Rashidi Jololo
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,704
- 2,858
Binadamu wamegeuka kuwa WANYAMA kiasi hiki? Mungu atuhurumie sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binadamu wamegeuka kuwa WANYAMA kiasi hiki? Mungu atuhurumie sana
Wao Walipiga Wenye bunduki?WAliofanya hicho kitendo ni Hamas walipiziwe wao siyo watoto na wanawake ambao hata bunduki hawaijui
Kweli hao jamaa ni wanyama tu huwezi wakuta watu kwenye sherehe unaanza kuua na kusema Allah Akbar arafu unawateka na kurape.. mkianza kujibiwa mnaanz kulialiaa.. sijawai kuona dini ya mauaji kama hii.. dini y kuua watu kisa sio wafuasi wenu wakati dunia ina dini kama 6000 hivi"No electricity, no food, no fuel. We are fighting human animals and we will act accordingly."
Israel's defense minister
Sio Ile ya urusi🤭 ?Hii ndio vita sasa
Halafu wanaokuja kusema hapa wameshinda!Kweli hao jamaa ni wanyama tu huwezi wakuta watu kwenye sherehe unaanza kuua na kusema Allah Akbar arafu unawateka na kurape.. mkianza kujibiwa mnaanz kulialiaa.. sijawai kuona dini ya mauaji kama hii.. dini y kuua watu kisa sio wafuasi wenu wakati dunia ina dini kama 6000 hivi
Kwani wewe unaye mwamini huyo Allah, Hautakufa?Yupo maajabu yake ni kuzaliwa kwako na wew hutaki kumjua sema siku ukifa itakua ndio maana ya uumbaji wake
Hapana hilo eneo walikuwepo jamii nyingi lakin moja ya sharti Israel alipewa na Mungu akiingia awafute Canaan wote asiache wake wala watoto. So Canaanites walifyekwa wote. Pamoja na wanefiliKwani mkuu ukiskia wakaanaani ni wabantu?.
Sio kweli wafilist na Palestine na majina mawili tofautiNchi inaitwa filistine tangu enzi ya ibrahim.
Kiwango kikubwa cha moyo wa ushetani ndani ya mwanadamu aliyeumbwa na Mwenyezi Mungu asiye na chuki na alivyoviumba....Waarabu hata wakifa hawana hasara
Yaani nasubiri mwisho wa mchezo nione hao waliovamia wenzao km watafanikisha Lengo la kuifuta Israel na kuchukua hiyo ardhimkuu kumbe upo! habari za miaka bana. Siku hizi adimu sana humu jukwaani. Baada ya salamu sasa niseme neno. Kweli HAMAS wamepiga bonge la ambush, wamefaulu sana. LAKINI kile kinachoendelea sasa huko gaza ni kitu cha kutisha ambapo kazi hiyo inafanywa na hao MAYAHUDI. Huyu USA hapeleki hayo madudu kwaajili ya kupiga gaza. USA anapeleka kwa 1. Kujitanua kijeshi midle east na 2. Kweli kuitetea Israel kutokana na viherehere wanaoimba kila siku kutaka kuifuta Israel ktk ramani ya dunia. Sasa yote ktk yote, vita haifai. Ungekuwa na ndugu huko gaza wangekuelezea matatizo ya huko. Kwa upande wangu naumia kwa kuwa wanaokufa pia pale Palestine ni ndg zangu ktk imani (wakristo).
Itakusaidia jambo?..Wapigwe mpaka washike adabu
Duh....!Wao Walipiga Wenye bunduki?
Ubaguzi unaendelea....Kama ilivyo wewe mtu mweusi Kwa watu weupe ukifa sawa kama kafa paka pori!.