WrestlerRSF254
JF-Expert Member
- Jan 30, 2023
- 1,196
- 2,012
Iran ni wachumba tu mbele ya Israel, kama Israel iliwahi piga nchi zote za arabs wakiwa wameungana sembuse Iran???Iran imesema ikishambuliwa itaelekeza mashambulizi Israel kutokea Iraq Yemen Lebanon na Syria
BREAKING:
Iranian officials say that if their country is attacked, there will be strikes on Israel from Lebanon, Yemen and Iraq, as well as the sending of fighters from Syria.
Tunahitaji suluhu ili ndugu zangu wa Palestina waishi kwa amani na Waisrael pale, ila blaa blaah za Iran tumezoea!
Kwanini asubiri ashambuliwe, why asishambulie yeye ili tumuone?? hawa washia ni wajinga sana wao ndio wamesababisha Gaza hali mbaya leo but huwezi waona