyo ardhi yote ni ya kwetu wazawa na ukiona mtu anaishi au ana biashara juu ya nyumba zetu basi ujue hao ni wa kuja wasije wakatuzidi akili

Nilishangaa sana kwa maamuzi yao hayo lakini ni akili pia

Sijui itakuwaje hii vita ya israel
 
Unaombeaje amani nchi inayoua wengine?nchi inapinga vitabu vyote vya dini
Imeua wengine?
Si hamas ndo wamewavamia wenzao au ww una maana gani?
Iko wazi wamechokozwa , unategemea asijibu?

Kuhusu kupinga vitabu hiyo haihusiani na kuomba kuwe na amani!
Kila mmoja ana uhuru wa kuchagua na kuishi anavyotaka ilimradi anafuata Sheria za nchi.
 
Nimeshangaa yaani mpaka reserve na wastaafu wameibuliwa na hapo wanapambana na kikundi kidogo cha Hamas
Hujui historia bibie, Israel kila siku hipo vitani na Arab countries ok so ukiona hivyo ni maandalizi ya uhakika kujiweka tayari kwa lolote.

Mimi niombe Dunia isimame na wanawake, watoto na wazee wa Gaza Israel wanapanga na wamepanga kitu kibaya Gaza.

Hamas sijui Hisbollah hawana uwezo wowote kuwazuia Israel kuingia Gaza, wao kazi yao ni kutumia tu kama subwoofer ya Mayatollah
 
We punguza mahaba na hasira hizo media sio kila kitu wanachosema ni kweli alafu huo ukatil kila cku wapalestina wanafanyiwa mbona hukutoa hizi kauli
Unaitetea israel kisa udini afu mbaya zaid wayahudi sio wakristo
 
Yes uko sahihi,wanawake na watt wasaidiwe!
Mkuu naona wako Gaza wanafanya Yao,sio wanapanga tu...

Halafu Kuna watu humu wanatudanganya,eti hamas kundi dogo, wanafikiri hatufuatilii habari km nyuma Yao kina Hezbollah na wengine wapo...
 
Si kweli mkuu, yaaqub mwenyewe ambaye ndio israeli alikaribishwa na waarabu wa kanaan hapo palestine na mmoja wa wake zake ni mkanaani, hawa waarabu ndio wenyeji wa mahali hapo tangu kale.

Na ukumbuke hiyo ni ardhi takatifu, mpaka walipoandikiwa kuingia hapo kutoka misri utumwani miaka zaidi ya 400 toka kufa kwa yuusuf amani iwe juu yake, na walikataa.

So kwa asili wakanaani wametangulia hapo kabla yaaqub baba wa waisraeli hajafikiriwa kuzaliwa.
 
We punguza mahaba na hasira hizo media sio kila kitu wanachosema ni kweli alafu huo ukatil kila cku wapalestina wanafanyiwa mbona hukutoa hizi kauli
Unaitetea israel kisa udini afu mbaya zaid wayahudi sio wakristo
Israel Kuna dini tofauti km ilivyo mataifa mengine.
Dini ya kiyahudi, Muslim na ukristo nk
 
Je wapalestina walitokea wapi kuishi hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…