LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mpaka sasa dakika ni ya 67 palestina 1-israel 0 . Na watu wameweka GG na over 1.5
 
...
1696684707120.jpg
 
Confrontations are taking place right now between #Palestinian youths and Israeli occupation forces at the entrance to the city of Al-Bireh in the occupied West Bank.
 
The Israeli attacks residential neighborhoods in the city of Rafah, south of the #Gaza Strip, according to local sources.
 
Wakati Rais wa JMT anaweka Misimamo wa kipekee kabisa duniani katika mapambano dhidi ya Covid-19 Dunia Nzima ilienda na msimamo wa Marekani ambao kimsingi Ndio Waisrael

Watu wakasema Marekani wako sahihi kwa sababu Taasisi Zao za Usalama hazifanyagi makosa

Leo Israel amerudia makosa ya Marekani aliyofanya miaka 20 iliyopita dhidi ya Al Qaida na imelipuliwa na Hamas kitutusa kabisa

Mungu wa mbinguni mrehemu Julius Nyerere kwa kutujengea misingi Imara ya Usalama!
Mwalimu Nyerere alivunja uhusiano rasmi wa kibalozi na Israel kwa mambo haya haya kama unakumbuka.
 
F71G7M5XgAAoSeW.jpeg

Magaidi ya Hamas yamemteka, hadi kamanda wa Jeshi la Israel Nimrod Amon.

Hawa wajomba wasije wakamteka na Netanyahu, maana leo Israel naona ilikuwa inapitika kila kona.
 
Mpaka sasa kuna maeneo baadhi kusini mwa Israel yameshikiliwa na Hamas wanajeshi wa Israel wamekimbia na kuacha hadi vifaru
 
BREAKING: Israeli warplanes attack with missiles the vicinity of the Assafina Building in Gaza City.
1696685371605.jpg
 
BREAKING: The Palestinian Ministry of Health
More than 1,610 palestians injured.
#GazaUnderAttack
 
JANA HIYO[emoji1313][emoji1313]ALIYEANZA UCHOKOZI NI ISRAEL

Umoja wa Mataifa walaani shambulio la utawala wa Kizayuni kusini mwa Nablus

Oct 07, 2023 07:56 UTC

[https://media]

Umoja wa Mataifa umelaani shambulio la karibuni la utawala ghasibu wa Israel dhidi ya wakazi wa Kipalestina kusini mwa mji wa Nablus.

Ili kufikia malengo yao ya kujitanua na kupora ardhi zaidi za Wapalestina, Wazayuni kila siku hushambulia maeneo tofauti ya Palestina na kuwakamata, kujeruhi na kuwaua shahidi kwa madai ya uwongo na yasiyo na msingi. Vikosi vya muqawama navyo hujibu jinai za utawala wa Kizayuni kwa kutekeleza operesheni za kulipiza kisasi.

Kwa mujibu wa gazeti la Al Jazeera, Tor Winsland, mratibu maalumu wa Umoja wa Mataifa katika eneo la Asia Magharibi amelaani mashambulizi ya utawala ghasibu wa Israel katika mji wa Hawara kusini mwa Nablus usiku wa kuamkia jana Ijumaa, ambapo vijana wa Kipalestina walipambana vilivyo na askari wa utawala huo.

Wapalestina 19 wamejeruhiwa hadi kufia sasa katika shambulio hilo.

Katika mapigano hayo, vijana wa Kipalestina wamechoma moto kituo kimoja chenye mfungamano na majeshi ya utawala ya Kizayuni.

[https://media]Askari wa utawala ghasibu wa Israel wakiwashambulia Wapalestina

Labib Mohammad Zamidi, ambaye alijeruhiwa kwa risasi ya moja kwa moja kutoka kwa walowezi wenye silaha katika makazi ya Hawara, aliuawa shahidi Ijumaa asubuhi.

Huyo ni kijana wa nne kuuawa kwa kupigwa risasi za moja kwa moja na Wazayuni katika muda usipungua saa 24 zilizopita.

Uvamizi wa walowezi hao unafanyika kwa uungaji mkono kamili wa vikosi vinavyoikalia kwa mabavu mji mtakatifu wa Quds, hatua ambayo imeibua mapigano makali na ya umwagaji damu kati ya vijana wa Kipalestina na wa Kizayuni.

Hali ya karibuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu hususan katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan ni tata sana, ambapo wapiganaji shupavu wa Palestina wanajibu jinai zisizo na idadi za Wazayuni kwa njia yoyote ile wanayoweza, jambo ambalo limeibua hofu kubwa miongoni mwa walowezi wa Kizayuni.

Haki za wananchi madhulumu wa Palestina zimekuwa zikikandamizwa na utawala ghasibu wa Israel kwa zaidi ya miaka sabini. Katika kipindi hicho utawala huo umefanya jinai za kikatili na za kutisha dhidi ya Wapalestina wasio na hatia.
 
Kupitia huu uzi nitakua nawapa updates kuhusu yanayoendelea kati ya Israel na Gaza

Update:Kamanda wa jeshi la Israel akamatwa na Hamas
Media coverage: "A circulating picture shows the capture of senior Israeli military commander Nimrod Alloni by the #Palestinian resistance as part of the ongoing Operation Al-Aqsa Storm in the south of Palestine."View attachment 2774490View attachment 2774491
Naona umekuja kujifurahisha..kwa hiyo wanauawa Israel tu?
Utaukimbia uzi muda si mrefu ewe gaidi
 
Since this morning, the State of Israel has been at war. Our first objective is to clear out the hostile forces that infiltrated our territory and restore the security and quiet to the communities that have been attacked.

The second objective, at the same time, is to exact an immense price from the enemy, within the Gaza Strip as well. The third objective is to reinforce other fronts so that nobody should mistakenly join this war.

We are at war. In war, one needs to be level-headed. I call on all citizens of Israel to unite in order to achieve our highest goal – victory in the war.
 
Back
Top Bottom