LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Iran ni wachumba tu mbele ya Israel, kama Israel iliwahi piga nchi zote za arabs wakiwa wameungana sembuse Iran???

Tunahitaji suluhu ili ndugu zangu wa Palestina waishi kwa amani na Waisrael pale, ila blaa blaah za Iran tumezoea!

Kwanini asubiri ashambuliwe, why asishambulie yeye ili tumuone?? hawa washia ni wajinga sana wao ndio wamesababisha Gaza hali mbaya leo but huwezi waona
 
JUST IN: Death toll from Hamas's terrorist attack on Israel rises to 800 per Kan. 2,400 wounded.
 
Baada ya magaidi aliyoyafadhili kufurushwa na kuuliwa anapiga mkwara kama kibisa ndani ya shimo Hazbullah wameshatulizwa sasa hivi Hamas inapokea kichapo cha mbwa koko. israel ipo busy kuifuta Hamas kwanza round inayofuata ni yeye
Bhangi ni kweli haijawahi kumwacha mtu salama,
 
Kila siku raia wa Palestina wanapigwa watoto, wanawake mpo kimya acha walipize kisasi potelea mbali.
 
Russia kahamisha vita. Chezea Majasusi. Sisi tuendelee kuteua mabalozi na viongozi kwa Udini badala ya IQ
 
Nimeanza kusoma comment yako vzr nilipofika katikati nikagundua wewe ni bonge la kilaza.
 
Dunia nzima imeshuhudia Israel ikichokozwa na Wapalee. Hakuna hata mmoja alielaani hiki kitendo. Sasa tusijelaumiana baadae kwa kile kitakachowakuta wapalee
Israeli is over rated, especially with fanatics.
 
Hivi unaumia ukiwa wapi binti? Israel ni taifa linalopenda amani, ila washia hawataki amani, unashangilia kuuwa raia?

Israel itachukua palestina yote, coz palestina imebakiwa na west bank na Gaza tu, vipi utaenda kuwasaidia washia?

Furahia coz uko mbali umekalia ushoga Tz, hujawahi ona acha watu wa Gaza wanaoteseka kwa maslahi ya Iran waendelee kuumia!!
 
Wewe upo, haupo inabadilisha nini? Mnajipa umuhimu msiokuwa nao.
 
Shida yote hii ni muafaka ambao ulikuwa unakaribiwa kusainiwa kati ya nchi ya Saudia na Israel. sasa haya makundi ya kigaidi hayataki muafaka huu ufanyike - ndiyo hizi choko choko zote. ila kichapo pale GAZA ni cha mbwa koko aisee.

Hii vita inaweza geuka kubwa kuliko hata ile ya Urusi na Ukraine.
 
Jambo la hawa watoto wa israeli limeelezwa kwenye Qur'an na vitabu vya historia vya kiislamu vimeandikwa kuelezea rise and fall ya utawala wao.
Sasa mkuu unaongelea historia ya miaka zaidi ya 4000 iliyopita kutumia reference ya kitabu kilichoandikwa miaka 1000 na kidogo tu iliyopita...Ina make sense kweli???
 
Unafikiri Iran hana hizo silaha za maangamizi?Unafikiri wangekua na jeuri ya kuwavimbia Wamarekani na Waisrael feki?
Hata Iraq ilikuwa na mikwara dhidi ya Iran, Kuwait, Saudi Arabia na Marekani. Leo hii Iraq ni uchochoro wa Iran kupeleka wanamgambo.

Kuwa na jeuri au kuvimba na kuwa na uwezo ni vitu viwili tofauti. Harmorapa anavimba ni msanii ila hata show ya shilingi elfu hamsini hapati.

Iran haiwezi vamia Israel, it's more likely Israel ndio ianze mashambulizi kwa Iran kama response ya proxies wa Iran kuishambulia. Napo ni baada ya washirika wa Iran kuanza, na washirika wa Israel wapo wanasubiri mtu apige chafya
 
huu mkwara tumeusikia sana hata kwa Putin, muulize mbona hajaisafisha Ukraine hadi leo ?
 
Mungu huyo hayupo.

Angekuwepo, Na ingekuwa kweli Israel ni Taifa lake teule, Ange zuia Roketi za makombora ya wapalestina zisiwafikie waisraeli.

Lakini Nothing happened.

Waisraeli hao wanakufa kama kumbikumbi.
Najiuliza hivi nyie wanawake wa humu jamii forum mmefuata nini hapa? coz mnachokifanya ni umbea tu na ushabiki maandazi hapa sio fb jamn
 
Kitaeleweka tu
Your browser is not able to display this video.


Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Kila siku raia wa Palestina wanapigwa watoto, wanawake mpo kimya acha walipize kisasi potelea mbali.
Imani zingine huondoa akili.
Sasa kitendo hata cha kuua raia 2,000 wa Israel ikiwa hao hamas wataweza, kitawagharimu uharibifu wa makazi yao na uhuru wao daima.

Yaani watskao salia wataishi kama wanyama
 
Mi nafikiri israel nao waolodheshwe ka magaidi.
Nafikiri.
 
Haha yani Israel anakata maji, umeme, anavunja masijid, makanisa, majumba na mabarabara anadhani ndio atashinda vita

kweli vichaa hawa wa Israel, vita ingieni Gaza kama wanaume mnaogopa nini simlijidai mmekuja na wanajeshi 300,000 sa mnaogopa vijana wako 3000 tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…