LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Nimeshangazwa sana kwa kweli kuona stesheni maarufu ya habari ya nchini Ufaransa inayomilikiwa na serikali-France 24 ikiripoti na kuchambua mzozo wa Israel na Palestine tofauti kabisa kama vifanyavyo vyombo vingine vya magharibi ambavyo vinauelezea mzozo kwa kuegemea upande mmoja ambao wote mnaujua.

Yani hata takwimu wanazozitoa juu watu waliokufa, majeruhi,au waliotekwa (Palestinian and Israelis) zipo very accurate na zinazotolewa na vyombo vya ndani nchini Israel na Palestine.



Je, ni kwamba hakuna uhusiano mzuri baina ya Ufaransa na Israeli??
Screenshot_2023-10-09-15-59-23-353_com.android.chrome.jpg
 
Israeli imefaulu kufagia magaidi ukanda wote huo ila bado imeamua hamna kurejesha huduma yoyote mpaka pawe pasafi, hivyo wanalipua popote wanapohisi wana gaidi litakua limejificha, hata kushusha ghorofa linakua kifusi.

Na ifahamike bado hawajaanza kulipiza kisasi.

Israeli Defence Minister Yoav Gallant has announced that he has ordered a complete blockade of the Gaza Strip, with the military blocking access even to food.

Quote: "I ordered that Gaza be put under a complete blockade. There will be no electricity, no food, no fuel (to Gaza). We are fighting barbaric (terrorists), and we will respond accordingly."

Details: Daniel Hagari, the Israeli Defence Forces Spokesperson, said the army's primary task is to fix "gaps in the fence on the Gaza border".

Israel controls the airspace over Gaza and its coastline, as well as the entry and exit of goods into the Strip through its border crossings.

Similarly, Egypt controls entry and exit across its border with Gaza.
About 2.3 million people reportedly live in the Strip.

Background: Earlier, Rear Admiral Daniel Hagari, Israeli Defence Forces Spokesman, said Israeli troops had regained control of all settlements on the border with Gaza.
 
"No electricity, no food, no fuel. We are fighting human animals and we will act accordingly."

Israel's defense minister
Kweli hao jamaa ni wanyama tu huwezi wakuta watu kwenye sherehe unaanza kuua na kusema Allah Akbar arafu unawateka na kurape.. mkianza kujibiwa mnaanz kulialiaa.. sijawai kuona dini ya mauaji kama hii.. dini y kuua watu kisa sio wafuasi wenu wakati dunia ina dini kama 6000 hivi
 
Kweli hao jamaa ni wanyama tu huwezi wakuta watu kwenye sherehe unaanza kuua na kusema Allah Akbar arafu unawateka na kurape.. mkianza kujibiwa mnaanz kulialiaa.. sijawai kuona dini ya mauaji kama hii.. dini y kuua watu kisa sio wafuasi wenu wakati dunia ina dini kama 6000 hivi
Halafu wanaokuja kusema hapa wameshinda!
Kuna mtu jauliza juu hapo,baada ya hayo wameshinda ? Wamefanikiwa kurudisha hayo maeneo wanayotaka?

Subiri tuone mwisho wake
 
Yupo maajabu yake ni kuzaliwa kwako na wew hutaki kumjua sema siku ukifa itakua ndio maana ya uumbaji wake
Kwani wewe unaye mwamini huyo Allah, Hautakufa?

Kuzaliwa na kufa hakuthibitishi uwepo wa huyo Allah.
 
Kwani mkuu ukiskia wakaanaani ni wabantu?.
Hapana hilo eneo walikuwepo jamii nyingi lakin moja ya sharti Israel alipewa na Mungu akiingia awafute Canaan wote asiache wake wala watoto. So Canaanites walifyekwa wote. Pamoja na wanefili
 
😂 kijana poleni Muingereza na Mmarekani wote wanakimbilia kupeleka silaha walizo baki nazo, huyu Mhindi sasa anawaingiza waingereza kwenye balaa.

Badaye tutsakia Australia, Ufaransa, Canada na Japan wanapeleka silaha pia.

Nchi gani inajidai ina nguvu kumbe inategemea mataifa mengine, lakini Hamasi hawamuwezi wacha wakamsaidie huyo shoga lakini hashing vita.

Nilisha sema hapa zamani Israel hajawahi pigana vita bila kusaidiwa karibu tutakamata macommandor wa US na Uingereza wametekwa.

Hao vita vyao ni kwa ndege tu hawawezi vita vya chini Hamasi piga hao mashoga
 
mkuu kumbe upo! habari za miaka bana. Siku hizi adimu sana humu jukwaani. Baada ya salamu sasa niseme neno. Kweli HAMAS wamepiga bonge la ambush, wamefaulu sana. LAKINI kile kinachoendelea sasa huko gaza ni kitu cha kutisha ambapo kazi hiyo inafanywa na hao MAYAHUDI. Huyu USA hapeleki hayo madudu kwaajili ya kupiga gaza. USA anapeleka kwa 1. Kujitanua kijeshi midle east na 2. Kweli kuitetea Israel kutokana na viherehere wanaoimba kila siku kutaka kuifuta Israel ktk ramani ya dunia. Sasa yote ktk yote, vita haifai. Ungekuwa na ndugu huko gaza wangekuelezea matatizo ya huko. Kwa upande wangu naumia kwa kuwa wanaokufa pia pale Palestine ni ndg zangu ktk imani (wakristo).
Yaani nasubiri mwisho wa mchezo nione hao waliovamia wenzao km watafanikisha Lengo la kuifuta Israel na kuchukua hiyo ardhi
 
Kama ilivyo wewe mtu mweusi Kwa watu weupe ukifa sawa kama kafa paka pori!.
Ubaguzi unaendelea....

Ilisemwa... ubaguzi sawa na kula nyama za...

#Say No To Racism [emoji120]
#Say No To Bigotry [emoji120]
 
Back
Top Bottom